Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
KIMICHIO umejuaje???? Lakini hata kama ni MS apewe freedom of expression.Huyu jamaa usikute ni malaria sugu kabadili jina maana mgeni hawezi kuja moja kwa mja na pumba za namna hii.na kama ni mgeni basi hajasoma maana ya jamii forum ni nyumba ya watu wa namna gani.
Kujifunza ni kujua mambo mengi, lean to tor-orate and cooperate with others of deferent opinion.
This man has guts!!!!!!!!!