Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Aliye kutuma mwambia chadema ina viongozi imara inawafuasi imara, inawanachama imara ina kila haki ya kuliongozi taifa muda wowote kuanzia sasa na zito ni zito, chadema ni taasisi kubwa sanaMpango wa muda mrefu wa kumngoa chamani mbunge machachari zitto Zuber Kabwe,sasa unaonekana umeiva na harakati zaonekana kwenda vizuri.Chanzo cha uhakika zaidi kinaeleza kwamba kwa muda mrefu uongozi umekuwa hauridhiki na mwenendo wa mbunge huyo wa kigoma kaskazini.Kubwa zaidi linaloukera uongozi chadema na waasisi wa chama hicho ni kuwa msimamo wa mbunge huyo unahatarisha kutokutimia kwa malengo maalum ya waasisi wa chama hicho iliyojiwekea kuwapa kipaumbele na upendeleo maalum jamii ya anayeitwa muasisi wa chama hicho.
Aidha kwa muda mrefu lengo la Zitto ni kwamba chama kisiwe na maslahi ya jamii(chagga tribe) moja tu bali maslahi kwa wote(watanzania).Na ndo maana hali hii ilimpelekea kuamua kugombea nafasi ya uenyekiti ili kuondoa hali hiyo ya kuweka maslahi kwa jamii moja kama ilivyo sasa.Kuchukua kwake fomu Zitto ya kugombea nafasi ya uenyekiti na nguvu aliyokuwa nayo ilitishia maslahi na malengo ya waasisi pindi akikamata uongozi wa juu kabisa wa chama hicho,ndio walipoingilia waliojiita wazee wa chama kumuomba atoe jina ili kunusuru chama.Baada ya nguvu kubwa kutumika Zitto aliamua kutoa jina lake.Hata kupewa unaibu kiongozi wa upinzani bungeni ilikuwa ni kupunguza ukali wake wa kuitaka nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni.Ambacho kimefanya viongozi wa Chadema wamshindwe Zitto ni kwamba uongoza akitumia vizuri katiba ya chama na kananu zake kama muongozo wa kila anachokidai,kusimamia au kukitetea.Baada ya kumwinda kwa muda mrefu sasa uongozi wa chadema umepata pa kuanzia.Mpango uliopo kwa kuanzia ni kumuondoa katika nafasi ya unaibu kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.Rejea maelezo ya tundu lissu kwa vyombo vya habari.Tayari Zitto ameshapewa barua ya kujieleza kwa nini hakuunga mkono msimamo wa kususia hotuba ya rais.Zitto anaonekana jeuri na kiburi hasa pale asipounga mkono maamuzi binafsi kufanywa ni ya msimamo wa chama.Mpango wa kumpa majina na sifa mbaya kama msaliti wa chama ndo umefanywa kama njia halali ya maamuzi yatakayotolewa juu yake.Angalia mwanahalisi la jana na maoni yana JF juu yake.Ukitaka kumuua mbwa kwanza mpe majina mabaya.Wana chadema wenye kutaka kusimamisha demokrasia ndani ya chama wanamuona Zitto kama shujaa na kiongozi imara,ila wale wa jamii ya muasisi ni msaliti na fisadi.Anaambiwa yupo karibu na mafisadi na anajipendekeza kwa rais haya yote ni mambo ya kubuni na hayana ushahidi wa kutosha.Na hata kama yupo nao karibu.Je ni ukaribu upi na kwa ajili ya nini.Kwani hao wanaotuhumiwa ufisadi ni kosa kushiriana nao katika mambo ya kibinaadamu.Hoja ya kipuuzi ya ubaguzi na ya kunyanyapaa. zoezi la kwanza avuliwe unaibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni.Ambalo hili litafanyika hivi karibuni.Pia swala la udini limekuwa likiisumbua chadema kutokumgoa Zitto kwa muda mrefu,kwa hofu ya kuonekana ni chama chenye kuwapa kipaumbele watu dini Fulani.Hata hivyo baadhi ya viongozi wameona si ishu kwa kuwa yupo makamu wa mwenyekiti anayeonesha hakuna udini katika chama hicho,Said Alfi.Huyu hawana tabu naye kwani mkimya na anayekubali kila kitu.Ni kama anayelipa fadhila za kupewa uongozi.
Kwa sasa naomba niwasilishe hoja za jazba,ushabiki hazina nafasi
haiwezi kutetereka kama unavyo dhani na haimuabudu mtu, kila mtu aliingia mwenyewe na atatoka mwenyewe, tupo kwaajili ya watanzania na si kwaajili ya mtu fulani, hii siyo CCM na NDOA YAKE YA NCCR, CUF, TLP NA VINGINEO VINGI, fuata histori toka 1995 ukibaini achana na upuuzi wa kuwa mamluki you can go if u want,
SLAA IN MY PRESIDENT
CHADEMA CHAMA CHANGU
CCM ADUI YANGU
JK SI RAIS YANGU
peleka msg ukapewe ulaji......
mungu ibari chadema mungu ibari tanzania
walaani mapandikizi......amen