Theodore Bagwell (T-Bag) is back

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Wakuu kwa wale wapenzi wa series huyu mtu nafikiri mtakuwa mnamkubali sana, maana bila yeye naamini PB isingekuwa tamu kama ilivyokuwa.

Jamaa amerudi tena using the same name and th same role as a prison's convict in a new series "Breakout Kings" ndo imeanza hivo na I hope it'll come kiukweli maana msela huwa haaribu..)
 
Wakuu kwa wale wapenzi wa series huyu mtu nafikiri mtakuwa mnamkubali sana, maana bila yeye naamini PB isingekuwa tamu kama ilivyokuwa.
amerudi tena in a new series "Breakout Kings" ..)

Oh Teddy Bear, Usinikumbushe, jamaa noma. Inapatikanaje? wapi?
 
Vipi wapo na Gretchen huyo naye paka ni noma namkubali mdada anajuan role yake.
 
Kaka, kwa tulio bongo mzigo tunaukamataje?, namkubali sana mshkaj na Michael Scofield, nadhan they made PB kuwa PB.
 
Pia Theodore Bagwell yuko kwenye series nyingine nzuri sana inaitwa SHAMELESS US.
 
Uliipata wapi i.e inapatikana wapi?
Mkuu kama utaona kudownload inakuwa ni ishu kwako tuwasiliane nitakupa series nyingine kama AMERICAN DAD, CALIFORNICATION, HUMAN TARGET, NIKITA, SHAMELESS US, SPARTACUS, VAMPIRE DIARIES na nyingine nyingi
 
huyu jamaa ni bonge la kifaa nilimkubali sana pale alipowachenjia wenzake na kuchukua lile back pack na kutambaa nalo Panama
 
Mkuu kama utaona kudownload inakuwa ni ishu kwako tuwasiliane nitakupa series nyingine kama AMERICAN DAD, CALIFORNICATION, HUMAN TARGET, NIKITA, SHAMELESS US, SPARTACUS, VAMPIRE DIARIES na nyingine nyingi
Toka nianze kuziangalia hizi series za wamarekani bac nimekuwa cmuamini Mzungu yeyote hata aje Afrika kwa gea gani naamini ni Agent tu,ila nashukuru sana kwa majina ya hizi series nitazitafuta nilizokwisha ziangalia ni Prison Break season 1-5,Heroes,Lost 3,4,miami csi,24 season 3,4,5,6,7,8.Alias 1-4,tuwekee majina ya series nyingine zaidi. Thanx
 
Toka nianze kuziangalia hizi series za wamarekani bac nimekuwa cmuamini Mzungu yeyote hata aje Afrika kwa gea gani naamini ni Agent tu,ila nashukuru sana kwa majina ya hizi series nitazitafuta nilizokwisha ziangalia ni Prison Break season 1-5,Heroes,Los 3,4,miami csi,24 season 3,4,5,6,7,8.Alias 1-4,tuwekee majina ya series nyingine zaidi. Thanx
Mkuu tafuta Vampires Diaries ni nzuri sana, ukihitaji series ambazo zitakufanya ucheke siku yako ikiwa mbaya angalia SHAMELESS US na CALIFORNICATION
 
Toka nianze kuziangalia hizi series za wamarekani bac nimekuwa cmuamini Mzungu yeyote hata aje Afrika kwa gea gani naamini ni Agent tu,ila nashukuru sana kwa majina ya hizi series nitazitafuta nilizokwisha ziangalia ni Prison Break season 1-5,Heroes,Los 3,4,miami csi,24 season 3,4,5,6,7,8.Alias 1-4,tuwekee majina ya series nyingine zaidi. Thanx
Ahaaaa ahaaaa l.o.l
 
Inavyoonekana ni kama T-Baga kaingia kama guest star katika Episode 3,na inaonekana hataonekana tena mbeleni...Soma hapa chini;

"Production was expected to begin in fall 2010 in Toronto for a 2011 premiere.[7] Robert Knepper appeared as his Prison Break character T-Bag in episode 3 of season one.[8][9] The other characters from Prison Break are mentioned as "the Fox River 8" in the third episode of season 1 as well".
 
Back
Top Bottom