The Truth About Blackwater (video)

Kinacho nishangaza ni mtu kama Mandela mwenye Influence/Ushawishi mkubwa sana sio Nje tu ya Afrika hata hapa Afrika.................sikuwahi kumsikia aki-pioneer Africans ku-join forces zetu kiuchumi..................au naye ni Hypocrite???

Mzee Mandela mbona walishamsort siku nyingi, cheki hii documentary Apartheid Did Not Die utaelewa what I mean http://www.youtube.com/results?search_query=pilger+apartheid
 
Haya ndio matataizo ya kukaa na watoto kwenye baraza

Hivi wewe pamoja na taarifa zote ulizowekewwa hapo bado huoni connection kati ya BLACK WATER na SIASA?

ama kweli JF ina watu wa kila namna. Eidha shule yako ni ndogo sana au ni ujeuri au basi tuu

Hivi mfano utasemaje kuhusu hizi za MWANAKIJIJI ambazo hazihusiani na bado zimeachwa humu? Halafu watu wakisema ohhh mnawaonea ma moderators ohhh sijui nini

........

MWANAKIJII akifanya ni sawa wengine wakifanya ishakuwa nongwa!

Naona Mwanakijiji anawanyima sana usingizi.

That's why I love this bad boy Mkjj, give em kids hell damn it!

Watakuchukia hadi wapasuke kwa hasira.

Pamoja na kampeni yenu ya kutaka kuipondea JF, nafurahi kuwaambia kuwa JF is here to stay so pasukeni kwa hasira.

au anzisheni website yenu na muiite whateverthenameyouwant.co.tz
 
Daym..as time goes by maajabu yanazidi kutokea humu JF!
You love BAD BOY MWANAKIJIJI....daym nilikuwa sijui kama MWANAKIJIJI pamoja na yote hayo kumbe ana watu wana CRUSH naye na zaidi ya hayo kwa statement hiyo you arenow OFFICIAL SUSPECT in my books Samahani wazee mliotangulia lakini nadhani hii inahitaji immediate attention.

WhitakerForest_Last-1.jpg

Dude you cant be serious kuwa una crash na MWANAKIJIJI...So tell me what made you love him then?
 
dont loose him !! heheheee (hiyo picha bana heheeee) jamaa kanuna lakini mie nimeangua kicheko tu !

nadhani ikiwashika kooni WENYEWE wanaweza wakatoa hii feature ya picha ! gademu !
 
mjadla ulikuwa unaendelea vizuri tuu mpaka hawa wanaowaamuru akina OLE wahamishe mijadala walipoingia

nakuuliza tena ES hili nalo kuna cha kumtetea huku MWAFRIKA WAKIKE?
 
Unajua hivi karibuni nime-notice trend fulani....ktk baadhi ya mada mara tu jina la Mwanakijiji linapotajwa....basi kuna hatari ya hiyo mada kubadilika na kuanza kuwa ya kumhusu Mwanakijiji badala ya kuwa kama ilivyokusudiwa. Dizaini kuna watu wanakosa usingizi wakiwaza na kufikiri jinsi ya kumwangusha Mwanakijiji.
 
Kama Lowasa mwenyewe anakesha akiwaza namna ya kujibu articles za mwanakijiji unategemea washabiki wake hapa watafanya nini?

Kidonge kimewakaa mioyoni hadi wanapata vibiongo kwa hasira. Na sasa eti wameanza kampeni ya kupondea JF baaada ya baadhi yao kuanzisha viwebsite vyao vikakosa visitors!

Lol, watakoma mwaka huu. Chuki zimewajaa hadi wanachukia JF of all things?
 
Thread inasemaje jamani? mwafrika wa kike/kiume jaribu na wewe kuwa na mtazamo chanya wakati mwingine.Kama alivyosema jamaa mmoja hapo juu kuwa sio lazima kila kitu ujibu ni bora kusoma kuliko kujibu kituko!

Nani anachukia JF waungwana?

Mwafrika wa kike(?) hamna haja ya kujibu nilichokiandika.......endeleeni kukata ishu ya blackwater mimi nilikuwa sifahamu yoote haya ya blackwater nasubiri ishu tikeni kwenu
 
Jamani mtu/mwanamke

naona hujaacha tabia yako ya kuniamuru cha kufanya. Nyumbani unanipangia muda wa kuamuka na kulala. Serikalini unanisainia mikataba mibovu. Hadi JF unataka kuniamuru cha kufanya mama?
 
Mimi baba.....anyway tuendelee kujenge nchi malumbano yaishe
 
Unajua hivi karibuni nime-notice trend fulani....ktk baadhi ya mada mara tu jina la Mwanakijiji linapotajwa....basi kuna hatari ya hiyo mada kubadilika na kuanza kuwa ya kumhusu Mwanakijiji badala ya kuwa kama ilivyokusudiwa. Dizaini kuna watu wanakosa usingizi wakiwaza na kufikiri jinsi ya kumwangusha Mwanakijiji.

La hasha hebu soma tena hii thread ilipoanza tena kwa makini na jinsi majibu yalivyokuwa yakitolewa mpaka alipoingia MWAFRIKA WA KIKE

sasa hapo ndio utajua ugonjwa uko wapi
 
Dozi swafi kabisa ya International "Business" in the name of peace and security by Game Theory, FD na Wengine watiifu wa JF...

Huyu jamaa aliyeandika kuhusu Black Water, brain yake inachaji kisawasawa.

Game Theory, ulivyosema connection kati ya Black Water na Hilary Clinton nilistuka kidogo; kumbe tatizo ni kuwa wote waliingia Duka moja kutafuta PR Management.

Forum Idumu....

Samvulachole...kila ukiandika post 3 basi lazima walau post 1 inivunje mbavu, yaani huniangushi kabisa kwa burudani ndani ya bulogu.

Again JF Idumu
 
Wazee hebu wekeni dataz za Blackwater, tule dataz sometimes ni vyema kula international,

Hongera wakuu FD, Samvula, I mean mimi sikujua kuwa hayo ndiyo yaliyojiri na hiyo kampuni,

Bravo wakuu wekeni vitu, huu mjadala umeenda shule!
 
IMO the Blackwater - Hillary Clinton connection is quite a stretch if you really look at it. I mean, Mrs. Clinton's PR Advisor Mark Penn, who heads Burson-Marsteller did not even work on the Blackwater account, according to the Washington Post.

Other Democratic Presidential hopefuls wouldn't mind some political mileage out of this one I am sure.

http://blog.washingtonpost.com/the-trail/2007/10/05/blackwater_ties_fodder_for_pol.html
 
Wazee hebu wekeni dataz za Blackwater, tule dataz sometimes ni vyema kula international,

Hongera wakuu FD, Samvula, I mean mimi sikujua kuwa hayo ndiyo yaliyojiri na hiyo kampuni,

Bravo wakuu wekeni vitu, huu mjadala umeenda shule!

Fuatilia a very interesting talk on the issue by Jeremy Scahill - Blackwater Shadow Army in Iraq

Part 1 http://youtube.com/watch?v=DAibI5ahMGs
Part 2 http://youtube.com/watch?v=aOrh3bvbXEI
Part 3 http://youtube.com/watch?v=6d5t6u4KKhY
Part 4 http://youtube.com/watch?v=YgM5Q3c6XWk
 
Kuna vichwa vingine nyuma ya Blackwater US kama Cofer Black(vice Chairman) ambaye mwaka huu amechaguliwa na Mitt Romney kuwa head wa counter terrorism Advisory group yake.
Kabla ya kwenda Blackwater USA alikuwa head wa CIA Counter Terrorism Center hiki kichwa kimefanya kazi kama case officer(kwa wale wataalamu wa espionage wanajua) Zambia, Somalia, Sudan, Angola , South Africa.

Mwingine ni Joseph Schmitz Defense Department Inspector General kuanzia March 2002 mpaka Sept 2005.
 
BLACK WATER wamesema wanaweza "kusaidia" DARFUR ikiwa watapewa kazi.

Mimi nadhani hawa jamaa are good in their craft. wapewe jukumu la kurekebisha mambo DARFUR.
 
BLACK WATER wamesema wanaweza "kusaidia" DARFUR ikiwa watapewa kazi.

Mimi nadhani hawa jamaa are good in their craft. wapewe jukumu la kurekebisha mambo DARFUR.

Where will it end...ukiwapa Black Water kazi Darfur kutakuwa na tofauti gani na Charles Taylor alipokuwa anamsaidia Foday Sankoh kuichukua ikulu ya Siera Lione. Maovu mengi yanafanyika Darfur lakini serikali zipo zenye majeshi ya kutosha kufanya hiyo kazi; kama wakitaka.
 
Back
Top Bottom