The Undertaker-Retired?

Aliretire The Rocky! ambaye naona alipendwa zaidi! IF YOU SMELLLLLLLLLLLO LO LO LOLLLLL WHAT THE ROCKY IS COOKING!
 
Katengeneza mapesa huyo sasa anapumzika na kerehemu matunda yake. REST IN PEACE U-TAKER. ulitufurahisha sana michezoni.
 
ALISHAAGA DUNIA KITAMBO KUTOKANA NA KIPIGO ALICHOPATA AKIWA NYUMBANI KWAKE TK KWA WATU WASIOJULIKANA NA KUPATA MAJERAHA MAKUBWA NA ALIPOKIMBIZWA HOSP. AKAAGA DUNIA. R.IP the dead man Undertaker
 
wwe%2BUndertaker-1%2B%25282%2529.jpg




1293002133-UNDERTAKER-TOMBSTONE(1).jpg


Undertaker_Pics_026.jpg
BADO HAJASTAAFU...KUNA KITU WANACHOKIITA CONSPIRACY! ambacho the truth na the miz wanakililia sana.
vipi jamani kuhusu lile suala la cin cara wawili kwenye show moja likoje!
 
Back
Top Bottom