The word must go to Dr Willbroa Peter Slaa

“God is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them.” - Hebrews 6:10

God will also not forget that he has gone against the canon laws of which he is a Dr.

Upande wa pili wa shilingi!
 
There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax

hao mafisadi wanaomtumia ni nani? just curious
 
Kwahiyo Slaa ni mtume au nabii kwako au siyo? kuna nabii aliishi kwa kudanganya wewe acha kuwa zobe?

Kuna kipindi wakenya walitamani Lyatonga bora angezaliwa kwao ili awatumikie kuliko tulivyokuwa tuna mistreat wakati anapigania Taifa lake. Hizo zilikuwa enzi zile za NCCR-Mageuzi kweli kabla hawaja mchakachua! Leo Dr. Slaa ana struggle kututoa mikononi mwa mafisadi ambayo yanatumia kila mbinu kumdhoofisha lakini Mungu anamlinda!

Naamini siku si nyingi lazima juhudi zake zitajibu! Peopleeeeees Poweeeeer!
 
Inshallah....Allah atakulinda...atakuepushia na MASHEIKH TWAIN Dr. wa ukweli.
Inshallah....Allah atakufanyia wepesi kwenye shughuli zako
Alhamdulilah wa bilalamin innallah fimnurku rizki mantashallah

Nimeipenda hiyo brown!
 
Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...

Kamwambie baba yako makamba aende akapewe maombi na jk kwakuendelea kuwatundika watoto wawatu mimba, mlaaniwe nyiye mnao mponda mtetezi wa taifa hili DR slaa god be blessing him
 
Kamwambie baba yako makamba aende akapewe maombi na jk kwakuendelea kuwatundika watoto wawatu mimba, mlaaniwe nyiye mnao mponda mtetezi wa taifa hili DR slaa god be blessing him

Dua ya kuku haimpati ......

Hilo dude dr.of canon laws ana very low "IQ"
 
Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...

utumbO
 
Note Topical ?Usihukumu kwani ukaja ukumiwa but remember

Isaiah 54:4 Do not fear,for you will not be ashamed;Neither be disgraced,for you will not be put to ashame;For you will forget the shame of your your youth,And will not remember the reproach of your widowhood anymore.

Kwa neno hilo Songa mbele Baba,Mungu akiwa upande wako nani wakuwa kinyume na wewe?

We pray for you and your team.

Isaiah 54:17 No weapon formed against you shall prosper,And every tongue which rises against you in judgment
You shall Condemn.This is the heritage of the servant of LORD.And their righteousness is from Me.Says the LORD.

Naomba Mungu awabebe kwani Marafiki wakiwabeba watawapeleka pabaya,wapambe wakiwabeba mtaishia kwenye matatizo,hata dunia ikiwabeba mtasambaratika.
 
i am gladuated inglish koz in kolegi of madrasat al nur for very big maksi
There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax
 
Umeguswa kwenye ini na ukweli..pole nabii wenu ni mchafu sasa sisi tufanyeje? mleteni nabii mwingine msafi tutaelewana tu.

hujui unaloongea,naani amabaye ni msafi nadi ya ccm yako hadi mje hapa muuanze kum-attack Dr W.Slaa? kama ni mgao wa umeme au kupanda kwa gharama za maisha au foleni ambazo hizi zote zimeletwa na sera mbovu za ccm tunapatwa wotena hakuna mtu mwenye aliki timamu ambaye anaweza kufurahia hii hali. so i dont see any reason kulumbana na wewe ambaye unaleta ushabiki badaa ya kuweka maslahi mbele
Amani iwe nawe:
 
  • Thanks
Reactions: LAT
In politics there is no permanent devil, no permanent enemy and no permanent friend, a liability today is an asset tomorrow, a political strength is not determined by how many times you fall but after falling how many times you rise and assume you lost glory to serve the Children of God. You can't continue punishing the people who have decided to repent their sins. Remember the hands that supported the thief are as good as the thief himself/herself. Those who tried to cover up ufisadi they are as good as mafisadi, the mafisadi who have repent their sin they are as good as the clean people and better than wenye tamaa lakini hawajaiba.The people who have lived the pains of being corrupt and faced public disapproval may turn to be assets remember mtume Paulo
 
Kuna kipindi wakenya walitamani Lyatonga bora angezaliwa kwao ili awatumikie kuliko tulivyokuwa tuna mistreat wakati anapigania Taifa lake. Hizo zilikuwa enzi zile za NCCR-Mageuzi kweli kabla hawaja mchakachua! Leo Dr. Slaa ana struggle kututoa mikononi mwa mafisadi ambayo yanatumia kila mbinu kumdhoofisha lakini Mungu anamlinda!

Naamini siku si nyingi lazima juhudi zake zitajibu! Peopleeeeees Poweeeeer!
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu.
Waovu wakiongezeka, maasi huongezeka; Bali wenye haki watayatazama maanguko yao.
Prov.29: 2,12,16
 
Then press on from where the people press on and ask Allah’s forgiveness. Allah is Ever-Forgiving, Most Merciful. (Surat Al-Baqara, 199)
 
Inshallah....Allah atakulinda...atakuepushia na MASHEIKH TWAIN Dr. wa ukweli.
Inshallah....Allah atakufanyia wepesi kwenye shughuli zako
Alhamdulilah wa bilalamin innallah fimnurku rizki mantashallah

Amen!MUNGU YUPO PAMOJA NAWE DR.RAIS WA MOYO WANGU.
 
Back
Top Bottom