The Zombie boy Rick Genest! Jamaa aliyejibadilisha muonekano na kuwa zombie!

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Kila mtu ana style yake na interest zake, kama umeshaangalia video ya born this way ya lady gaga kuna mwanamitindo mmoja wa kiume alionekana kama zombie.. He is Rick Genest a.k.a Zombie Boy.. Rick from Montreal is turning himself into a tattooed zombie. His insides are on his outsides! Tattoo za bio-mechanical yaani za kujichora kwa kuiga mfumo wa ndani ya mwili mf kijochora kufuata mifupa na mishipa ya damu! Thats so weird. Hii ni interview yake http://www.bizarremag.com/weird-news/tattoos-body-art/7173/zombie_boy.html

tazama picha yake na bio yake hii hapa http://www.askmen.com/celebs/men/entertainment/rick-genest/index.html

kweli kila mtu ana style yake, ila style nyingine za ajabu.
 
downloadfile.jpg
 
Kuna zombi wengi sana saa hii huku kwetu sema hawajajichora wamegeuka gafla na hawajijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom