Think outside the box

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
VIONGOZI WETU WA UPANDE WA UPINZANI, IWAPO WAKIBAHATIKA KUINGIA IKULU WANAWEZA WAKAFANYA JAMBO TOFAUTI KABISA NA WENGI WALIVYOFIKIRIA,JAMBO HILO LAWEZA KUWA ZURI AU BAYA KWA MTAZAMO WAKO.HIYO NDIO NAITA OUTSIDE THE BOX.
MWANA JF NITAJIE JAMBO MOJA ZURI NA MOJA BAYA UNALOLIONA LAWEZA TOKEA MMOJA WA WAPINZANI AKIINGIA PALE IKULU.HAPA USIJALI SERA AU MANENO YAKE,NIMESEMA NI OUTSIDE THE BOX. MFANO;
MR X. maoni yangu; kibaya........atadidimiza sekta ya madini.
kizuri..........pato la taifa litakua
 
kama unataka tutoe mawazo nje ya box inabidi ueleze hilo 'box' ni lipi.
box hapa ni sera za chama na maneno ya kiongozi:
Mfano wewe bwana abdulhalim nakujua vizuri,sera ya chama chako na maneno yako ya kisiasa wote tunayajua. Lakini hivyo ndivyo vitakuwezesha kuingia state house/ikulu,ila kwa ninavyofikiri na ninavyo kujua ukiingia pale najua hili,lile, na haya lazima utayafanya hayo ndio outside the box. Ni mambo ambayo wengi hawayaoni,lakini yaweza tokea hujaelewa tu mheshimiwa sana?
 
You are assumming kwamba naamini ktk circus called 'siasa', wanasarakasi wanaoitwa 'wanasiasa' na magenge yao ya kihalifu yanaitwa 'vyama vya siasa'. Kwa kifupi sina input ktk hoja yako, maana it is intrinsically and extrinsically fallacious.
 
you are assumming kwamba naamini ktk circus called 'siasa', wanasarakasi wanaoitwa 'wanasiasa' na magenge yao ya kihalifu yanaitwa 'vyama vya siasa'. Kwa kifupi sina input ktk hoja yako, maana it is intrinsically and extrinsically fallacious.
umeeleweka,point taken.
 
You are assumming kwamba naamini ktk circus called 'siasa', wanasarakasi wanaoitwa 'wanasiasa' na magenge yao ya kihalifu yanaitwa 'vyama vya siasa'. Kwa kifupi sina input ktk hoja yako, maana it is intrinsically and extrinsically fallacious.

Hey boss, r u promulgating your exhortation or simply articulating superficial sentimentality!???
use ur rumble-gumption man..style up!

MREMA:
akiingia ikulu uhalifu utapungua kwa kasi ya ajabu..
Sihda: maendeleo yatakuwa Huko KLM peke yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom