The way to fix the economy

Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
221
kuna mtu amejaribu kutoa maoni yake kuhusu
"The way to fix the US economy" hapa chini je na hapa bongo kwenye bajeti yetu kuna hako ka stimulus package tunakafanyia nini ili kabaki hapa kwetu?

"The federal government is sending each of us a $600 rebate. If we spend that money at Wal-Mart, the money goes to China. If we spend it on gasoline it goes to the Arabs. If we buy a computer, it will go to India. If we purchase fruits and vegetables it will go to Mexico, Honduras and Guatemala . If we purchase a good car, it will go to Germany . If we purchase useless crap, it will go to Taiwan and none of it will help the American economy.

The only way to keep that money here at home is to spend it on prostitutes and beer, since these are the only products still produced in the US .

I've been doing my part....."

hivi hapa Tanzania huwa tunalifikiria kubakisha hela hapa kwetu? au tunafikiri uchumi wetu utaimarikaje na hali tunashindana kununua vitu vya nje? tunalichukuliaje hili
 
Hapa kuna somo la muhimu sana ingawa watu wanawezakufikiri huyu bwana anafanya utani! Ukweli ni kwamba ili kuusaidia uchumi wa nchi yeyote ile ni muhimu watu wake wakawa na ajira na ajira itapatikana tu pale watu watakapokuwa wananunua vitu vinavyozalishwa viwandani mwao!; kwa kufanya hivyo pesa inazunguka domestically! Sisi tulivyokuwa majuha tunataka kufufua kilimo lakini viwanda vyote vilivyokuwa vinatengeneza zana za kilimo tulikwisha viuwa; kwahiyo pesa za kununua inputs za kilimo haziwezi kubaki hapa kwetu bali zitakwenda nje kuneemesha uchumi wa nchi za wenzetu Wachina au wahindi!! Kama alivyosema mwanajanvi mmoja nadhani tuna laana fulani hivi kwani hata badala ya kuhimiza wakulima wetu watumie samadi ambayo haiharibu udongo tunang'ang'ania mbolea ya chemikali ambayo inaharibi rutuba ya udongo wetu!! Viongozi wote wanaimba wimbo wa fertizer basi [huko ndio wanapata commission zao] lakini hata siku moja siku hizi humsikii mtu akiwahimiza wakulima kutumi MAREJEA!!
 
Ndugu Bulesi hapa umegusia suala muhimu sana la pembejeo. kuna research nyingi sana zimefanyika (hasa pale SOKOINE University of Agriculture) kuwa ardhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini imeshaharibiwa na mbolea za madukani. ile miaka ya siasa ni kilimo wakuu wa mikoa na mawazili walikuwa wanajisifu kwa matumizi makubwa ya mbolea bila kuangalia mazao yanayopatikana (nafikiri hata sasa) labda huenda wananufaika na manunuzi ya mbolea kama ulivyogusia.
ni vizuri wakulima washauriwe hata kulaza mashamba kuliko kutumia mbolea na hata sasa hela za EPA ndiyo hizo zinaenda huko.
watanzania tunahitaji maombi
 
US,

Hata hao prostitutes wengi sii Waamerika: wanatoka Mexico, Brazil n.k. na pesa hutuma kwao kama remittances!
 
Why America's economy fell over the cliffJust for laughs....John Smith started the day early having set his alarm clock (MADE IN JAPAN) for 6 am.While his coffeepot (MADE IN CHINA) was perking, he shaved with his electric razor (MADE IN HONG KONG)He put on a dress shirt (MADE IN SRI LANKA), designer jeans (MADE IN SINGAPORE) and tennis shoes (MADE IN KOREA)After cooking his breakfast in his new electric skillet (MADE IN INDIA), he sat down with his calculator (MADE IN MEXICO) to see how much he could spend today.After setting his watch (MADE IN TAIWAN) to the radio (MADE IN INDIA)he got in his car (MADE IN GERMANY) filled it with GAS (from Saudi Arabia ) and continued his search for a good paying AMERICAN JOB.At the end of yet another discouraging and fruitless day checking his Computer (made in MALAYSIA), John decided to relax for a while.He put on his sandals (MADE IN BRAZIL), poured himself a glass of wine (MADE IN FRANCE ) and turned on his TV (MADE IN INDONESIA ), and then wondered why he can't find a good paying job in AMERICA AND NOW HE'S HOPING HE CAN GET HELP FROM A PRESIDENT MADE IN KENYA kwikwikwi
 
Back
Top Bottom