This is for You......

i was under impression 'the luckiest son on earth' is you...????????
6a00e54ef2e21b8833010534d9f841970b-800wi.jpg
....burudika na wimbo! ♫
 
dahhh, wikiendi inaisha vizuri kwa wenye bahati zao....
nyumba kubwa jana alikuja na bryan adams, hapa napo
kuna isha mashauzi....haya bana!

Mmh!!.......................................................................................................

Macho yameona wengi, lakini hayakuamua
Yeye kunipenda mimi kipo kilomvutia x 2
Kwenye mapenzi yupo juu asilimia mia kwa mia
Anipeti anienzi raha katika dunia x2
Wala haniwini kitu, ruksa amenipatia
kwa utaalamu wake, kibali nishamridhia x2
 
Wadau

Have you ever had the thoughts like huyu jamaa kwenye nyimbo??

I need an honest answer tu

http://www.youtube.com/watch?v=eBp1ugUZ2mE&feature=player_detailpage
Cousin hebu iwekee tena hiyo link can't access it
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom