The West Policy on Libya Vs Putin

aliyewasemea wamarekani ni nani?wanasema wenyewe hapa,na nimesema washatabiri sijasema itakuwa.....siasa za marekani kama za east africa zinatabirika ila marekani ukweli haupindishwi kama ilivyokuwa kwa kibaki na museven au.....nani ambaye hakujua Obama atamshinda Mccain?kama huwezi tabiri tulia tu!!

The 2012 Republican field is deeply flawed, lacking a serious GOP contender without a personal misstep or policy move that angers the party base. Each of those weighing bids has at least one issue that looms as an obstacle to White House ambitions, and that could derail the candidate if not handled with care.
Romney, for one, has started to address his biggest policy problem: the health care plan he signed into law as Massachusetts governor, which Obama and the Democrats used as the basis for their national overhaul plan. The White House gleefully points out the similarities.
Romney also will face a repeat of the 2008 criticism that he's inauthentic, particularly after a series of reversals on gay rights and other social issues
Former Pennsylvania Sen. Rick Santorum may be dogged by his dismissal by voters in the 2006 election.
_Ex-Gov. Mike Huckabee of Arkansas faces questions about commuting the sentence of Maurice Clemmons, who in 2009 opened fire in Tacoma, Wash., and left four police officers dead.
_GOP vice presidential nominee Sarah Palin's unorthodox resignation in the middle of her first term as Alaska governor – as well as her reality show stints and her countless impolitic comments – will be certain fodder for opponents.
Pawlenty, who on Monday announced he had formed an exploratory committee, once backed climate change legislation that conservatives deride. Advisers to the former Minnesota governor know it will be a problem.
He's reversed his position on the issue, but his past words are certain to come back to haunt him
Huntsman leaves his post in April and can't say anything until then.
The governor of a Deep South state, Barbour opened himself up to criticism when he bungled questions about the Ku Klux Klan and segregation
Newt Gingrich is an adulterer on his third marriage. Tim Pawlenty is too green – environmentally, that is.
Jon Huntsman worked for President Barack Obama. And Haley Barbour has come off as dismissive of racial segregation.
CNN 03/03/2011
 
aliyewasemea wamarekani ni nani?wanasema wenyewe hapa,na nimesema washatabiri sijasema itakuwa.....siasa za marekani kama za east africa zinatabirika ila marekani ukweli haupindishwi kama ilivyokuwa kwa kibaki na museven au.....nani ambaye hakujua Obama atamshinda Mccain?kama huwezi tabiri tulia tu!!
ok....got u
 
zenji si kuna mafuta ... mbona hwavamii...?
Mkuu.
Marekani anatoa misaada mingi sasa kwa Tanzania kwa sababu gani?
Wanatulainisha. Walianza na kuripua balozi zao, wakatuletea sheria ya ugaidi.
Sasa kuna serikali ambayo inatekeleza matakwa yao siku akitokea rais na kuwa mkaidi tutaisikia habari ya Mmarekani.
Mkuu unawajua wamarekani kweli?
 
kuna watu wanaona kuwa marekani wanataka mafuta ndo maana wapo libya-si kweli-marecan wenyewe ukiachilia mbali kuwa ni importer wazuri wa mafuta-pia wana reserve ambayo nayo si haba
Pili-Hii policy ambayo Obama anaisema haikuanza leo-ilikuwepo tangu zamani-kisa cha marecan na Libya hakijaanza leo-trace historia ya chuki kati ya libya na marecan-ili ujue kwa nini Obama amesema hayo maneno-si kuona mafuta ni dili sana kwa u.s.a
Bombing_of_Libya_Origins

Gulf of Sidra incident

kweli US wana reserve ya mafuta kubwa sana. lakini uelewe pia kuwa wao wanategemea kuwa baada ya muda uzalishaji wa mafuta utapungua duniani au visima katika maeneo mengine vitakauka.
ndio sababu wanabania kuyagida yao lakini pia wanahakikisha wana-control ya hayo mafuta yanayochimba katika nchi nyengine na hiyo ndio sababu huenda katika kila area za dunia ya tatu na kwa waarabu kudhibiti mafuta. Inapotokea watawala hawataki kushirikiana tena nao basi wamarekani hutaka regime change.

hata kama kuna ugomvi mwengine kati ya Gaddaffi na US lakini na mafuta ni moja wapo.

tembelea hapa.

Documentary – “Why we fight?”#
 
Mkuu.
Marekani anatoa misaada mingi sasa kwa Tanzania kwa sababu gani?
Wanatulainisha. Walianza na kuripua balozi zao, wakatuletea sheria ya ugaidi.
Sasa kuna serikali ambayo inatekeleza matakwa yao siku akitokea rais na kuwa mkaidi tutaisikia habari ya Mmarekani.
Mkuu unawajua wamarekani kweli?

Wabongo wote wasusie kuomba viza za US, UK, QATAR, SPAIN, DENMARK, FRANCE na UAE na walioko hizo nchi warudi bongo. Hapo ndio nitamiona wa maana. La sivyo ndio yaleyale...baniani mbaya...
 
Wabongo wote wasusie kuomba viza za US, UK, QATAR, SPAIN, DENMARK, FRANCE na UAE na walioko hizo nchi warudi bongo. Hapo ndio nitamiona wa maana. La sivyo ndio yaleyale...baniani mbaya...
Wazo lako ni zuri. Ningefurahi kama sote tungekuwa na msimamo na moyo kama wako.

Natumai ulisikia kuwa waarabu , au usahihi nchi nyingi za kiislamu zilisusia bidhaa za denmark lilipokuja kasheshe ya katuni ya mtume wa waislamu. Denmark walipata hasara kubwa na serikali ya denmark ilibidi kufanya damage control.

sasa kila mtu ambaye anaona US na west wasusiwe angefanya basi kweli nchi hizi pia zingetia akili....Kuna suala la kuganga njaa..wengi ya watu hutizama tumbo lake kwanza na kuweka siasa pembeni...lakini wazo lako ni zuri.
 
Wabongo wote wasusie kuomba viza za US, UK, QATAR, SPAIN, DENMARK, FRANCE na UAE na walioko hizo nchi warudi bongo. Hapo ndio nitamiona wa maana. La sivyo ndio yaleyale...baniani mbaya...

mkuu

Huu ubaya wa serikali ya marekani hata wamarekani wenyewe wanaufahamu. Angalia video hii utaelewa wanavyoiona serikali yao.

Last edited by a moderator:
Mkuu.
kweli US wana reserve ya mafuta kubwa sana. lakini uelewe pia kuwa wao wanategemea kuwa baada ya muda uzalishaji wa mafuta utapungua duniani au visima katika maeneo mengine vitakauka.
ndio sababu wanabania kuyagida yao lakini pia wanahakikisha wana-control ya hayo mafuta yanayochimba katika nchi nyengine na hiyo ndio sababu huenda katika kila area za dunia ya tatu na kwa waarabu kudhibiti mafuta. Inapotokea watawala hawataki kushirikiana tena nao basi wamarekani hutaka regime change.

hata kama kuna ugomvi mwengine kati ya Gaddaffi na US lakini na mafuta ni moja wapo.

tembelea hapa.

Documentary – "Why we fight?"#
hapa nimekuelewa mkuu-tatzo watu webgi wanang'ang'ania swala la mafuta tu-inaweza kuwa ni source mojawapo-lakini pia zipo nyingi zaidi ya mafuta
 
mkuu

Huu ubaya wa serikali ya marekani hata wamarekani wenyewe wanaufahamu. Angalia video hii utaelewa wanavyoiona serikali yao.

huu niuchambuzi na lawama wanazopewa serikali-ni sawa na jk anavyolaumiwa na baadhi ya watu-wapo pia wanaompenda -kuna wamarecan pia ukiwaulza juu ya marecan-wataisifia sana serikali yao
 
Last edited by a moderator:
Wengi wetu humu siasa za Marekani hatuzijui, baada ya kuona Denis Kucinich katoa mawazo yake basi tunaona asilimia kubwa ya Wamarekani wanamchukia Obama. Come 2012 Obama atashinda au shindwa urais kutokana na hali ya uchumi (so far unmpleoyment rate inaanza kwenda chini) na sio kupiga mabomu hao walibya don't be fooled na hao waandamanaji mbele ya White House na Capitol Hill heck sitoshangaa kuona hao hao jamaa wanampa Jaluo kura.

China na Russia siku zote watapingana na Western countries linapokuja swala la kusambaza "demokrasia" kwa sababu a) Russia anaikalia kimabavu Chechnya b) China anaikalia Tibet c) Biashara ya silaha.
 
article-1368633-0B47B37400000578-873_964x769.jpg
 
Russia alipoivamia na kuitwanga na kuua watu kule Geogia (Abakazia/S. Osertia) sikuona manung'uniko hapa jamvini.
Russia alivyoua maelfu ya wananchi wa Chechnia sikuona kelele hapa jamvini
JK alivyovamia Comoro hakuna mtu alisema neno JF
Wasomali wakiteka meli kila kukicha sijaona kelele hapa JF ndio kwanza watu wanashangilia
Saudia kupeleka majeshi Bahrain, sijaona kelele hapa JF
Gadhafi kumsaidia Idd Amin, sijasikia ikikumbushwa hapa JF
Gadhafi kusponsor mauaji ya Pan Am flight hakuna mtu ameongelea jamvini
Ethiopia kuivamia Somalia watu mmekuwa mabubu hapa JF
Qatar, UAE, Norway and others kupeleka fighter jets Libya, sijasikia manung'uniko hapa jamvini.
El Bashiri akituma Janjaweed kuwabaka na kuwalawiti wanawake Darfur mchana kweupee na kuwaua waume zao, JF kila mtu kimya!
Halafu kwenye maombi ya viza balozini sijaona wabongo wengi wakienda nchi za kiarabu kupanga foleni za viza...bali ni UK na American embassy.
Tuache double standards wana JF
 
Russia alipoivamia na kitwanga na kuua watu kule Geogia (Abakazia/S. Osertia) sikuona manung'uniko hapa jamvini.
Russia alivyoua wananchi wa Chechnia sikuona kelele hapa jamvini
JK alivyovamia Comoro hakuna mtu alisema neno JF
Wasomali wakiteka meli kila kukicha sijaona kelele hapa JF ndio kwanza watu wanashangilia
Saudia kupeleka majeshi Bahrain, sijaona kelele hapa JF
Gadhafi kumsaidia Idd Amin, sijasikia ikikumbushwa hapa JF
Gadhafi kusponsor mauaji ya Pan Am flight hakuna mtu ameongelea jamvini
Ethiopia kuivamia Somalia watu mmekuwa mabubu hapa JF
Qatar, UAE, Norway and others kupeleka fighter jets Libya, sijasikia manung'uniko hapa jamvini.
El Bashiri akituma Janjaweed kuwabaka na kuwalawiti wanawake Darfur mchana kweupee na kuwaua waume zao, JF kila mtu kimya!
Tuache double standards wana JF

Mkuu unadhani hao wanajuwa nini??Wana support tu vitu wasivyovijuwa na kukalia kufata na kusikiliza mtu fulani kasema hivi na hivi...Ningefurahi sana kama wangeijua USA kiundani zaidi....Eti wanafata mafuta kwanza USA hawana vitu vingine zaidi ya mafuta ya Libya??Wote hao wanaowaponda USA na nchi zingine hawajui kitu ni kuwapotezea tu....Naona labda kwa vile wenyewe wanakula vizuri na wanalala vizuri.....

Hawaoni hata huruma huyu Gaddafi anachukua silaha anapenda kupiga wananchi bado wenyewe wanataka wamwachie tu afanye hivyo kweli inakuja akilini??Kwanza hizo nchi za West na USA hawakutoaga onyo kama week 2 hivi na kumuambia gaddafi aache kufanya hivyo??Huwa nashangaa sana hawa jamaa wana support lakini hawajui hali hali na nini kinaendelea zaidi wakiona mtu kasema wanafata mafuta basi...Hata kama USA wameenda huko wanaweza kujua kilichowapeleka hata UK pia wanaweza kutaka kumuondoa huyu Gaddafi kwa ajili ya yule mtu aliyelipua ndege ya UK kama sikosei kipindi fulani hivi so zaidi wanataka kulipiza kisasi zaidi sio mafuta........
 
Russia alipoivamia na kuitwanga na kuua watu kule Georgia (Abakazia/S. Osertia) sikuona manung'uniko hapa jamvini.
Russia alivyoua maelfu ya wananchi wa Chechnia sikuona kelele hapa jamvini
JK alivyovamia Comoro hakuna mtu alisema neno JF
China kuikalia kimabavu Tibet, jamvi hili kimyaaa
Wasomali wakiteka meli kila kukicha sijaona kelele hapa JF ndio kwanza watu wanashangilia
Saudia kupeleka majeshi Bahrain, sijaona kelele hapa JF
Gadhafi kumsaidia Idd Amin, sijasikia ikikumbushwa hapa JF
Gadhafi kusponsor mauaji ya Pan Am flight hakuna mtu ameongelea jamvini
Ethiopia kuivamia Somalia watu mmekuwa mabubu hapa JF
Qatar, UAE, Norway and others kupeleka fighter jets Libya, sijasikia manung'uniko hapa jamvini.
El Bashiri akituma Janjaweed kuwabaka na kuwalawiti wanawake Darfur mchana kweupee na kuwaua waume zao, JF kila mtu kimya!
Halafu kwenye maombi ya viza balozini sijaona wabongo wengi wakienda nchi za kiarabu kupanga foleni za viza...bali ni UK na American embassy.
Tuache double standards wana JF
 
Non flying zone is now running out of steam due to lack of resourse and misunderstanding.there is just six plane now patroling mainly over benghaz.
Meanwhile chinese ,russia called for ceasefire.
Chinese warship heading for medditernia,xuzhoi,4000 tons frigate fully armed with airdefence
 
Us would never gather enough balls to attack that ship or to block its path.chinese have troops enough to put armed guard on every man and waman in us,not a country to piss around with,if china says stop it mean it,russia too said ceasefire.up to now no arab nation brough its plane.qatar brought four plane but they refused to patrol far than libya costline.in other words non flying zone not successfull yet
 
American Role in the Close of the World History is unknown to many thus raising a sense of confusion to many. America is depictyed by the Reveletion 13:11 as animal with hons like the lamb. This describes Americans foundations which is based in democracy and human rights. You read from Reveletion 13:1-10, is the discription of another beast which is given power by the dragon (the Devil) and whose mortal wound recovered that nations were amaized. This underscore Rome which was wounded in 1789 at the apex of French Revolution, read what did General Bezzier did to the head of the church. Why that happened in 1789, that was the end of 1260 years since the head came into power. Americans operations are underway for the New World Order. That America will confer power to the beast, that non will sell or buy unless he has the mark of the beast. Reveletion 13:11-18. The secret societis societies such as the Jesuits (google, the Jesuits Extreme Oath), the Jesuit General Ignatious Royola, prayed a substantial role in the formation of Freemasonry, Illuminat and other secret societies. Americas role: see further the all seeing eye in America one dollar (google it) full massonic. Most of what is happening is only consipiracy. The Communism and Capitalism was typical conspiracy. You will wonder that the Meim Kampfu was not written by Hittler but rather by a Jesuit Father to instigate Lucifer's aim to exterminatr the Jews. Now Americas operations should be viewed in suspecion. It is only prepare the NWO
 
Us would never gather enough balls to attack that ship or to block its path.chinese have troops enough to put armed guard on every man and waman in us,not a country to piss around with,if china says stop it mean it,russia too said ceasefire.up to now no arab nation brough its plane.qatar brought four plane but they refused to patrol far than libya costline.in other words non flying zone not successfull yet
Mkuu naona unaandika kishabiki sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom