ha ha ha Hommie ile avatar vp? au Teamo kakubania?Hahahahaha! Mpwa! Mpwa! Mpwa!
Don't you dare to give your Mzenj a crap! You better not!!!!
ha ha ha Hommie ile avatar vp? au Teamo kakubania?
Aksante Masanilo kwa kuliweka hili wazi. Na kweli if you give me a crap prepare to get tonnes of shit
I was given a crap and now am providing the shit meeeeeen .......... he wishes he never met me!! Lol
Wanawake ....garbage in garbage out!
heheheh kuna posibiliti pia ya kumpatia mtoto mmoja , yeye akakupatia wengine wawili with difurenti DNA.
unajua hawa viumbe hawatabiriki...........ukimpa upendo mahususi, unaweza ambulia dharau kwa mashoga zake!!I appreciate on what women do...Lakini kwanini watu mnakazia maongezi kwenye upande mbaya tu(upande wa vuvuzela?)...
Aisiiii! Sikujua hilo! Ngoja leo nikatuangalie kwa karibu tule tubinti twangu tuwili LOL!
Wakati unampatia mmoja na huku nje unatoa wengine kama popcorn unategemea nini?heheheh kuna posibiliti pia ya kumpatia mtoto mmoja , yeye akakupatia wengine wawili with difurenti DNA.
heheheeh kamanda unaweza usigundue vile vile, mchina kaingia mpaka kwenye DNA siku hizi, hujaskia kuna wazembe wanataka kufeki DNA ya Obama?
Wakati unampatia mmoja na huku nje unatoa wengine kama popcorn unategemea nini?
btw singature yako ni kiboko!mama wa sabustensi huyo. Klorokwini umechokoza nyuki. Subiri na nyamayao aje hapa utapata habari yako. Mi simo!
Ahaa! Kwa hiyo dawa ni kutompa mwanamke mtoto ili atoe kizazi kabisa!!!
Wakati unampatia mmoja na huku nje unatoa wengine kama popcorn unategemea nini?
Mpwa usikimbie,na mwanajamiione nae yuko njiani anakuja.Kwani unaogopa nini mpwa,yanayosemwa si ni ukweli na hata kama na wanaume ndivyo wafanyavyo kosa halirekebishwi kwa kosa mpwa ingawa wengi wao uwa tunawatifuatifua sasa wanapotifuka ndo hayo,na wengine hawana haja ya kutifuliwa,walishatifuka tangu zama za mawe za kale.Mama wa Sabustensi huyo. Klorokwini umechokoza nyuki. Subiri na Nyamayao aje hapa utapata habari yako. Mi simo!