The Volkswagen Aqua " just Amizing!"

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400

The 21-year-old mechanical design graduate, from China Designer Yuhan Zhang created the Volkswagen Aqua, Yuhan Zhang said: ‘There is no better form of transport than an air cushion vehicle because it travels equally well over land, ice, and water.

jamani dogo ana miaka 21 tu!!!!! amefanya mambo makubwa kama haya

ATT00008..jpg

ATT00007..jpg

ATT00001..jpg

The Aqua offers an insight of futuristic vehicle powered by hydrogen and propelled by impeller.

ATT00002..jpg

ATT00003..jpg

ATT00004..jpg

ATT00005..jpg

ATT00006..jpg

read more http://www.metro.co.uk/news/866091-inventor-creates-volkswagen-aqua-car-that-can-cross-water

Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.

Kusema kweli sipendi haya maneno ya kujilaaani' kila siku utaskia watu wanasema ooh wenzetu wana..... Sisi tuna.... Mi naona tusijumuishe wote we jisemee mwenyewe bana

Kna mdau m1 wa elimu za juu nilimckia ktk kipind cha Today in perspective TBC, akisema vyuo vya ughaibuni mf.USA mwanafunz anakaa darasan masaa 18 wakat Tz mwanafunz anakaa darasan masaa 34 kwa wiki, Je? unategemea huyu mwanafunz ana nafas ya kupumzisha akil,kujumuika library na kupata muda mzur wa kufikir zaid ya afundishwayo. shortly ,tuna elimu ya kukomoana!

kweli kabisa.. na ipo theoretical mnoo.... wanafunzi wanadai field wanafukuzwa chuo

Kusema kweli sipendi haya maneno ya kujilaaani' kila siku utaskia watu wanasema ooh wenzetu wana..... Sisi tuna.... Mi naona tusijumuishe wote we jisemee mwenyewe bana
sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.

..... wanafunzi wanadai field wanafukuzwa chuo

Ukweli ni kwamba wanafunzi TZ mara nyingi wanafukuzwa kwa kudai hela/fedha ya field. Wenzetu wana mifumo tofauti ,, field hawalipiwi na serikali ... wanajilipia (/wanafanya bure kwa kujitolea) au makampuni yanagharimia (kama kampuni inafaidika).

Kusema kweli sipendi haya maneno ya kujilaaani' kila siku utaskia watu wanasema ooh wenzetu wana..... Sisi tuna.... Mi naona tusijumuishe wote we jisemee mwenyewe bana
sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.

sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.

mtu hadi kafika kiwango cha kutengeneza radio station.. itakuwa ana kipaji ilifaa kiendelezwe ...

Wabongo wengii na copycats tu; si wale wanaohangaika kivyao wala wale waliopitia chuoni-si wavumbuzi, ni waigaji na waigizaji tu. Mfumo mzima wa elimu haumwandai na kumweka kijana katika hali na akili za kivumbuzi-wanasoma na kukariri ili wafaulu mitihani na kupata cheti ili wapate kazi na kuweza kula!!!! Watoto tunawapeleka shule bila kujua vipaji vyao na kuviendeleza, shame on us all!

Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.
Halafu jaribu kuvumbua kitu kwenye giza hili la ngeleja ambalo hata kuvaa ndomu ni shida kwenye ule uvumbuzi tunaoongoza duniani lol!

sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.
Kuna mtu kaja na mashine yake toka Ughaibuni ya kubadili mafuta ya kupikia yaliokwisha tumika mahotelini ili yatumike kwenye malori Ewura wamempiga stop eti hairuhusiwi.

Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.

Muda wa udaku JF unao? Kama huna muda Tanzania basi hutopata muda kwingine kokote, unafikiri huko nje ya Tanzania mikate inawadondokea na hawaendi kuitafuta? Unanchekesha!

Halafu jaribu kuvumbua kitu kwenye giza hili la ngeleja ambalo hata kuvaa ndomu ni shida kwenye ule uvumbuzi tunaoongoza duniani lol!

Kuna mtu kaja na mashine yake toka Ughaibuni ya kubadili mafuta ya kupikia yaliokwisha tumika mahotelini ili yatumike kwenye malori Ewura wamempiga stop eti hairuhusiwi.

Huyo bora alivyopigwa stop, ulisikia hoteli ipi Tanzania inabadilisha mafuta yaliyokwisha tumika? Bado hatujafika huko.

Back
Top Bottom