Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Mkuu ustaadh O.R. Nundu, kubali tu kuwa hata kama hukula hela you were the slowest dinosaur. Simply useless.
Nchi haitaki wazee goigoi kaa wewe, mzee mwenzako Ronald Reagan (RIP) alikuwa mzee lakini alipanga watu wake vizuri mbele yake wafanye kazi na anasifika mpaka leo kwamba ni miongoni mwa rais mahiri kabisa USA. Nliposkiaga tu utetezi wako kuhusu wikileaks kuhusu uagizaji wa ndege nkaona tu wewe uko slow na hujui kuwa hujui.
Mi naona kheri umepumzishwa, maana hata huu utetezi wako na mashairi unautoa when it is too late, tena kwa mafumbo. Kwa kifupi huna jipya.
Mkuu unamuonea tu huyu muheshimiwa,
Wengi ya watendaji wezi na wabovu hakuwa na mamlaka nao, na wala hawaripoti kwake!
Mfano ni naibu waziri wake! Anazama masafari anaaga kwa PM.
We unacheza na Tanganyika wewe? wizi upo damuni.