There is NO need of Masters Degree for an Entrepreneur

Mkuu nadhani tunafanya kosa kufikiri kwamba tunasoma sana ili tupate pesa au tuwe matajiri... Knowledge / Education is Power...., from your reasoning nikizaliwa mtoto wa tajiri na pesa zipo nyingi kwahiyo hakuna faida ya kusoma.... Binafsi mimi hata kama wangekuwa hawatoi vyeti bado ningesoma...., learning is just a tool you can use, and majority of people maisha yao yatakuwa dependable na employment and very soon degree alone itakuwa haitoshi...

I know there are even more Bill Gates (College Dropout); Richard Branson (GCSE)..., lakini ujue in getting money you need to be street smart as well, (and not having a certificate does not mean you are dumb), sasa its like you are saying sababu ngumi peke yake inatosha kupigana kwanini nijifunze karate...

You never know opportunity ikija soma...., ila ukikosa opportunity isiwe kigezo kwamba siwezi kufanikiwa sababu sijasoma
RED: It says it All!!
 
COLLEGE/SCHOOL DROP OUT ENTREPRENEURS

Kumejitokeza debate mbalimbali kuwa wajasliamali wengi walio wazuri hawamalizi masomo yao, hii kwangu mm naona yaweza potosha jamii, ni kweli wapo wengi walio drop out lakini vilevile wengi zaidi wapo walio hitimu masomo yao na kufaulu kuwa wajasiliamari na zipo sababu pamoja na hizi chache;

Ndg zangu naomba niwaeleweshe hili College/school Drop outs!,,, Kusoma /biashara ni namna za kuhangaikia maisha, unapoanza tangu mapema aidha tangu primary schools inategemea kama wakati wote mawazo yako yanalenga(targeted objective) namna ya kuboresha maisha yako/kipato tambua kuwa wakati wowote ktk safari yako unaweza kukutana na njia iliyo bora kulingana na mazingira yaliyopo yanayokuzunguka ili kufikia hilo lengo lako mapema,aidha a good and viable Idea or business yaweza pelekea mhusika akaamua ku-drop au ku-disco… kwani mshika mbili moja humponyoka…. Hii ni tofauti kabisa na wale wenye malengo ya kupata elimu kamili /certification kwani lengo ni lazima amalize masomo aidha ili apate ajira, status n.k . Vyote havijali kabisa uwezo wako wa akili/uzembe/discipline n.k..
Second; kama wewe lengo ni kipato/entrepreneurship/kujiajiri lakini kwa muda wako wote wa masomo hujawahi/hukuwahi kupata deal or viable Idea hadi unamaliza MBA yako haina maana KABISA kuwa wewe sio Entrepreneur mzuri.. Ni sawa kabisa wako watu wanaajiriwa wakiwa bado viuoni mwaka wa mwisho, na wengine wanatafuta kazi hata 4yrs after his graduation may be with 3.6 GPA…..
Third:. Kwa hao role models kama Bill Gate,warrern baffet, n.k wakati mwingine unakuta wakati anaingia chuoni tayari anamalengo ya kazi/biashara specific ya kufanya hivyo anajuwa kabisa courses atakazo hitaji na akishazipata anaondoka kwani college programs zinaandaliwa in general hana haja ya kupoteza muda na kilichomleta tayari amepata…
Forth: Je kwa hao role models una uhakika gani kuwa hakujiendeleza/hajiendelezi kielimu baada ya hapo ? ? kwani nini maana ya elimu ?? Mimi nadhani ni kupata knowledge kwa namna yeyote ile ili kufanikisha malengo yako Na SIO ni kuhesabu madarasa na kushuhudia graduation !!??
Mara nyingi watu kama hawa wana elimu kubwa sana na (relevant,real and effective education) kuliko hiyo ya kuhesabiwa miaka na madarasa au certificates mfano mm nimeshuhudia mtu hajamaliza hata “O”Level lakina ana-apply university techniques kama vile NPV,IRR,PBP etc.. for Investment analysis/appraisal,
 
Nimesoma hoja zenu hazijanikaa vizuri pamoja na kuwa mie sio msomi. Pengine kutokuwa kwangu msomi ndo kumeniponza. Hivyo naamini kuwa msomi ana uwezo zaidi wa kupambanua mambo.... Kwa ujumla mie sikubaliani na mawazo kuwa huhitaji elimu kutoka.... Hata kina bill gates wana research centres ambamo wasomi ndio wanaofanya kazi na kuleta innovation kwenye industry.... Kisomo ni muhimu isipokuwa unahitaji kuwa "smart" na si kutumbukiza miguu kwa ndoo.
Jaribu kurudia taratibu kusoma walichoeleza wenzako utawaelewa , hawakatazi mtu kuenda kupata elimu, wanachosema ni kwamba watanzania walioengi wanasubiri mpaka wapata degree mbili ( masters) ndipo waingie kwenye ujasiia mali , mwanzilishi wa mjadara anajaribu kuwaasa vijana kubadili hivyo tabia , anasema hata kama una elimu ndogo kama hiyo uliyonayo unaweza kufanya ujasilia mali, akatoa mfano wake yeye kwamba katika masomo yote aliyosoma kwenye shahada ya kwanza ni masomo matatu tu ambayo amekuwa akiyatumia kwenye maisha yake.
kuna jambo umelizungumza kwamba shule inasaidia kuchanganua mambo vizuri ni kweli, lakini naomba nikusaidie kitu ambacho kimenisaidia mimi soma sana vitabu kama think and grow rich cha napolen hill, na the magic of thinking big na vinginevyo vitakusaidia sana.
mimi sina degree kila mwaka naahirisha ila baadhi ya wafanyakazi wangu wanadegee hivyo natumia degree zao kufanikisha ufanisi wa biashara, kwa hivyo kwangu mimi degree naiheshimu sana ila sina haraka ya kuipata kwa sasa nasoma na abe uk ,. sisomi ili niajiriwe labda katika sehemu hiyo nahisi napishana na mitazamo ya watanzania wenzangu wengi ambao wameaminishwa kwamba ili ufanikiwe unahitaji degree
 
Jaribu kurudia taratibu kusoma walichoeleza wenzako utawaelewa , hawakatazi mtu kuenda kupata elimu, wanachosema ni kwamba watanzania walioengi wanasubiri mpaka wapata degree mbili ( masters) ndipo waingie kwenye ujasiia mali , mwanzilishi wa mjadara anajaribu kuwaasa vijana kubadili hivyo tabia , anasema hata kama una elimu ndogo kama hiyo uliyonayo unaweza kufanya ujasilia mali, akatoa mfano wake yeye kwamba katika masomo yote aliyosoma kwenye shahada ya kwanza ni masomo matatu tu ambayo amekuwa akiyatumia kwenye maisha yake.
kuna jambo umelizungumza kwamba shule inasaidia kuchanganua mambo vizuri ni kweli, lakini naomba nikusaidie kitu ambacho kimenisaidia mimi soma sana vitabu kama think and grow rich cha napolen hill, na the magic of thinking big na vinginevyo vitakusaidia sana.
mimi sina degree kila mwaka naahirisha ila baadhi ya wafanyakazi wangu wanadegee hivyo natumia degree zao kufanikisha ufanisi wa biashara, kwa hivyo kwangu mimi degree naiheshimu sana ila sina haraka ya kuipata kwa sasa nasoma na abe uk ,. sisomi ili niajiriwe labda katika sehemu hiyo nahisi napishana na mitazamo ya watanzania wenzangu wengi ambao wameaminishwa kwamba ili ufanikiwe unahitaji degree

Kweli majina yana maana. sawasawa AKIRI keep it up on what your doing. Point noted :poa
 
Entrepreneurship ni kitu kizuri lakini tukumbuke kuwa majority ya Entrepreneurial ventures zinafeli, ndani ya miaka mitano asilimia 50% ya biashara mpya zinafeli ndani ya miaka kumi asilimia karibia 70 zinafeli (Data za wenzetu, Bongo data tatizo).

Na hata ambazo zinaendelea kufanya kazi ni chache ambazo zitaleta utajiri, hivyo kupata elimu ambayo itakupa kazi nzuri sio kitu kibaya kama mnavyofikiri, sio kila mtu anapenda kuchukua risk za kuanzisha biashara mwenyewe. Zaidi ya hapo kuna sababu nyingi za kupata elimu ya juu, sio kila mtua anawaza pesa tu.

Kuhusu Bill Gates lazima muangalie situation aliyokulia yeye, msije mkajifananisha mkaumia. Kwanza amezaliwa kwenye familia ya kitajiri ambayo ilimwezesha kwenda shule ambayo aliweza kupata access ya kompyuta wakati kompyuta zilikuwa chache sana duniani. So sio tu alikuwa na akili/passion bali alikuwa yuko right place na right time na right connections.
 
That is a superstructure kama haina strongest base lazima ianguke tuu. Mara ingine people with disabilities nchi zilizoendela wanapelekwa VETA kwa gharama nafuu ikiwa ni govt initiatives hali mradi kila mtu aweze kulipa kodi hata kama ni kidogo kwa ajili ya hizo initiative kama za afya na sustainable ajira.

Nchi kama Australia unayo digrii yako kama huna experience hata Abotour (kiwanda cha kusindika nyama) hawakutaki kwa hiyo elimu ya veta ni kiungo cha uchumi wa nchi yoyote ile kama wanahitaji ukuaji wa uchumi ila Tz VETA haifai kwani no govt initiatives i.e ya kuzalisha ajira na support for people with disability au low socioeconomic income.
 
true kabisa. Kusoma maandishi yanayaokufanya utafakari maendeleo yako, ujihoji, utafkari dunia kwa ujumla na nafasi yako. Pia humo unaweza gundua umuhimu wapesa nyingi vs umuhimu wa kuhudumia binadamu.
Vyeti nafasi yake ni kwenye proof kwa waajiri. Ila elimu umuhimu wake hauna kikomo. Sidhani kama kuna mtu anapoteza muda kusikiliza mawaidha/mafundisho darasani ni bora huyo kuliko anaeanza investment bila yeye mwenyewe kujiweka sawa psycholigicaly.
 
Wana jf nawashukuru sana hii thread is invaluable in our colleges community especially departments/faculties of business, am calling for lectures to take it as career preparation and working ground situation analysis of self employment and employments.
 
kang kama ulivyosema hizo ni data za wenzetu majuu ambako competetion ni kali na karibu kila opportunity iko covered lakini kwa nchi kama yetu ukiwa na bachela na kutumia juhudi na maarifa katika kufanya ujasiriamali nafikiri failure rate itakuwa ndogo sana. naunga mkono mada
 
Habari wanajamvi!
My concern leo ni vikwazo vilivotawala vijana wa sasa eti mpaka wawe na Masters Degree ndio watoke kimaisha, matokeo yake wanatumia muda mwingi vyuoni badala ya kupractice kile kidogo walichosoma kwenye Degree ya kwanza ambapo napo nakumbuka ni topics 3 tu zinazo apply katika maisha yangu ya sasa nazo ni INVESTMENT PROJECTS, INFORMANTION SYSTEMS, STRATEGIC PLANNING, basi sasa ina maana gani kuendelea kupoteza muda vyuoni kwa miaka 3 - 4, badala ya kuingia mtaani na kufanya practical
Elimu ni kama chakula unakula na kukifanyia kazi chakula sio kulala!, Wazazi wetu na wazungu wametupachika mentality mbaya kusoma hadi level ya juu zaidi ili utoke huku wao wakitengeza pesa kupitia institutions zao, nikiuliza ni Professor gani hata mwenye chuo hakuna, wamiliki wote wa education institutions ni wafanyabiashara

Sasa basi kama wewe ni mzazi au Mwanafunzi unapenda ujasiriamali huhitaji hata Degree ili utoke what you need is Experience, Respect, Confidence and a coacher to tell you the business ways. Because most successful people in the world mfano Bill Gates, Mark Zuckerberg, Warren Buffett, Roman Abramovich, Bharesah (Azam) they did it without even a single degree. So you can make it big aswell dont get twisted utake kusoma hadi maPHD kwa kufata mkumbo tu, Make it your own way. Just be POSITIVE

Kama kuna mtu ana mawazo tofauti unakaribishwa!

Waache watu wasome. Kwa sababu hata wakishindwa kufanya biashara, they will be better parents.
 
Back
Top Bottom