They cause it and blame you........

Duh! mkuu kufashi ya wapi bana? nimekumbuka mbali sana. duh! masista wa kamadori walivokuwa wanacheka cheka tu wakituona.
 
Not real, ukinikumbusha itakuwa sawia......chui kazaa zipo.
 
nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!
unamkumbuka MPIGA KINANDA MACHACHARI SANA,aliyekuwa form four we ukiwa five?jina lake limeanzia na G
 
Girlfriends are like chocolates, taste good anytime.
Lovers are like PIZZAS, Hot n spicy, eaten frequently.
Husbands are like leftovers, eaten when there's no choice
 
nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!
unamkumbuka MPIGA KINANDA MACHACHARI SANA,aliyekuwa form four we ukiwa five?jina lake limeanzia na G
najaribu kukumbuka mzee, tatizo langu nilikuwa nakuywa ile alter wine usiku tukienda kusali, so asubuhi kanisani nakuwa nasinzia tu!! hahahaa!
 
Asa mbona mnapotosho mwwelekeo wa thread?
Mwanzenu kakumbwa na maswahiba nyie mnaleta utani?

Pole mwaya ila chunguza kama nawe umepunguza ule mshawasha kiasi kwamba kupewa chipo unakuchukulia kama sehemu ya wajibu wake na si mapenzi! Utakutwa wengine zamani enzi zile hawajaoana mdemu akienda kumtembelea mwenzie akifika tu mlangoni anachua leo lazima tupeane raha yaani mapenzi yanaanza mapemaaa! Sasa wewe unayerudi usiku wa manane halafu hata hujatoa signal kuwa utayarishiwe ukija unaparamia tu lazima nichukie kwa kuharibiwa usingizi wangu!

Lakini ukitoa ishara mapema basi na mie huku nakusubiria huku nafikiria leo nikurushe kwa staili gani yaani ni full mzuka tu!!
 
hahahaha!
hahahaha!
kama ulisoma pale nakupa clue!hakuna mtu ambae hakunifahamu pale!hasa inapofika jumapili kanisani,siku za consolata day,ukija basketball na maeneo husika.

ukinikumbuka nakuruhusu ulitaje jina langu hadharani!RUKSA.nitakupiemu nikupe namba zangu later.

ngoja niwahi taska yenu-bar!
 
senksi man, itakuwa sawia.
 
Asa mbona mnapotosho mwwelekeo wa thread?
Mwanzenu kakumbwa na maswahiba nyie mnaleta utani?

Pole mwaya ila chunguza kama nawe umepunguza ule mshawasha kiasi kwamba kupewa chipo unakuchukulia kama sehemu ya wajibu wake na si mapenzi! Utakutwa wengine zamani enzi zile hawajaoana mdemu akienda kumtembelea mwenzie akifika tu mlangoni anachua leo lazima tupeane raha yaani mapenzi yanaanza mapemaaa! Sasa wewe unayerudi usiku wa manane halafu hata hujatoa signal kuwa utayarishiwe ukija unaparamia tu lazima nichukie kwa kuharibiwa usingizi wangu!

Lakini ukitoa ishara mapema basi na mie huku nakusubiria huku nafikiria leo nikurushe kwa staili gani yaani ni full mzuka tu!!
tatizo ni kwamba, with time inakuwa kama vile mm ni robot mwenzangu ndo binadamu...lazima nitake mm, lazima nitayarishe mm. si unajua hata sisi tunapenda kutakwa pia? at least kuona ze patna anahamu na mm?!!
 
Haya ni matatizo makubwa katika ndoa za leo... ule utamu sijui kwanini unaisha. lakini unaweza ukakuta ana jamaa huko anampa mpaka ku-moyo!!

LAkini cha maana zaidi ni kutafuta sometime mkapate holiday hata kama ni wanging'ombe kuelekea njombe!!
 
Masai Pub to precise na ninakiu kali sana leo, jana nililianzisha nikarudi home mapema sasa leo nimekwisha acha notice nyumbani nitarudi mida mibovu.

dah umenikumbusha mbali, maeneo hayo kuna huduma zote, muziki, supu nk in just a walking distance, if u know what I mean, LOL:D
 
Asa mbona mnapotosho mwwelekeo wa thread?
Mwanzenu kakumbwa na maswahiba nyie mnaleta utani?

Pole mwaya ila chunguza kama nawe umepunguza ule mshawasha kiasi kwamba kupewa chipo unakuchukulia kama sehemu ya wajibu wake na si mapenzi! Utakutwa wengine zamani enzi zile hawajaoana mdemu akienda kumtembelea mwenzie akifika tu mlangoni anachua leo lazima tupeane raha yaani mapenzi yanaanza mapemaaa! Sasa wewe unayerudi usiku wa manane halafu hata hujatoa signal kuwa utayarishiwe ukija unaparamia tu lazima nichukie kwa kuharibiwa usingizi wangu!

Lakini ukitoa ishara mapema basi na mie huku nakusubiria huku nafikiria leo nikurushe kwa staili gani yaani ni full mzuka tu!!

MJ1

tatizo sometime mtu anakuwa very cold kiasi kwamba hata utoe ishara za tausi bado utamkuta yuko bize na mambo mengine... au kama umewahi wewe room basi atajiyeyusha hapoooo mpaka kidodoma kilale fofofo
 
nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!
unamkumbuka MPIGA KINANDA MACHACHARI SANA,aliyekuwa form four we ukiwa five?jina lake limeanzia na G

Mkuu nimekugongea kale katufe ka senksi kwa ajili ya hilo kwanza! dah! upo juu babake!

kiu !
 
Back
Top Bottom