Thea: sakata la matiti na utumiaji wa dawa za kichina

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Mimi nashangaa sana hivi matiti makubwa yanauzuri gani? Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza! Mbona wenye matiti madogo wengi wao wanayaficha?

Waliowengi wenye matiti makubwa hupenda kuyaachia sehemu yao kubwa yakiwa wazi huku yakiwa yameshikiliwa na tukamba tudogooo! Hivi siku likichomoka na loooote likachoropoka nje utaliachia?

Unajua maziwa makubwa yakiwa yamebanwa yanavimba basi mhusika anaona sifaaaa we ngoja likichoropoka aaaah kwishneey....halifaiiiii...ni kama kandambili....

i1519_a.gif

Thea ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa filamu za Bongo. katika siku za hivi karibuni, ametangaza kumpokea Yestu Kristu na kutangaza ulokole. Lakini pamoja na hatua hiyo, baadhi ya watu wanahoji mavazi yake na kumtaka avae mavazi yanayoendana na mtu aliyempokea Bwana. Juzi kati amaezua mjadala baada ya kuonekana kanisani akiwa amevaa mavazi yaliyoonesha sehemu ya matiti yake yaliyojaa kifuani. wewe una maoni gani juu ya hoja kuwa mtu ukiwa mlokole haipendezi kuvaa vazi kama hilo au imani ya mtu iko moyoni na siyo kwenye mavazi...tupe maoni yako.!!!
Source: http://www.globalpublisherstz.com/
 
Mimi ndio maana napenda Islam kwa sababu mafunzo yake yako wazi hasa kwenye mavazi, upende usipende hiyo ndio sheria ya islam

Hata ukristo pia una dress code kama uislam, lakini kutokana na udhaifu wa wachungaji kanisani na uchu wao wakibinadamu wanashindwa kukemea, as result makanisa sasa hayana tafauti na Night clubs.

Wachungaji wanaogopa kuhubiri ukweli kwa sababu watawagusa wafuasi wao na watkapo kasirika wataamia kanisa jingine kwahiyo kumfanya mchungaji wakanisa la msimamo kukosa fungu la kumi.

Mtakapo fuata mafundisho ya Bible bila kujali kuwaridhisha wafuasi, mambo machafu kama haya hayatatokea na litlifanya kanisa kuwa na heshima zaid.
 
kWANI MTU AKIOKOKA HAFAI KUNYONYESHA?NA ANAPONYONYESHA MATITI ANAKUWA KAYAFUNIKA?TATIZO HAPO NI KWENDA KANISANI AKIWA UCHI(KWA WALE WENZETU WANAOSALI MARA TANO KWA SIKU WANASEMA UCHI WA MWANAMKE NI ENEO LOTE LA MWILI KASORO VIGANJA VYA MIKONO NA VITANGA VYA MIGUU)HIVYO MWANAMKE YEYOTE ANATAKIWA AFUNIKE MWILI WAKE WOTE ANAPOKUWA KARIBU NA MABABA KWANI HAO MABABA WANAWEZA KUTAMANIKA KUTOKANA NA SEHEMU YA MATITI YAKE INAYOONEKANA NA KUFIKIA KUTENDA DHAMBI KWANI MT.PAUL KASEMA MWANAMUME AKIMWANGALIA MWANAMKE KWA JICHO LA TAMAA BASI HUYO TAYARI AMEZINI,HALELUYA.
 
Sijapata message kwenye hii post yako mkuu, waweza fanya nyongeza kidogo?
 
sijapata message kwenye hii post yako mkuu, waweza fanya nyongeza kidogo?
ujumbe upo sehemu mbili.
Kwanza kuzungumza eti thea ameokoka lakini matiti yake yanaonekana.(hapa ni kusema mwanamke yoyote anaweza kuonekana matiti yake hasa pale anapokuwa ananyonyesha mtoto hilo halina ubishi ususani kwa sisi waafrika haswa watanzania hata katika daladala wakina mama wananyonyesha watoto).
Pili katika mada yenyewe ni kweli ametenda kosa kama amekwenda katika ibada akiwa ameacha sehemu ya matiti yake yakiwa wazi kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kusababisha matamanio kwa wanaume marijali.
Ndio maana nikasema wale wenzetu wanaosali mara tano kwa siku(waislam) wao mwanamke anatakiwa ajisitiri mwili wake wote na sehemu inayowachwa wazi ni viganja vya mikono na vitanga vya mikono.
 
Mimi ndio maana napenda Islam kwa sababu mafunzo yake yako wazi hasa kwenye mavazi, upende usipende hiyo ndio sheria ya islam

Hata ukristo pia una dress code kama uislam, lakini kutokana na udhaifu wa wachungaji kanisani na uchu wao wakibinadamu wanashindwa kukemea, as result makanisa sasa hayana tafauti na Night clubs.

Wachungaji wanaogopa kuhubiri ukweli kwa sababu watawagusa wafuasi wao na watkapo kasirika wataamia kanisa jingine kwahiyo kumfanya mchungaji wakanisa la msimamo kukosa fungu la kumi.

Mtakapo fuata mafundisho ya Bible bila kujali kuwaridhisha wafuasi, mambo machafu kama haya hayatatokea na litlifanya kanisa kuwa na heshima zaidi.
yaani huu ni ukweli mtupu...
 
Mavazi hayana tatizo. dini tumeletewa na wazungu na waarabu .sasa tatizo liko wapi..tuendelee kuwaenzi jamani.
 
jamani mungu aangali mavazi na wala mavazi hayakuingizi mbinguni ata ukivaa kininja kikubwa ni moyo wako na matendo yako
 
sasa assume ungekuwa wewe ndio unamwangalia Thea humo kanisani halafu unaanza 'kwenda wima' na presha inakupanda...hapo teyari umeshafanya dhambi. je nani alaumiwe? wewe au Thea?
 
kWANI MTU AKIOKOKA HAFAI KUNYONYESHA?NA ANAPONYONYESHA MATITI ANAKUWA KAYAFUNIKA?TATIZO HAPO NI KWENDA KANISANI AKIWA UCHI(KWA WALE WENZETU WANAOSALI MARA TANO KWA SIKU WANASEMA UCHI WA MWANAMKE NI ENEO LOTE LA MWILI KASORO VIGANJA VYA MIKONO NA VITANGA VYA MIGUU)HIVYO MWANAMKE YEYOTE ANATAKIWA AFUNIKE MWILI WAKE WOTE ANAPOKUWA KARIBU NA MABABA KWANI HAO MABABA WANAWEZA KUTAMANIKA KUTOKANA NA SEHEMU YA MATITI YAKE INAYOONEKANA NA KUFIKIA KUTENDA DHAMBI KWANI MT.PAUL KASEMA MWANAMUME AKIMWANGALIA MWANAMKE KWA JICHO LA TAMAA BASI HUYO TAYARI AMEZINI,HALELUYA.

Are you sure it is Paul?
 
jamani mungu aangali mavazi na wala mavazi hayakuingizi mbinguni ata ukivaa kininja kikubwa ni moyo wako na matendo yako

what a nonsense? the inner must affect the outer. PERIOD!!!!!

Roho lazima iathiri mwili whether positively or negatively same as mwili huathiri roho.
 
unamaanisha nini?
 
unamaanisha nini?

Huwezi kujifanya u-msafi kwa ndani ya moyo kwamba Mungu anaangalia moyoni wakati nje u mchafu. Matendo ya mtu yanaonekana ndani au nje? dhambi inatendwa na mwili au roho? Matendo ya mtu ndiyo hupimwa mbele za Mungu. na matendo hutendwa na mwili kutokana na msukumo wa moyo au akili.

Ukiokoka hasa huwezi kuwa hivyo, maana badiliko litakuwa ni la kutoka ndani na litaathiri influence ya akili na decisions zako hivyo huwezi hata kuvaa hivyo, dhamiri yako itakataa.
roho ikiwa chafu nawe utakuwa mchafu tu.
 
haya...
 
Bongo tambalale ukichafuka machoni mwa jamii unaibukia kanisani, ukiwa kanisani ndo unakuwa na nguvu sana kuliko mwanzo ndo mambo ya Bongo haya, huyu kaingia ulokole kwa gia ya kuacha maembe kibada wazi.
 
Back
Top Bottom