The words "I love you'' its so diluted

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wapendwa kuna rafiki anataka kumwambia mtu ile I LOVE U ya kuanzisha uhusiano,anaomba neno jingine la tofauti coz hili la sasa kwake anahisi ni jepesi sana (limekosa mvuto wa uhalisia) kwa huyo atakaeambiwa! Let we help her please
 
dahhh wewe
I LOVE YOU imekosa mvuto wa halisi???

Mie naona aseme hilo neno lakini
in a deep emotion way..
hili neno meaning yake iko pale pale
ila jinsi unavyolisema inaweza iharibu
maana yake.

Huwezi ku replace au kulibadisha
ila waweza kuli explain na describe
in more details.. naona asilibadilishe
ila atumie ufundi zaidi zaidi..
asiliropoke tu ..

peace
 
Wapendwa kuna rafiki anataka kumwambia mtu ile I LOVE U ya kuanzisha uhusiano,anaomba neno jingine la tofauti coz hili la sasa kwake anahisi ni jepesi sana (limekosa mvuto wa uhalisia) kwa huyo atakaeambiwa! Let we help her please

Kwa mtazamo wangu angekua tayari katika hio relationship ningeelewa kua analitaka sana hilo neno jipya la I LOVE U, na sidhani kama ni love at first sight. Kwa nini asiangalie upepo unavyoenda kwanza kwa kumwambia kuwa kavutiwa nae and she really hopes it turns into something big later on; thus giving their relationship a try.
 
Neno I LOVE YOU bado lina mvuto na litaendelea kuwa na mvuto ila inategemea yule anaelisema hilo neno analitamka kwa uzito gani ili lionekane lina maana nzito kwa mwenzake
 
Ni kweli kabisa. Mimi nimefanya ka research kangu, wanaume mature hawatumii ili neno ovyo aisee. Hata kama wanapiga nje ya ndoa wanajizuia sana kulisema kwa kuofia kuonekana waongo baadae. Ni sawasawa na ku promise mtu nitakuoa. wanaume wengi hawapromise ovyo ila sisi wadada we always kind of trying to force them to give promises. Kwa hiyo wanume si wa waongo wa maneno kama sisi. Ila sisi wanawake hatuchunguzi hilo. Unakuta jamaa anatumia maneno yooote lakini I love you, I will marry you wanatumia when they real mean it unless wale real players who can play with other people's feelings. hatumii kwa sababu anakutamani wala hakupendi.

Neno I LOVE YOU bado lina mvuto na litaendelea kuwa na mvuto ila inategemea yule anaelisema hilo neno analitamka kwa uzito gani ili lionekane lina maana nzito kwa mwenzake
 
Wapendwa kuna rafiki anataka kumwambia mtu ile I LOVE U ya kuanzisha uhusiano,anaomba neno jingine la tofauti coz hili la sasa kwake anahisi ni jepesi sana (limekosa mvuto wa uhalisia) kwa huyo atakaeambiwa! Let we help her please

Ajaribu "I don't love you"
 
hahahahahahaha lol
jamni wewe dahhh

Si unajua tena? Nice boys says "I love you". Bad boys "I don't love you". But the cool guys say "I hate you". Achague moja. But the last one works. But only if he knows how to use it. I hate you Afrodenzi!
 
reverse psychology
very smart me like it hahahahah lol
 
Kuna wanaume wanatengeneza mazingira ya mpaka kufikia ku do without mentioning a word like "I love you". Ndo unasikia tumejikuta tu tuna- fall. Kumbe umefall wewe mwenyewe yeye amefanya with conscious mind.
 
ni kweli ,unashangaa anakutrust after th fu** happened anazinduka kukuambia kwann ulimbaka.
 
Seriously, Neno I LUV U limekuwa kama daladala hasa zile za mbagala, kila mtu anaingia anavyoweza.
Mkuu, siku hizi hilo neno hatulitamki mwanzoni, bali hutamkwa mtu ukishakuwa in relationship. How you get in the relationship, PM me ntakuelekeza...!!
 
Back
Top Bottom