TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Leo nimepita Mbele ya Hospitali ya Taasisi ya magonjwa ya Moyo(THI) , nimekuta bango kubwa kwamba imefungwa. Hii taasisi ya THI imekuwa ikipigwa vita tangu ilipoanzishwa . Swali kwa JF , je ? sio kwamba inapigwa vita ili watu wa wizarani waendelee na mavuno yao katika kupeleka wagonjwa India ?