The truth about u women

nyie mnaaminika kwa lipi?..hapo baba mtu angekuja kuambiwa junia kafanana na wewe komwe, lol
Ukiona waifu anakuimbia wimbo mtoto kafanana na wewe sijui kucha, nywele, ulimi au kisigino ujue umeliwa. Kwanini akuambie wakati mwenyewe unaona bana!
 
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?

Hakuna mila ndugu yangu Chrispin... uwe na amani tu... nilikwambia tunatoa ushauri wa kiroho zaidi
 
Utamkosea haki mzenji.
btw mie nilijua mzenji keshakufunga pingu maana Penzi ulilotunukiwa naye lilikupagawisha sana.
Nimeipenda sana avata yako mpya. Ila hiyo signature naona kama inanikwaza LOL

I AM TIRED OF ILLUSIONS !!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!
 
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?

matatizo ya ndoa hayapelekwi popote, unakomaa nayo mwanzo/mwisho, ukianza kupeleka tatizo lako mahali popote ujuwe ndio unastawisha matatizo zaidi.
 
Hahahaha! Anaogopa kulea mamluki?
Si utani, mi ndio maana mabinti zangu napenda waniite Chris zaidi kuliko kuniita baba. LOL!

Hafalu hizo za hanimuni ndio hazina Audit kabisa... jamaa anashangilia akidhani anajua kulenga kumbe... mwe... (Geoff, tafadhali usianze kufanya Audit...plz...)
 
You are very wrong mama wa sabusitensi.

Kwetu sisi waafrika tuliobobea katika mila na desturi zetu, wanawake wote wenye asili ya jamii ya kwetu ni mama zangu (ukiondoa yule ntakayemuoa labda). Mathalani mimi ni mchaga, akatokea mtu wa kabila tofauti akamuoa mchaga mimi ntamuita shemeji hata kama aliyeolewa si dada yangu. Sasa kama Mheshimiwa mama yake ni mha, halafu mama yake huyo akaolewa na mkwere, basi waha wote wa kiume ambao kimila ni kaka zake mama yake anastahili kuwaita wajomba. (Hapa ni kimila na kidesturi zaidi lakini, sijui nyie wenzetu msiosimamia mila na desturi zetu) Samahani kama hujanielewa, jana sikunywa za kutosha!!

naona another dimension Chris.. nimekubali
 
Ukiona waifu anakuimbia wimbo mtoto kafanana na wewe sijui kucha, nywele, ulimi au kisigino ujue umeliwa. Kwanini akuambie wakati mwenyewe unaona bana!

wakati mwingine hulioni sema unaogopa kuuliza....lol
 
Aisiiii! Sikujua hilo! Ngoja leo nikatuangalie kwa karibu tule tubinti twangu tuwili LOL!
Duh! yaani ndo hamna imani na sie hvo pamoja na yoote tunayowafanyia eeh mungu wasamee wanaume hawa maana hawajui walisemalo na kulitenda.
 
duh! Yaani ndo hamna imani na sie hvo pamoja na yoote tunayowafanyia eeh mungu wasamee wanaume hawa maana hawajui walisemalo na kulitenda.

hamtabiriki wala hamuaminiki ndio maana. (isipokuwa wewe, usisahau nimekukaribisha mimi wa kwanza)
 
(mmh! mie naogopa bado mdogo) Hata nie hamtabiriki na kuaminika
Kutabirika tunatabirika.kirahisi tu! ila KUAMINIKA ndo sahau kabisa!! Sisi ni kama FEDHA, huwezi kuweka imani yako kwenye fedha, tuna matumizi mengi, tunaweza kutumika kununua chumvi au sukari, au tukanunua mvinyo, au tukalipia gesti hausi.
 
Back
Top Bottom