This is How Zeddicus Zu'l Zorander looks like

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Huyu ndiye eddicus Zu'l Zoranderthe first wizard, wizard of the First Order and the most powerful class of wizards ambaye ni one of the main character katika filamu ya 'Legend of the Seeker' ambayo imebase katika kitabu kiitwacho 'The sword of truth'.
Zeddicus-ZeddZul-Zorander.jpg
290px-Zeddicus_Zu'l_Zorander.jpg
 
hivo legend of the seeker bado ipo? niliona tu season one na parts za season two
 
series tamu sana hiyo, mbona katokea kijana ghafla? Young Master

kwa sababu wenzetu wanajua kuigiza. They always want to make things look real...so ili iwe hivyo inabidi jamaa afanye mbinu ambayo itamfanya aonekane mzee na sio kama sisi ambao tunakimbilia kuweka kalikiti katika movie zetu ili tuonekane ma handsome.
 
Mkuu unaota mchana nini? Merlin nimeiangalia yote nasijaona hata unywele wa huyu jamaa.

Ina maana yule mzee anayekuwa na Merlin akitambulika kama Gallus sio Zeddicus? By appearance he is Zeddicus!

Ok Young Master, nimejidhihirishia kwamba siyo Zeddicus, niliwafananisha tu!
 
Young Master huoni joti yeye uwa sijui anapaka majivu ili aonekane kibabu.... kuna kamtu kanaitwa eddie murphy yani kanaweza tokea hata scene tofauti kumi zote kakaonekana kama mtu tofauti, ukiangalia coming to america, nutty professor, norbit etc
 
Last edited by a moderator:
Young Master huoni joti yeye uwa sijui anapaka majivu ili aonekane kibabu.... kuna kamtu kanaitwa eddie murphy yani kanaweza tokea hata scene tofauti kumi zote kakaonekana kama mtu tofauti, ukiangalia coming to america, nutty professor, norbit etc

Ha ha haaaa!!! Sijawahi kuona movie za huyo jamaa aisee...namsikiaga tu.
 
Mmmh, nani kawaambia huyu ndio first order??
J=Kuna vijijii vina majoker ya uchawi.
 
Back
Top Bottom