Kauli za Mizengo Pinda siku zimekuwa zikiiweka serikali on the defensive mara kwa mara, je ana competency issues?
Serikali has a million ways kujitoa "hata kama ilihusika". Tatizo ni competence na ujasiri wa kufanya hivyo!
- wakati EPA imeshika kasi na kauli yake kuwa HAWA NI WATU WENYE NGUVU SANA, SERIKALI ITAYUMBA
- Wakati wa sakata la Zanzibar si NCHI
- Wakati wa sakata la Maalbino hadi kutoa CHOZI
- Wakati wa sakata la Jairo na kauli yake ya NINGEKUWA MIMI
- Wakati wa sakata la kupandishwa posho za wabunge aliungana na spika baadaye bosi wao akaruka
- Sasa hivi kauli yake ya LIWALO NA LIWE inaonekana kuashiria wazi kuwa serikali na hasa WM alijua nini kimemtokea kiongozi wa madaktari
Kukata uno wapi? Makubwa!!! Siku hizi kukata uno ni sehemu ya CV ya kupata ukuu wa mkoa?? Kama ni hivyo wanamziki mbona hawapwi hata ukku wa kata?? Au kiuno hiki kinakatwa wapi?? Kwenye sherehe ya kitaifa au???
Kukata uno wapi? Makubwa!!! Siku hizi kukata uno ni sehemu ya CV ya kupata ukuu wa mkoa?? Kama ni hivyo wanamziki mbona hawapwi hata ukku wa kata?? Au kiuno hiki kinakatwa wapi?? Kwenye sherehe ya kitaifa au???
Jamani nataka kuuliza swali..
Hao Wabunge wa CCM wanaodai kwamba Chadema inahusika kwa madai ya kuwa WALIOMTEKA Dr.Ulimboka walivaa magwanda kama ya Chadema. Je, hawa wabunge walikuwepo hadi wanajua haya? na walizipata wapi taarifa hizi ikiwa hadi sasa hivi taarifa za Polisi hazijathibitisha wahusika wenyewe na wala hii sii taarifa za bunge?.
Hivi kisheria hawa Wabunge hawawezi kubanwa kueleza wamezipata wapi taarifa hizi, tofauti na madai ya Chadema ambayo askari wetu
.
Sasa wewe hujui kuwa polisi wanavaa nguo zenye rangi sawa na zile za Chadema?.
Msiogope wauao mwili wasiweze kuua na roho, afadhali mwogopeni yeye awezaye kuua vyote, mwili na roho katika jehanamu.
siyo kwa wabunge wa CCM tu............ jeshi la polisi limeomba mtu yeyote mwenye habari zitakaowasaidia katika uchunguzi wao awapelekee. kwa mawazo yangu hili suala la Dr Ulimboka linahitaji uzalendo wa kweli katika uchunguzi na si siasa za kishabiki kwani suala lenyewe lina madhara makubwa kwa jamii yote kwa ujumla bila kujali utashi wao wa kisiasaJamani nataka kuuliza swali..
Hao Wabunge wa CCM wanaodai kwamba Chadema inahusika kwa madai ya kuwa WALIOMTEKA Dr.Ulimboka walivaa magwanda kama ya Chadema. Je, hawa wabunge walikuwepo hadi wanajua haya? na walizipata wapi taarifa hizi ikiwa hadi sasa hivi taarifa za Polisi hazijathibitisha wahusika wenyewe na wala hii sii taarifa za bunge?.
Hivi kisheria hawa Wabunge hawawezi kubanwa kueleza wamezipata wapi taarifa hizi, tofauti na madai ya Chadema ambayo askari wetu wa jeshi la Usalama ametambuliwa na kuhusishwa na victim mwenyewe?
Hawana ubavu wakujikamata. Haiwezekani kfanya lolote zaidi ya kuja na maelezo kwamba ni wahuni ndio waliofanya hivyo! Si umesikia yule fuska wa ccm ambaye kapewa ukuu wa mkoa kwa kukata uno alivyoropoka mjengoni?? Hawana la ziada na hawatafanya lolote maana ni kawaida ya serikali hii kuua!
Ulimboka is lucky to be alive!
Kule Serengeti aliuwawa mtalii toka Holland, wakatoka mawaziri wawili bungeni na Helcopter mpaka Serengeti na ndani ya masaa 24 watu wamekamatwa. Huko ni mbugani, lakini Dar ambapo Dr Ulimboka ametoa maelezo ya awali ambayo yangeweza kabisa kusaidia kukamata wahalifu mambo yako kimya. Ungeangalia kikao cha jana bungeni ungepatwa na pressure, wabunge wa CCM wametumia nguvu kubwa sana kuzima issue ya Dr Ulimboka. Lakini wasilojua ni kwamba sasa hivi wananchi wanapatwa na hofu kila wakiona askari. Huna uhakika kama unakamatwa wewe!
na ukizingatia tetesi kua hali ya dokta Ulimboka inazidi kuimarika basi ni utata mtupu. kwa kua rais alisema kama ni mtu wa serikali alifanya hivyo ni kwa utashi wake mwenyewe na sio kwa oda yake basi mbona pakuanzia tayari pamepatikana. wawakamate wahusika halafu rais ajikwepeshe kua hahusiki kama alivyoanza kujitoa kwene hotuba yake
Alafu vikaachiwa kwa msamaha wa rais baada ya muda mfupi upo hapo???????Suala la Dr Ulimboka linatatiza kama lile la Imran Kombe. Angalau lile la Kombe vikoplo kadhaa vilikamatwa, vikashtakiwa tukaambiwa vimefungwa. Hili la Dr Ulimboka nalo wangerudia maigizo kama haya ili kama TAIFA tuhamishie mbongo zetu kwa masuala mengine. Serikali inashindwaje kuigiza hili? Au waliotumwa walifanya kinyume? Au kazi bado inaendelea? Kwa nini sasa akina Mwigullu, Manyanya wanataka kuligeuza mtaji wa kisiasa?
"Presida has LIED."Kila panpotokea uovu lazima trace iachwe na ndio maana wahalifu hukamatwa. Presida alisema ''Serikali imteke Ulimboka kwa Kwa lipi hasa?" Mizengo akasema tumashahangaika na hili jambo sana ."Sasa Liwalo na liwe"
Presida kasahau kwamba kwa wakati huu serikali ina common enemy ambao ni madaktari . Wana hofu kuwa wanachi watawamwaga hivyo kwa mtu yeyeto mwenye kukurupuka anaweza akafanya jambo bila kufikiri. Kusema kwa lipi maana yake hakukuwa na sababu. Mimi nasema kulikuwa na sababu maana Pinda alishatangaza wazi kuwa serikali imeshindwa lakini itafanya kile ambacho ni cha mwisho.
Kutuambia kuwa serikali haikuwa na sababu ya kumteka Doctor ni UONGO. Presida has LIED.
Kusema kuwa aliyehusika kama ni mtu wa serikali kafanya kwa interest zake mwenyewe ni uongo mwingine. Serikali is an abstruct thing, so watekezaji ni agents wake ambao hufuata order. Top ni wewe Presidaa. Hawa hawawezi kujiamulia bila system yote kuridhika na kutoa o.k
Hapa hapakuwa na ugomvi kati ya Doctor na watu watano waliomteka na kumharibu vibaya kikatili, na kama ipo au ilikuwepo, basi security system ingekuwa tayari imeshawakamata maana hao ndio wangekuwa adui wa kweli wa serikali.
HIVI SI JAMBO LA KAWAIDA UKIMWAMBIA MTU NITAKUUWA USIKU HUU, NA IKATOKEA HIVYO WEWE UKAWA FIRST SUSPECT? HOW CAN YOU DENY THAT. SI KWELI PINDA ALITUAMBIA WA TZ MTAONA NITAKACHOFANYA LIWALO NA LIWE? Na usiku huo akafanya kweli? Au tuseme Mr Presida unasema Pinda ndiye mhusika na wala si wewe? I hope you are still together in the same top level, otherwise una serikali yako na Pinda ana ya kwake. Hata ingekuwa hivyo basi zote mbili zimehusika 100%
Kwa kuwa mmeshazoea kupinga hata kitu kilicho wazi , bila shaka tutasikia kesho kutwa MR Presida akisema hajatoa hotuba mwisho wa mwezi Juni akipinga kuhusika kwa serikali yake katika uovu aliofanyiwa raia wake Doctor Ulimboka.
Kazi kwenu.