The worker strike SMS on new Social Security Act Has become Viral!

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
The telephone text is circulating in supersonic speed to the direct and in affected member of new Social security reform act.
The text saying “Sheria mpya ya mafao ni ya kinyonyaji na kifisadi ujitokeze wote tarehe 04-08-2012 kupinga sheria hii kwa maandamano” justifiably meaning the act has foundation on corruption and exploitation of workers hence demonstration is not an option but must.
 
The telephone text is circulating in supersonic speed to the direct and in affected member of new Social security reform act.
The text saying "Sheria mpya ya mafao ni ya kinyonyaji na kifisadi ujitokeze wote tarehe 04-08-2012 kupinga sheria hii kwa maandamano" justifiably meaning the act has foundation on corruption and exploitation of workers hence demonstration is not an option but must.

lugha ya kisheria ngumu kwelikweli
 
Haijakamilika, ndio maana tunakuwa tumeshindwa hata kabla hatujaanza. Tukutanike wapi?? Maandamano yataishia wapi?? Kuanzia saa Ngapi?? Na kadhalika na kadhalika...!
 
Jana niliongea na Mh mmoja wa mjengoni kule Idodomya. Hata yeye hajui what transpired hadi ile sheria ikapitishwa vile ilivyo! Pengine maandamano sio suluhisho kwa sasa (maoni yangu) lakini je inaweza kuwepo forum ya ku-critique process (mchakato) ulioipitsha sheria hii pasipo public hearing kama ilivyo ada kwa sheria zote? Na kama watu walienda tuelezwe kina nani na utaratibu upi ulitumika kuwa-invite watu kwenye public hearing
 
SSRA mmetukosea sana wafanyakazi, nyie mnadhani bila sisi mtakuwepo hapo? mnamtetea nani?
 
Hao SSRA wamepewa nini cha kufanya wapuuzi sana hao!!tunasubiri yule mbunge alieambiwa alete mwongozo baada ya kuwasiliana na wafanyakazi na kupata maoni yao sijui atarudi lini bungeni
 
Jana niliongea na Mh mmoja wa mjengoni kule Idodomya. Hata yeye hajui what transpired hadi ile sheria ikapitishwa vile ilivyo! Pengine maandamano sio suluhisho kwa sasa (maoni yangu) lakini je inaweza kuwepo forum ya ku-critique process (mchakato) ulioipitsha sheria hii pasipo public hearing kama ilivyo ada kwa sheria zote? Na kama watu walienda tuelezwe kina nani na utaratibu upi ulitumika kuwa-invite watu kwenye public hearing

Hao ndio wabunge wetu wala asituzuge. Taratibu za kupitisha sheria anazijua sana. Ina maana muswada hakuuona? Nina imani kila mbuge hupewa nakala. Kuna baadhi ya wabunge elimu zao hazitoshi kusoma na kuelewa mambo kwa kina zaidi ya ushabiki wa kila kinacholetwa na serikali ni ndio ndio tu. Unategemea nini toka kwa wabunge kama......(namezea) ambao ni std VII au Form IV failure? Napendekeza kila mbunge awe na mwanasheria wake (part time) wa kuchambua miswada na mambo mengine ya kisheria, vinginevyo miswada itabaki kwenye mikoba.
 
hiyo hela yetu wanataka wakae nayo mpaka tuzeeke ndio waitoe itatusaidia nini uzeen, akiba ya uzeen nitaiandaa mwenyewe. nikiacha kazi mimi nipewe changu nisepe kama ilivyoainishwa wakati najiunga.
 
Mzeelapa. Kuna mambo mengine haihitaji elimu saaana kuelewa. Mfano, kama tujuavyo life expectancy ya watz ni ndogo sana (sababisho nyingi pamoja na UKIMWI na umasikini). Hayo tukiyaweka pembeni, ni vema kujua kuwa hapa kinachokosekana ni umakini na uzalendo. Sitasahau waziri fulani wa nchi mmoja (??) ambaye alikwenda kuhudhuria mkutano wa WTO akaishia kufanya shopping kisha akasaini makubaliano. Aliporudi anaulizwa kwanini alisaini huo mkataba alijibu kwa aliletewa hotelini akiwa amechoka akasaini! Ifike sehemu sisi wananchi tuwahoji kwa nini wanasaini/pitisha mikataba/miswada isiyo na tija! Hii ina maana kuwa at some point tutengeneze barometer kuhusu MP performance awapo bungeni na jimboni kisha tumwulize performance yake. Unaweza kushangaa kuwa wale wabunge stdVII wana kiu ya kujua mambo zaidi hivyo wana-consult kuliko wale wanaojifanya wamesoma sana they have not time to consult they are much know and they know all!
Hao ndio wabunge wetu wala asituzuge. Unategemea nini toka kwa wabunge kama......(namezea) ambao ni std VII au Form IV failure? Napendekeza kila mbunge awe na mwanasheria wake (part time) wa kuchambua miswada na mambo mengine ya kisheria, vinginevyo miswada itabaki kwenye mikoba.
 
Mzeelapa. Kuna mambo mengine haihitaji elimu saaana kuelewa. Mfano, kama tujuavyo life expectancy ya watz ni ndogo sana (sababisho nyingi pamoja na UKIMWI na umasikini). Hayo tukiyaweka pembeni, ni vema kujua kuwa hapa kinachokosekana ni umakini na uzalendo. Sitasahau waziri fulani wa nchi mmoja (??) ambaye alikwenda kuhudhuria mkutano wa WTO akaishia kufanya shopping kisha akasaini makubaliano. Aliporudi anaulizwa kwanini alisaini huo mkataba alijibu kwa aliletewa hotelini akiwa amechoka akasaini! Ifike sehemu sisi wananchi tuwahoji kwa nini wanasaini/pitisha mikataba/miswada isiyo na tija! Hii ina maana kuwa at some point tutengeneze barometer kuhusu MP performance awapo bungeni na jimboni kisha tumwulize performance yake. Unaweza kushangaa kuwa wale wabunge stdVII wana kiu ya kujua mambo zaidi hivyo wana-consult kuliko wale wanaojifanya wamesoma sana they have not time to consult they are much know and they know all!

Nakubaliana na wewe Mkuu, tuna wabunge wengine hawajafanya cho chote kwenye majimbo yao, lakini wanarudi tena baada ya uchaguzi kwa namna ya Uchama, rushwa,ukabila, udini nk, kwa hiyo sio rahisi kumdhibiti mbunge wa namna hii, nadhani hii katiba mpya tunatakiwa kuwa makini sana vinginevyo tutaendelea kuumia. Kwa hili la PPF/NPF njia pekee ni maandamano waanze hawa walioko DSM na mikoani wafuatie, hapo kitaeleweka na itakuwa funzo kwa wabunge kuwa makini kuchambua miswada na wache ushabuki kwa mambo yaliyo wazi.
 
Mimi sijaipata.......ila naomba kufahamu tunakutana saa ngapi na wapi nitafika kwa gharama zangu. Sitaki mtu acheze na maisha yangu na ya wanangu....$%^&*&%$#()&*_+(&%$%^^&
 
Serikali ya CCM dawa yao ni kuwafagilia mbali.
Hakuna lugha wanayo ielewa zaidi ya hiyo,
Si mlimsikia Kichaa wetu wa Magogoni juzi?
anadai sibitali zetu ni zaidi ya zile za ulaya?
ule ni uhuni mkubwa na kiburi ni zaidi ya uongo.
 
Back
Top Bottom