Theluthi Moja wa Wasichana wa Tanzania wako abused kabla hawajafika 18!

Halafu kuna hili la wadada wa kazi jamani jamani.... tuanzie hapo hawa watu ni hatari sana wanaharibu watoto kila leo

Hmmm...wengine tulianzia kwa hao wadada ujue....so I beg to differ. I turned out to be a very upstanding member of the community.

Abuse za vyuoni jamani ziko za aina nyingi please! na isitoshe linapokuja swalal la mwalimu na mwanafunzi kusema ukweli liko complicated. Nakubali wapo wale wanaojipeleka na kuweka bayana kuwa mwalimu niongezee marks mie na wewe tutaelewana Zero Guest House but kuna wale ambao walimu wanatake advantage......amemuona ni binti mzuri, amemtokea, akakataliwa then what follows ni vile vitisho vya ......oh Degree yako nimeishikilia mie..........anaanza kuwithhold CW na kutangaza vitangazo vya ajabu ili mradi tu amnase..........of coz haimaanishi kuwa najustify kukubali kudhalilishwa lakini kudhalilishwa kijinsia si lazima mpaka umchojolee.....hata akifanya haya tayari amekuabuse!! Najua mko mtaouliza kwa nini wasishtaki.....................mnisaidie kunijibu kwa kesi kama hizi anaendashtaki wapi?? System gani tulizonazo vyuoni za kufanikisha uripotiji wa abuses??

So naomba tuepuke kugeneralize kwa ishu ya Sexually abuse upande wa vyuoni!!
Mtu mzima akibakwa (mf chuoni nk) akashitaki mwisho wa siku anageuziwa kibao na kudhalilishwa zaidi, ataonekena ni mzushi na walikubaliana ndio maana watu wakubwa wengi hawashitaki

Kweli kabisa, kuna watoto huku mchana omba omba usiku vicd.

Wanaume na nyie vioneeni huruma mtafute wa umri wenu.
Kama wanafanya kwa hiari yao, mi naona ni sawa tu provided wanapata kipato!

sorry UNICEF they are not abused most of them give themselves voluntarily and they are happy.next time RESEARCH on those who are not Virgin at this age and try to find out the reasons. start from primary shool and then secondary schools.

Unaelewa maana ya mtoto? Hakuna kitu voluntarily kwa watoto

Unaelewa maana ya mtoto? Hakuna kitu voluntarily kwa watoto

Umeona Gai,

Kazi ni ngumu kuliko tunavyofikiri...Jamii yetu inaamini kuwa Mwanamke (of any age) ni kiumbe wa kutoa tu bila kujali kama kaamua au la! Hata wabibi wanaamini hivyo hivyo na kushikiria huo mtazamo.

Safari bado ni ndefu sana,

Kuna mahali nilisoma kuwa sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kuolewa miaka 14 na chini ya hapo.

MIAKA 15 MSICHANA NA MIAKA 18 MVULANA ( Umri wa chini kuweza kuoana)

Hata hivyo waweza kuoana chini ya umri huo kwa idhini ya wazazi au mahakama! Hii inatokana na ku accomodate mila na imani za watu za kidini.Wanaolewa hata wakiwa na miaka 12! Lakini hawaruhusiwi kuingiliwa! Sheria ndivyo inavyosema!

Sasa tukiangalia baadhi ya topic zetu mbalimbali na attitudes zote kuhusiana mahusiano kuna uwezekano taarifa hii ya Unicef ina ukweli.

[h=1]Tanzania study shows one in three girls sexually abused[/h]
_54507110_tanzaniz002.jpg
The government has promised to tackle sexual abuse
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]
Nearly one third of Tanzanian girls experience sexual violence before they turn 18, a Unicef survey has found.
The figure among boys is 13.4%, says the UN children's agency.
The most common form of abuse is sexual touching, followed by attempted intercourse, it says.
Unicef official Andy Brooks said the survey was the most comprehensive carried out on this issue in any country and showed the government was prepared to tackle the problem.

"Tanzania is the first country with the courage to expose the full extent of child abuse among boys and girls," he told the BBC's Focus on Africa programme.
The survey also found that of those who had sex before they turned 18, 29.1% of females and 17.5% of males reported that their first encounter was unwilling.

This meant they were forced or coerced to engage in sexual intercourse, Unicef said.
Tanzania's Education Minister Shukuru Kawambwa said the government was determined to end sexual abuse.
It would set up reporting mechanisms for abuse victims and would urge teachers to take care of vulnerable children, he said.
Mr Brooks said similar surveys would be carried out in Kenya, Rwanda, Malawi, Zimbabwe and South Africa.

BBCNEWS
nadhani ni kweli

Umeona Gai,

Kazi ni ngumu kuliko tunavyofikiri...Jamii yetu inaamini kuwa Mwanamke (of any age) ni kiumbe wa kutoa tu bila kujali kama kaamua au la! Hata wabibi wanaamini hivyo hivyo na kushikiria huo mtazamo.

Safari bado ni ndefu sana,

DC we acha tu, mtoto wa miaka 12 unaambiwa "kataka mwenyewe".

Na mbaya zaidi wanawake wenyewe hawajui kama waliwahi kunyanyaswa.

MIAKA 15 MSICHANA NA MIAKA 18 MVULANA ( Umri wa chini kuweza kuoana)

Hata hivyo waweza kuoana chini ya umri huo kwa idhini ya wazazi au mahakama! Hii inatokana na ku accomodate mila na imani za watu za kidini.Wanaolewa hata wakiwa na miaka 12! Lakini hawaruhusiwi kuingiliwa! Sheria ndivyo inavyosema!

Kinadharia yes...Ila kiukweli kuna ndoa ya namna hiyo?

Watu waache tamaa ya fisi...kwani wanawake waliokomaa wameisha hadi waanze kumezea mate vitoto vidogo?

Sorry..nimejisahau kwamba na mimi ni mwanamume...tunapenda mizogo zaidi zaidi ya fisi....ni wachache tu wanaweza kujiwindia na kula vitu fresh and organic!!

DC we acha tu, mtoto wa miaka 12 unaambiwa "kataka mwenyewe".

Na mbaya zaidi wanawake wenyewe hawajui kama waliwahi kunyanyaswa.

Unajua G,

Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana....Kuna jamaa alikuwa anapenda sana totoz...bahati nzuri au mbaya kazaa watoto wa kike tu (anao 2). Hapo awali hakuwa na tatizo la wageni wa aina zote nyumbani kwake..Ila watoto walipoanza kukua alifukuza kila kiumbe kinachoitwa mwanamume! Ni ruksa kwenda pale ila usiombe kulala...

Sasa huwa najiuliza...wale aliokuwa anawapanda panda hawakuwa na baba au mama zao???

Kama wanafanya kwa hiari yao, mi naona ni sawa tu provided wanapata kipato!

hakuna mtoto anayefanya kwa kupenda huo uchafu. Kutakuwa na reason/forces behind.

Tatizo ni perception ya abuse....wengi tunaona kama ni haki zetu ku-abuse....
Its deep down into us....
Japo pia mwingine haipaswi ku-glabolise definition ya abuse......

Tatizo ni perception ya abuse....wengi tunaona kama ni haki zetu ku-abuse....
Its deep down into us....
Japo pia mwingine haipaswi ku-glabolise definition ya abuse......

So what's your definition of abuse?

shule za msingi mfano

hasa za vijijini,walimu wanatembea na wanafunzi kama culture hivi

waziwazi kabisa

sasa la kushangaza mpaka university wadada wanadhalilishwa na wako kimyaa

university wadada wanataka wenyewe bana!

Back
Top Bottom