Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

Emily Adolph akaharibu mambo tena na yeye baada ya kutembea uchi tena
Mkuu tatizo la Emily mwaka 1995 alikuwa mwanafunzi wa form 3 alipojiunga na mashindano na kushinda,kimbembe kilikuwa alipotaka kurudi shule Mwalimu Mkuu akadai kwa kutembea uchi-yaani vazi la ufukweni kaidhalilisha shule na pia hakupewa ruhusa akafukuzwa.
Waziri wa Elimu akampangia shule ingine.
 
Kumbe watoto wazuri kuvaa mapaja yakiwa wazi haijaanza leo??


UCHI.jpg
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom