The truth about u women

(mmh! mie naogopa bado mdogo) Hata nie hamtabiriki na kuaminika
Hebu nijaribu uone....
Kutabirika tunatabirika.kirahisi tu! ila KUAMINIKA ndo sahau kabisa!! Sisi ni kama FEDHA, huwezi kuweka imani yako kwenye fedha, tuna matumizi mengi, tunaweza kutumika kununua chumvi au sukari, au tukanunua mvinyo, au tukalipia gesti hausi.

The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Reply:

Chrispin (Today)​
 
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?

hii kali kwa nini ulikuwa unamega mchumba wa mwenzio, wakikumegea wa kwako utajisikiaje
 
Ntajuaje kama hawanimegei?
Uwe unaosha/kuifanyia usafi ile inayotumia .32 callibre sebuleni, then unatest moja kila mwezi, na uwe unaongelea kununua silencer kwa sababu hutaki kuacha ushahidi utaona!!

Hutagundua, lakini haitamegeka kabisa nje!! ILA NA WEWE USIMEGE (au ukimega asijue, huwa wanalipiza kisasi hawa!!)
 
hahahaha sina neno mkuu, hebu nikuulize tena unaanza vip kuwaza kwamba mwenzio lazima atakuwa anamegwa tu,
Very simple:
Kwanza hujamkuta bikira, na wanasema wanawake huwa hawawanyimi waliowakata bikira. Bahati mbaya simjui aliyembikiri. Kama yuko mitaa ya karibu basi tena, inabidi tu ujipe moyo siku zisonge mbele.
Pili kuna haya mafataki aggggggggggggrrrrrr ngoja nisiendelee nisijesababisha watu wagawe talaka zao kwa wake zao leo na mapema
 
dawa ni kuwaandikia urisi tu, imeandikwa kwamba "kitanda hakizai haramu forever", (huu msemo aloutunga ana akili kweli, samtaimu inabidi tujipe ma hope bana)

Nani alikwambia kitanda hakizai haramu? Hiyo ilikuwa mwaka 47 kabla Wataalam hawajagundua mambo ya DNA. Methali hiyo imeshapitwa na wakati. Kuna methali mpya imetungwa inasema hivi, "Kitanda kinaweza kabisa kuzaa haramu." Ukimwangalia mtoto na kumuona hana features zozote zonazofanana na wewe hata kidogo basi ushtuke kwamba umeshaibiwa yale mambo ya mwaka 47 ya kuambiwa na bibi wa mkeo kwamba mtoto huyu anafanana na babu wa mama yangu yameshapitwa na wakati.
 
Naomba kukuuliza swali BAK, kwa mfano mtoto amezaliwa hamjafanana... tuseme umemlea akafikisha miaka mitatu ukampeleka huko kwenye Ma-DNA yenu, utamuacha mkeo? Je usipogundua akakwambia ukweli mtoto amefikisha umri wa kuoa/kuolewa... utafanyaje??
 
Naomba kukuuliza swali BAK, kwa mfano mtoto amezaliwa hamjafanana... tuseme umemlea akafikisha miaka mitatu ukampeleka huko kwenye Ma-DNA yenu, utamuacha mkeo?
Kumuacha itakuwa msamaha kutoka kwa Mungu. Ndio maana hatujihangaishi kwenda kupima. Manake nikipima nikakuta si wangu yatatoke haya katika familia yangu:
Mtoto atahamia kwenye maskani ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Mama kama hatakuwa marehemu atakuwa mteja wa kudumu pale MOI
Mimi nitakuwa mwanachama hai pale Segerea, nikisubiri signecha ya prezidenti (kama waifu hatakuwa mteja wa kudumu MOI)

Mungu apitishe mbali!!!
 
Very simple:
Kwanza hujamkuta bikira, na wanasema wanawake huwa hawawanyimi waliowakata bikira. Bahati mbaya simjui aliyembikiri. Kama yuko mitaa ya karibu basi tena, inabidi tu ujipe moyo siku zisonge mbele.
Pili kuna haya mafataki aggggggggggggrrrrrr ngoja nisiendelee nisijesababisha watu wagawe talaka zao kwa wake zao leo na mapema

imani potofu hiyo, wananyimwa sana.
 
Back
Top Bottom