Things Men Wish They Could Say...!!

Nia sio tena kukujulisha that 'your cooking sucks' hapo tumeingia kwenye mafunzo ya vitendo nadharia imeshaachwa nyuma.
The smart ones always insist on knowing more.It is simple,actions speak louder than words.Bilashaka ukiona jinsi ninavyo-enjoy hiko chakula cha hapo pahala ukilinganisha na ninavyokula cha kwako ili kuganga njaa tu,utajitahidi kunifurahisha kama kweli unanijali.
The way to a man's heart is through his stomach.
Is this true for you?
 
Sasa hicho chake unakulaje "kuganga njaa"?Kuna namna yoyote au style maalum?Na kama kumwambia huwezi kwa woga wa kumwumiza hiyo namna ndio haitomuumiza?

Badala ya kufanya kitu cha kawaida kuelewa kichukue muda kwa kutumia mafumbo just be open. Mwambie mi mboga za majani siwendi zitiwe maji mengi, au sipendi zikaangwe,mchuzi sipendi uwe kama maji ya kunawia mikono mtu atakusoma na atatafuta namna nyingine. Na sijui akiumia, well she'll get over it. Uncle wangu alimwambiaga mke wake wazi kabisa kwamba "mpenzi unaniabisha" maana alipika ndizi kajaza maji utadhani kahamishia mto jikoni wakati wa upenzi hata sio uchumba wao. Sasa hivi wako ndani ya ndoa na wana furaha. Kwahiyo hao unaowaita 'smart' labda kama sio WAELEWA nna uhakika wanaweza wakakulewa ukiwaambia maana wakati mwingine watu hukazana kufanya kitu kwa kudhani we unafurahia kwabsababu hujasema otherwise na sio hujaonyesha otherwise.
 
Mfano wa 'kuganga njaa' ni kubakisha chakula mara kwa mara wakati nikienda nae kwenye mgahawa,family friends au relatives wanaopika vizuri nasafisha sahani.
Ukiangalia maelezo yangu mwanzoni nilisema uvumilivu una mipaka yake.Hilo somo lako nimelielewa sana kuna umuhimu wa kuomba kupata aliye smart na pia understanding.Hiyo concept ya kuwa na mawasiliano mazuri(being open) na kumuelewesha vile vitu desirable pia uko sahihi.
And i noticed one more thing the way you argue inaonyesha wewe ni wale wenye strong character kwa hiyo hata kukueleza moja kwa moja ingekuwa rahisi zaidi.

Thank you.
 
Hehehhe ahsante. Nad if you don't mind me asking. . . kwanini unaamini/dhani hao unaohusika nao wewe hawawezi kuhandle ukweli?

Binafsi napenda hivyo kwasababu kwanza mnamalizana mapema badala ya kusubiri agundue baada ya wiki/miezi ya wewe kutofurahia kula nyumbani, pili inanipunguzua mimi maswali na kusumbuka kuguess vitu ambavyo sina uhakika navyo.Yani ni rahisi zaidi kwa pande zote mbili.

Ngoja nikwambie namna ambayo naweza nikatafsiri hayo matukio tofauti na matarajio yako.
. .Hotelini. . . unakula kuhakikisha unamaliza kila kitu kwasababu umelipia. Kuna watu wa aina hiyo. . . yani akilipia hata soda moja kwa moja atahakikisha anamaliza hata kama tumbo haliruhusu.
. . Kwa ndugu . . hutaki wakuseme kwamba huli. Kwahiyo unajitahidi ili kuwaridhisha.
. . Kwangu. . . unajisikia huru kwahiyo huna haja ya kujilazimisha umalize wakati hujisikii.

Yani unachotegemea mwenzako agundue sijui ahisi kinaweza kikawa tofauti kabisa. Ndio maana mimi napenda maneno zaidi.
 
Sasa hicho chake unakulaje "kuganga njaa"?Kuna namna yoyote au style maalum?Na kama kumwambia huwezi kwa woga wa kumwumiza hiyo namna ndio haitomuumiza?

Badala ya kufanya kitu cha kawaida kuelewa kichukue muda kwa kutumia mafumbo just be open. Mwambie mi mboga za majani siwendi zitiwe maji mengi, au sipendi zikaangwe,mchuzi sipendi uwe kama maji ya kunawia mikono mtu atakusoma na atatafuta namna nyingine. Na sijui akiumia, well she'll get over it. Uncle wangu alimwambiaga mke wake wazi kabisa kwamba "mpenzi unaniabisha" maana alipika ndizi kajaza maji utadhani kahamishia mto jikoni wakati wa upenzi hata sio uchumba wao. Sasa hivi wako ndani ya ndoa na wana furaha. Kwahiyo hao unaowaita 'smart' labda kama sio WAELEWA nna uhakika wanaweza wakakulewa ukiwaambia maana wakati mwingine watu hukazana kufanya kitu kwa kudhani we unafurahia kwabsababu hujasema otherwise na sio hujaonyesha otherwise.

Kweli kabisa.
Ni vyema kumwambia mke ukweli hata kama utakua ukweli mchungu. Na hiyo ndiyo njia nzuri ya kumfundisha na kumfanya azingatie na kuyafahamu yale husiyoyapenda.

Mimi uwa sina maneno ya kuzunguka msituni kwenye jambo ambalo sijalipenda. Kama chakula kina mafuta mengi,chumvi nyingi n.k. namwambia.
Hii haiishii kwenye masuala ya chakula tu,bali kwenye kila kitu,ukweli mbele daima.

Kuficha ukweli ni sawa na kuficha ugonjwa. Mwishowe kutoka nje kwa wanaofahamu kupika n.k. kutajitokeza na kuweza kuvuruga ndoa.
 
Pamoja kabisa. . . muhimu ni lugha utakayoitumia na sio ujumbe utakaofikisha. Watu wengi hua wanaropoka tu bila kuzingatia mazingira waliyopo (wageni, watu wengi) na mood ya mhusika ndio maana wanaona kwamba watu hawawezi kukosolewa/rekebishwa moja kwa moja na wakaelewa bila matatizo.
 
Exactly. Mazingara wakati wa kuambiana ni muhimu. Kwani yana uzito mkubwa sana katika namna ujumbe utakavyopokelewa na mwenzako.

Asante mwalimu.
 
Ila kiukwel ni ngum sana kwa mwanaume, kumwambia direct mwanamke anapokosea lazma atapindisha maneno. Sa cjui km wanawake wanja uelewa juu ya hurka zetu!
 
Exactly. Mazingara wakati wa kuambiana ni muhimu. Kwani yana uzito mkubwa sana katika namna ujumbe utakavyopokelewa na mwenzako.

Asante mwalimu.
Hahahaha eti mwalimu.

Haya karibu mwanafunzi. . lolz
 
jamani.,lizzy alivoiamulia hii thread!kakaba hadi penati..you go girl!lolz
 
Sasa hicho chake unakulaje "kuganga njaa"?Kuna namna yoyote au style maalum?Na kama kumwambia huwezi kwa woga wa kumwumiza hiyo namna ndio haitomuumiza?

Badala ya kufanya kitu cha kawaida kuelewa kichukue muda kwa kutumia mafumbo just be open. Mwambie mi mboga za majani siwendi zitiwe maji mengi, au sipendi zikaangwe,mchuzi sipendi uwe kama maji ya kunawia mikono mtu atakusoma na atatafuta namna nyingine. Na sijui akiumia, well she'll get over it. Uncle wangu alimwambiaga mke wake wazi kabisa kwamba "mpenzi unaniabisha" maana alipika ndizi kajaza maji utadhani kahamishia mto jikoni wakati wa upenzi hata sio uchumba wao. Sasa hivi wako ndani ya ndoa na wana furaha. Kwahiyo hao unaowaita 'smart' labda kama sio WAELEWA nna uhakika wanaweza wakakulewa ukiwaambia maana wakati mwingine watu hukazana kufanya kitu kwa kudhani we unafurahia kwabsababu hujasema otherwise na sio hujaonyesha otherwise.
Simple Lizzy, Every woman is not Lizzy, get that into your head before thinking that everyone will be ok with the methodology you are suggesting here.
 
Ofcourse I know that. . .there is only one me, but it doesn't mean wanawake wengine wote sio waelewa kiasi cha kushindwa kupokea suggestion ya namna gani wanaweza wakaboresha hili au lile.
 
Alikuwa anaunga hadi na nazi....

Ilichukua muda mrefu,siku moja kuna mahali tuliwatembelea watu.. Tukashinda huko..
Walipika mboga mbalimbali..
Tuliporudi home,tukaanza kuongelea ile visit kwa ujumla... Mi ndiyo nikapata kuchomekea kuwa nilipenda mapishi yao ya mboga za majani...
Yeye akaponda,na kusema ni mojawapo ya aina ya mapishi ya mboga za majani asiyoipenda..nikamwacha tusigombane...

ukimwambia m2 ukwel na yey akawa juu ts obviously hayupo tayari kubadilika kwa kile unachomwambia so ts beta ukip quite an luk wat wl be goin 2 hapen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom