Theopist Quintine

Karibu sana Theopist jisikie nyumbani!

Na hapa utaratibu ni kukaguliwa na mkaguaji hayupo kifupi amefumaniwa na yuko kituoni kwa sasa, basi na kuruhusu uingie moja kwa moja na nta kuelekeza watu wa kuwa nao makini.
 
Haya karibu!
Una bahati umenikuta leo nimeamka vimetulia , vinginevyo ungekuta vimepanda nisingekuruhusu!
Sema asante !
 
Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom