-Things fall apart- yangu macho

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Amini usiamini kweli ccm mnashangaza na ndio maana mnaambiwa chama kinakufa.Hivi mawaziri wanaposema mambo wanayotamka kwenye kampeni sio kweli sasa kipi sisi wananchi tutajua ni cha kweli katika sera za chama? wananchi hapa tunapigwa za mdomo tuwakatae watu hawa kumbe ni wachafu kwa maneno na vitendo.
kwa ccm twaweza sema :no longer at easy:
 
Sio kwamba kinakufa kwa udhaifu wa watendaji wake tu, bali muda wa kufa nao umefika. Yaani hakuna namna ule mwisho umekaribia sana!
 
CCM ni marehemu,yaani waziri mkuu anakiri mbele ya Bunge kwamba Mawaziri wake maneno wanayosema kwenye kampeni ni uongo mtupu jamani nchi ya wagagagigigoko
 
Back
Top Bottom