The ufisadi of udom

Blessing

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
271
11
Good Day wana JF, aise kuna kasheshe kubwa UDOM jamani niko huko undercover --- huyo Principal wa UDOM ni MFISADI kweli kweli. Kuna scandals nyingi sana huko na inafanya wafanyakazi wengi wanaondoka UDOM. Huyo Muhaya ambae ni Principal anakata kukupa hawa ma Lecturers na wafanyakazi mshahara mikubwa instead he takes First Degree Candidates from Morogoro and paying them million of shillings as part-time lecturers hapo papo, wana lipua pesa yakulala hotelini, na hiyo ni part-time alafu wanafunzi spend more than 6 hours na hata kufundisha ni rasharasha. Jamani watu wa JK wote UDOM ni wafisadi na wachafu. Pesa zetu zinaliwa kabisa pia na huyo Muhaya Principal. Action should be taken otherwise we are not expecting any nice product from UDOM. All the best lecturers are living jamani. THIS IS A SHAME AND IT IS JEOPERDIZING THE IMAGE OF THE UNIVERSITY just kwa ajili ya wakubwa wa vioo wachache hawa.
 
good day wana jf, aise kuna kasheshe kubwa udom jamani niko huko undercover --- huyo principal wa udom ni mfisadi kweli kweli. Kuna scandals nyingi sana huko na inafanya wafanyakazi wengi wanaondoka udom. Huyo muhaya ambae ni principal anakata kukupa hawa ma lecturers na wafanyakazi mshahara mikubwa instead he takes first degree candidates from morogoro and paying them million of shillings as part-time lecturers hapo papo, wana lipua pesa yakulala hotelini, na hiyo ni part-time alafu wanafunzi spend more than 6 hours na hata kufundisha ni rasharasha. Jamani watu wa jk wote udom ni wafisadi na wachafu. Pesa zetu zinaliwa kabisa pia na huyo muhaya principal. Action should be taken otherwise we are not expecting any nice product from udom. All the best lecturers are living jamani. This is a shame and it is jeoperdizing the image of the university just kwa ajili ya wakubwa wa vioo wachache hawa.

du rudi dasarani bwana!
 
Umejitongozesha kwake amekukataa sasa umeamua umchafue huku jamvini.
kaa darasani usome, na Library uende acha uvivu, Pumbaf*
yaani wanafunzi wa siku hizi kero tupu, eti na kenyewe kako university, ulistahili kufukuzwa kama wenzio.

Ukome kutuletea ***** hapa, kama huna mchumba MUONE Slaa bado anatafuta Mchumba wa kugombea nae 2015.
 
JAMAA kaileta kama jungu, ila inakaukweli flan iv naambiwa watoto waliolipiwa ada na bodi wananyimwa vyeti, kisa pesa haikuingia udom...kuna uzembe mwing udom
 
Poleni wanaudom lakini mnafikiri mnaelewa kuwa chuo chenu ni politics tupu komaeni mtatoka
 
Mimi napinga ile idadi kubwa sana ya wanafunzi iliyofikuzwa katika fujo zilizopita. Katika University lazima atakuwepo provost,ambaye atawaeleza wanafunzi sheria,ili wakizivunja watakuwa wamejifukuzisha wenyewe. Lakini wale wanafunzi wamefukuzwa kiholela. Walikuwa 70 au zaidi. Labda matatizo ya vijana kule Arusha kuhamia Chadema yamesababishwa na hiyo fukuza fukuza.
 
Good Day wana JF, aise kuna kasheshe kubwa UDOM jamani niko huko undercover --- huyo Principal wa UDOM ni MFISADI kweli kweli. Kuna scandals nyingi sana huko na inafanya wafanyakazi wengi wanaondoka UDOM. Huyo Muhaya ambae ni Principal anakata kukupa hawa ma Lecturers na wafanyakazi mshahara mikubwa instead he takes First Degree Candidates from Morogoro and paying them million of shillings as part-time lecturers hapo papo, wana lipua pesa yakulala hotelini, na hiyo ni part-time alafu wanafunzi spend more than 6 hours na hata kufundisha ni rasharasha. Jamani watu wa JK wote UDOM ni wafisadi na wachafu. Pesa zetu zinaliwa kabisa pia na huyo Muhaya Principal. Action should be taken otherwise we are not expecting any nice product from UDOM. All the best lecturers are living jamani. THIS IS A SHAME AND IT IS JEOPERDIZING THE IMAGE OF THE UNIVERSITY just kwa ajili ya wakubwa wa vioo wachache hawa.

Una maana ya Prof.Kabigumila - College Principal wa Education?
 
fungua principal wa college ipi, info, education, humanities, mining ama medicine maana udom principal c mmja.....
 
Hatupo jamvini kusoma majungu tu. Komaa kifikra kwanza unaposema principle mhaya hueleweki ninavyojua udom ina college 6 na mapriciple katika kila college mapinciple km 3 n wahaya mf.prof.kabigumila Education, prof. Rubagumya CHSS unazungumzia nani. Acha ubaguz wa kikabila
 
Good Day wana JF, aise kuna kasheshe kubwa UDOM jamani niko huko undercover --- huyo Principal wa UDOM ni MFISADI kweli kweli. Kuna scandals nyingi sana huko na inafanya wafanyakazi wengi wanaondoka UDOM. Huyo Muhaya ambae ni Principal anakata kukupa hawa ma Lecturers na wafanyakazi mshahara mikubwa instead he takes First Degree Candidates from Morogoro and paying them million of shillings as part-time lecturers hapo papo, wana lipua pesa yakulala hotelini, na hiyo ni part-time alafu wanafunzi spend more than 6 hours na hata kufundisha ni rasharasha. Jamani watu wa JK wote UDOM ni wafisadi na wachafu. Pesa zetu zinaliwa kabisa pia na huyo Muhaya Principal. Action should be taken otherwise we are not expecting any nice product from UDOM. All the best lecturers are living jamani. THIS IS A SHAME AND IT IS JEOPERDIZING THE IMAGE OF THE UNIVERSITY just kwa ajili ya wakubwa wa vioo wachache hawa.
muanike tu huyo principle tumjue maana unatuacha njia panda hapa.
 
Back
Top Bottom