There is no such thing as a successful divorce...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
"Marriage is perhaps the most vital of all the decisions and has the most far-reaching effects, for it has to do not only with immediate happiness, but also with eternal joys.
It affects not only the two people involved, but also their families and particularly their children and their children’s children down through the many generations."

There is no such thing as a successful divorce...
 
true my sista..divorce ni divorce hata ipakwe blue band...ehehehhehe..sad thing that!!
 
SIKU MOJA MOJA MUWE MNARUSHA VITU ambavyo mmevifikiria wenyewe kichwani,otherwise it is too rediculus
 
acha kufurahisha jamvi mama mia, hebu soma hapa kisa cha kweli uone mfano wa "successiful divorce"

katika mchango wangu leo kwenye thread moja nilitoa kisa hiki cha kweli kama mfano wa kile nilichochangia. kutokana na utata wake nimeona niweke hapa kama thread inayojitegemea ili great thinkers wa JF wapate fursa ya kuijadili kwa kina kwani inatugusa sote na hususani ndoa zetu tunazozienzi daima.

kisa chenyewe ni hiki:

kuna jamaa yangu mmoja mkewe alikuwa jeuri sana hadi akampiga talaka. kwa sababu ya mtoto, jama hakumwondoa nyumbani mara moja bali alimtegea aondoke mwenyewe kwa hiyari yake na wakati wote alimpa mtaumizi kamili bila kukosa. haukupita muda yule bwana alimhurumia kwa kumwona hana raha, akamhakikishia kuwa kama hataondoka kwa hiyari yake, kamwe yeye hatamfukuzza na kumtaka aondoe mawazo, waheshimiane na kulea mtoto wao mpendwa. mama akaanza kupata amani moyoni, mume akajiona hana tena uhalali na wife kwani alishamkana. akapata nyumba ndogo, na wife akabaki kulea mtoto tu. yalipomshinda wife aliomba na anaendelea kuomba kila anapotaka na sasa ni mwaka wa pili na majuzi wamebarikiwa mtoto mwingine! wanmpenda na kumlea kwa furaha.

wasipokuambia habari yao, kamwe huwezi kujua kuwa wana talaka mikononi mwaao.

kuna wengine alifikiri ni hadithi na wengine wakasema inafafanana na filamu moja ya kihindi, lakini ni kisa cha kweli na mimi niliyekileta si tu nilichangia na kushiriki kwa hali na mali katika harusi yao bali pia nimekuwa mshauri wao mkubwa katika maisha yao ya ndoa ndio maana ni mmoja wa watu wachache sana wanojua habari hii hapa duniani.

kweli ndoa zina mambo. leteni maoni yenu tuwasaidie wenzetu na tujimulike nasi wenyewe tuko salama kiasi gani.

Mungu zibarki ndoa zetu.
 
true my sista..divorce ni divorce hata ipakwe blue band...ehehehhehe..sad thing that!!

wanawake hawapendi divorce lakini wanzitafuta kwa nguvu. hebu soma kisa cha "nani wa kwanza kujulishwa mtoto anapozaliwa" uone jinsi wanawake wanavyotafuta divorce.
 
wanawake hawapendi divorce lakini wanzitafuta kwa nguvu. hebu soma kisa cha "nani wa kwanza kujulishwa mtoto anapozaliwa" uone jinsi wanawake wanavyotafuta divorce.

Mie nimesema divorce sio kitu kizuri..irrespective of how it happened or the predisposing factors and underlying issues...i have real life experience very close home that eventually resulted in the death of one of the parties....its a nightmare my friend!
 
hebu soma majibu hapo juu kidogo yanayohusu kisa cha "mama kuanza kumuomba baba tendo la ndoa) halafu uone faida mojawapo ya divorce
 
Back
Top Bottom