Think big! Mtu mwenye kinga ya kutoshatikiwa ana haki ya kutoa ushahidi mahakamani?

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Wana bodi hii ni kutaka kujua tu. mwenye ufahamu anifahanishe.

mtu unakuwa huna haki ya kugombea kama huna sifa za kupiga kura nina uhakika ipo kisheria na kikanuni kwa mujibu wa vyama vya siasa.
Hili la Mtu mwenye kinga ya kutoshtakiwa likoje. Kama yeye hashtakiwi ni kipi kinamfanya amtetee mtu mahakamani.
ninajua kuwa unapotoa ushahidi wa uongo mahakamani unaweza kufungwa! Je huyu Rais Mstaafu (kwa Mfano Mkapa leo dhidi ya Mahalu) ambaye ana kinga! akaongea uongo na mahakama ikaproove sheria inasemaje hapo! naomba mnijuze wandugu
 
Back
Top Bottom