The True Patriots Should Take a Stand and Walk!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
If there is another Golden Opportunity for a true Intifada to the politics of Tanzania, then this is the perfect time for it.

As Kikwete's Government is presenting its 5th budget and all indicators are showing no progress to eradicate Poverty, Ignorance and Diseases, but to enrich the rich and sinking the country into a massive debt, it is tme for th true Patriots of all colors who are congregating in Dodoma, not only denounce the budget, but to walk away from the budget session in Dodoma and return to their constituencies!

Yes all the true Patriots of Tanzania, those who claim to be the representative of the Wananchi voices and causes, do not need to wait to debate or discuss any other presentation from any ministry or present a bill, they should simply pack their bags, forgo the salaries, allowances, posho and any form of payment to facilitate their stay in Dodoma and go back home and tell the Government to use the money to built Hospitals, purchase desks and books, and raise minimum wage!

The shameful increase in spending of our Government in comparison to its earnings is an embarrasment to us as a Nation and we are expanding the debt with such magnitude that it may take 7 to 8 generations for Tanzania to be able to repay the debts that have been accumulated and accrued this budget of 2010.

It is very simple action, and it does not need rocket science or too much thinking or contemplation of the aftermath of the walking out! Rather than thinking about your own political futures, you should all think about the uncertainty of future of Tanzania due to soaring debts, incompetence and ineffectiveness of CCM government and its leadership that has embraced all methods of expolitation of labor and resource in addition to plundering of our economy through massive and organized corruption and delibarate sabotage of national assets done through inferior contracts and trade agreements.

Yes Revolutionary Right Reverend Kishoka is urging you, the Mbunge to Walk out of this Bunge session, and save our country from falling deeper into abject poverty!
 
Oh my dear Reverend.. you are proposing a confrontational approach to Tanzanian politics. There have been so many opportunities that our Reps should have used to walk out to make a statement. Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kufanya hivi kwa sababu kuna hofu ya kuonekana wagomvi, wachochezi n.k. Wabunge wakitaka kutoka kwenye kikao mwenye nchi ataitisha mkutano na waandishi wa habari he will blast them more than he did to mbayuwayu!

Na nina uhakika wa asilimia 100 wananchi mara moja wataenda kujipanga nyuma ya Rais wakiwaacha solemba hao wabunge...
 
Mkuu Rev, truly speaking I am fed up with poor leadership in our beloved country.

Nilikuwa na matumaini makubwa wakati wa kashfa za EPA, Richmond, Kiwira etc kwamba labda zingekuwa chanzo cha mabadiliko makubwa ya uongozi nchini mwetu lakini zote zimezimwa kiaina aina na bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.

Nchi yetu itaendelea kuongozwa hovyo kwa faida ya wachache kwa miaka chungu nzima ijayo. Inasikitisha sana na kukatisha tamaa lakini ndiyo ukweli wa mambo.
 
Oh my dear Reverend.. you are proposing a confrontational approach to Tanzanian politics. There have been so many opportunities that our Reps should have used to walk out to make a statement. Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kufanya hivi kwa sababu kuna hofu ya kuonekana wagomvi, wachochezi n.k. Wabunge wakitaka kutoka kwenye kikao mwenye nchi ataitisha mkutano na waandishi wa habari he will blast them more than he did to mbayuwayu!

Na nina uhakika wa asilimia 100 wananchi mara moja wataenda kujipanga nyuma ya Rais wakiwaacha solemba hao wabunge...

Mwanakijiji, Wabunge wa upinzani wamewahi kutoka nje wakipinga jambo fulani kama utataka itabidi nilitafute. NI lazima muaelewe watanzania unapofanya jambo kama hilo sehemu yoyote duniani lazima uwe na uhakika na wenye nhi kuwa watakuunga mkono. na world cup hii sijui!
 
Hivi kwa niin watu wanakuwa na woga namna hii as if bado tuko enzi za cold war? What percentile are opposition in the parliament? what about the so called Wapiganaji wa CCM?

In reality, this budget stuff and national debt is bigger and scary than EPA, MEremeta and any kind of Ufisadi combined!
 
Rev. Kishoka,
Mkuu siasa za Bongo hizi mkuu wangu. Wazo zuri sana lakini where are those Patroits?.. huwezi hata kuwajaza mkononi na hata wakitoka haliwezi kuwanyima CCM usingizi wala Bunge kuahirishwa..Kumbuka ni mara chache sana hilo Bunge letu limehudhuriwa na wabunge wote kwa pamoja labda siku za kutangaza bajeti, JK akitokea na waziri mkuu..

Siku zote wameendelea na mijadala hata kama 1/3 ya Wabunge hawakuhudhuria. Na kiabaya zaidi rais anaweza vunja baraza zima wakifanya mchezo huo na Wadanganyika wakampongeza. It's tough, nadhani tulichozungumza siku za nyuma ni nyie vijana wa JF (Taifa la leo) kuingia front kugombea majimbo uchaguzi huu..sijui wangapi wamejitokeza na kwa tiketi ya vyama gani...

Inasikitisha tu baada ya mazungumzo marefu ya miaka mitano toka 2005 leo mnawakimbia kina Dr.Slaa, Zitto,Kitila,Mnyika badala ya kuunganisha nguvu zenu...Nina hakika kabisa nafasi zilikuwepo na bado zipo isipokuwa haya maswala ya Itikadi, hali kinachotakiwa leo ni true Patroits..
 
Hivi kwa niin watu wanakuwa na woga namna hii as if bado tuko enzi za cold war? What percentile are opposition in the parliament? what about the so called Wapiganaji wa CCM?

In reality, this budget stuff and national debt is bigger and scary than EPA, MEremeta and any kind of Ufisadi combined!

Mkuu i was so sceptical about this ccj thing,confidence waliyokuwa nayo,ilikuwa na walakini machoni pangu lakini nikasema kuwa confidence hizo lazima ziwe na something to back it up other than the so called itikadi ambazo hapa JF kwenye wasomi wengi walikubaliana nazo,ila kama nilivyosema hapo awali,makaratasi kwa wananchi pengine ni tolilet pepa kama si msilam mwenye kutumia maji...Trust mi on this....however tuna kuwa out of touch tusipo consider the reality on the ground na duru za politics hapa bongo...Rais ana madaraka makubwa sana na wabunge lazima waufayte especially hao wa ccm ie wapiganaji nk,wengine labda wangepewa uwaziri kama magufuli,ama contracts za serikali si wangeufyta tu?

Kama wameshindwa kuacha milioni arubaini kwa uzalendo wa nchi wataacha senti hawa?aaarrgh!....maslahi na more maslahi, na ndio maana hata siri nyingi za ufisadi wa cm walipewa kina Slaa...linchi linakuwa hovyo everysingle gadamn day weshaingizwa mkenge hao kwenye mtandao either kwa tamaa,woga ama vyote ambavyo chimbuko ni tamaa!!

Na pia mkuu wa nchi ndo mwenyekiti wa chama...Hapo sasa...tuone kama wakiahidiwa madili wataenda ccj,hata mafao yenyewe wameshindwa kuyatema eti wanajiita wapiganaji,niisema toka mwanzo mtu credible ni Mpendazoe.ila namsikitikia kama wenzake watajali ubinafsi kama ilivyo ada ya miafrika!

Bajeti na national debt vinatofautina vipi na ufisadi?ufisadi ni mefereji wa kupitisha yote hayo,na kwa maana hiyo mifereji ya wananchi ni mikavu....Mkuu huwezi kupika pilau kama huna viungo,itakuwa bwabwa tu wa kawaida labda uunge na nazi,lakini pilau bila viungo si pilau,na bajeti bila ufisadi si bajeti,angalia pesa zinapokwenda......CCJ wanahitaji watu wengi zaidi wenye mawazo ya tofauti kama kweli wana taka kuleta mabadiliko,otherwise yatachukua muda na consequences zake zitatake even longer tu heal.
 
JMushi1,
Historia ya nchi yetu imeonyesha kwamba viongozi wote waliowahi kuwa Patriots kwa nchi yetu wamekufa maskini na wengine hadi leo hawathaminiki na hata familia zao kwa sababu they have nothing (monies) to show!. Hivyo Wabunge wengi wanatazama maslahi yao binafsi kwa sababu Ukiwa patroit hupati hata support ya wananchi zaidi ya kukucheka. Mtazame maskini Mpendazoe.....leo hii anaonekana hakuna mjinga kama yeye! na wengi wa aina yake walitangulia we never stand or supported them..

Nilipokuwa Bongo nilikutana na mshikaji wangu wa Idara ya Habari nikamuuliza Paul Sozigwa yupo wapi siku hizi.. alinambia ni mgonjwa mahututi kitandani akihudumiwa na wanawe, hakuna msaada wowote toka kwa serikali..Yaani it's sad sad sad! - huyu aliyesema hivi ni mwandishi wa habari.
 
Mushi,

Fedha za EPA, Meremeta na hata Richmond, hazikuwa kwenye bajeti yetu wala kuhesabika kuwa ni za kwetu, hivyo tulivunja miiko ya kuwa waaminifu kwa kutumbua pesa za wenye EPA, Meremeta na hata msamaha wa WB-IMF ambao ulisema fedha hizo za msamaha ndio zitulletee mitambo wakati ule wa Richmond.

Ninachozungumzia hapa ni hili la matumizi kuongezeka kila siku na kukopa kila siku lakini hakuna mwenye hiari ya kusema tukaze mkanda, Serikali ipunguze ukubwa wake na matumizi na vitabu vikaguliwe kwa umakini na kuhakikisha matumizi yanadhibitiwa.

Ukisoma kauli ya Zitto kusema kwa kila shilingi 100 tunayotumia 23 ni mkopo mimi nitakataa na kusema 45 ya hizo 100 ni mkopo na hil ni deni na mkopo ulioisha majuzi mwaka wa fedha wa 2009 ulioikwisha. Sasa hili la 23 ni deni jipya linaloanza na bajeti hii.

Hakuna motisha au msisimko kutoka Serikali kubuni mbinu za kuongeza mapato na ubora wa maisha ya Mtanzania. Lengo la awamu ya nne imekuwa kuwafurahisha wawekezaji.

Majuzi kuna aliyedai kuwa ni heri Mkapa alitufutia deni, sasa swali ni kuwa kama Mkapa alituachia ziada, tumeimalizaje kwa miaka mitano na kuongeza deni letu maradufu kwa kiasi tukope kwenye mabenki ya biashara ili kujiendesha?

Ndio maana natoa wito kwa Wabunge kuondoka Chimwaga na kujirudia majimboni mwao!
 
Rev Kishoka,

When a budget proposal is bad, MPs should vote against it. They should not run from it. Or are you calling for a crisis in governing?

The budget is bad, but it is not the problem. It’s but a consequence of it. “True patriots” should solve the underlying problem. Running from a consequence will not be enough.

The problem is bad governance. This can be solved by changing the way we govern ourselves. But we cannot elect the same people over and over again and expect a different result!

Kenya has been able to improve the way they govern themselves. And they are pondering more fundamental improvements. Why can’t we do the same?

I was convinced that we could rally around Slaa and usher in a new set of leaders. But the man has disappointed me. He only wants to strengthen the opposition. He does not want to be President. But what we need now is not CCM ruling and a stronger opposition. We need a new ruling party and CCM in the opposition!

Benjamin Mkapa did a tremendous job of building macroeconomic stability. But he also dealt us a bitter blow by leaving us Kikwete. We would have been much better off with Kigoda, Salim or even Mwandosya. Did Mkapa have to leave us the worst of the contenders?

Does this mean that I have lost all hope? No. That would go against everything I believe in. And I believe in Mwalimu’s famous saying: “It can be done, play your part”. But I am at a loss as to what my part ought to be right now. Do you, dear compatriots Kishoka, Mzee Mwanakijiji, Mkandara and others, know what your part ought to be?

Until a few weeks ago, I thought my part was to drum up support for Slaa. But the man just wants to be in opposition! What a waste! It’s a national tragedy!
 
Mwalimu Moshi,

Kuna namna nyingi za kuamsha mabadiliko. Hili ninaloliwasilisha ni la kushinikiza Serikali ya Tanzania ikwame kwenye tuta na wala si kuisaidia ipande tuta. Huo ndio msimamo wangu.

Serikali hii inatuingiza katika umasikini unaookubuhu na unatisha. Tayari leo hii kuna habari kuwa Hazina yetu ya fedha za kigeni pale Dar haizidi dola Milioni mbili!

Kama kutumia wapiga kura tumeshindwa kuona mabadiliko, basi ni heri Wabunge wenye nia njema na Taifa ambao sauti na maamuzi yao kila siku huundiwa vikao vya chama na kushinikizwa kuwa bendera fuata upepo na kuhalalisha kila linalofanywa na Serikali, wajitoe muhanga na kuondoka Dodoma kama njia ya ku-protest.

We are already suffering and we have nothing to loose if the Government will come to a stand still and crisis erupt! May be then Watanzania will learn a lesson of not trusting CCM and its false promises to take us to the promised land.

Ni mpaka pale Kikwete na Serikali yake hata wakitumia mabavu ya kijeshi au kebehi na Wazee wa Dar wakae mkao wa kifo cha Mende na kuwa taabani na kujirudi na kusahihisha upuuzi wanaofanya ndipo Watanzania tuamke na kukataa kuwapa miaka mingine mitano ya kutuhujumu.

Kinachotokea sasa hivi cha matumizi yasiyo na msingi au kikomo ni uhujumu wa kihalali unapitia bajeti na unatungiwa sheria na kupitishwa Bungeni kama sehemu ya bajeti na matumizi kwa Taifa!

Wameacha kuiba kwa ujanja ujanja au kuwa na mikataba hewa, sasa hivi wanaweka uhujumu kama sehemu ya bajeti na watakaoumia ni Wananchi ambao kila siku wanaambiwa safari ya kupata maendeleo na maisha bora kwa Mtanzania yako mbali na yameingiliwana mtikiso wa uchumi wa dunia!

I am going to be very clear about this, yes I want the Government to collapse and come to stand still through the Patriotic act of walking out of the budget session by our parliamentarians!
 
Augustine Moshi,
Does this mean that I have lost all hope? No. That would go against everything I believe in. And I believe in Mwalimu's famous saying: "It can be done, play your part". But I am at a loss as to what my part ought to be right now. Do you, dear compatriots Kishoka, Mzee Mwanakijiji, Mkandara and others, know what your part ought to be?
I have made up mine...A quote from founders of USA independence, what they meant when they said:-


- We hold these truths to be self-evident, that all men are created equal, that they are endowed by their Creator with certain unalienable Rights, that among these are Life, Liberty and the pursuit of Happiness. - That to secure these rights, Governments are instituted among Men, deriving their just powers from the consent of the governed, - That whenever any Form of Government becomes destructive of these ends, it is the Right of the People to alter or to abolish it, and to institute new Government, laying its foundation on such principles and organizing its powers in such form, as to them shall seem most likely to effect their Safety and Happiness."
 
Rev Kishoka,

Sidhani kama ungependa serikali ianguke. Wote tungependa ibadilike, na sio ianguke. Si vema kuwe na fujo Bungeni. Zikianza fujo Bungeni zinaweza kuleta fujo mitaani. Hilo halitakuwa jambo jema.

Serikali ya CCM haikarabatiki, ni ya kubadilisha. Sasa unategemea hao wabunge wa CCM ndio waibadilishe? Haiwezekani. Ni sisi wananchi ndio itabidi tuchague serikali nyingine. Inawezekana kufanya hivyo bila vurugu. Mbona Zambia na Kenya wameweza?

Mwezetu, bajeti isikupe shida. Ni danganya toto tu. Huwa hakuna anayeihakiki. Fedha za walalahoi wa Tanzania hazitumiwi kufuatiana na bajeti. Nakumbuka wakati wa bejeti ya kwanza ya JK, Mzee ES alitutonya hapa jamvini kwamba nusu ya fedha zote zilitengewa Hazina. Kimya kimya.

Ignore the budget. Let us concentrate on the real problem at hand: who should we rally arround now that Slaa has let us down?
 
Am clear with your argument Rev.
Up to now, even a child can sense the smell of the garbages of our government which have lost its sovereignty. My concern here is not just an agree to disagree the ruling power, but its more toward the lack of Real Jingoists who are ready to do what they are saying, lack of Patriots who are ready to practice the feeling of majority with all of his heart. For a time now we have being calling some are Patriots but in real sence they are not, they are just an OPPORTUNISTS who are using the available opportunities by acting as a patriots while their intention is against the feeling of Majority, Thus is why they are easily be bribed and changed. Do you think its easy to change a Real Patriot with your fu...#ckn money?

You can agree with me after going through this down Quote.

Rev Kishoka,

I was convinced that we could rally around Slaa and usher in a new set of leaders. But the man has disappointed me. He only wants to strengthen the opposition. He does not want to be President. But what we need now is not CCM ruling and a stronger opposition. We need a new ruling party and CCM in the opposition!

Until a few weeks ago, I thought my part was to drum up support for Slaa. But the man just wants to be in opposition! What a waste! It's a national tragedy!

What Dr. Slaa have noted is what am trying to express here. We do not have a real Heroes yet in the system, if there is, they are not yet active. You can not be a president of yourself with a hope of achieving the bests if you do not have a good team to stand after your decision. I agree much to Dr. Slaa's vision of having a REAL strong opposition that can led the country towards the real changes.
 
Rev Kishoka,

Sidhani kama ungependa serikali ianguke. Wote tungependa ibadilike, na sio ianguke. Si vema kuwe na fujo Bungeni. Zikianza fujo Bungeni zinaweza kuleta fujo mitaani. Hilo halitakuwa jambo jema.

Serikali ya CCM haikarabatiki, ni ya kubadilisha. Sasa unategemea hao wabunge wa CCM ndio waibadilishe? Haiwezekani. Ni sisi wananchi ndio itabidi tuchague serikali nyingine. Inawezekana kufanya hivyo bila vurugu. Mbona Zambia na Kenya wameweza?

Mwezetu, bajeti isikupe shida. Ni danganya toto tu. Huwa hakuna anayeihakiki. Fedha za walalahoi wa Tanzania hazitumiwi kufuatiana na bajeti. Nakumbuka wakati wa bejeti ya kwanza ya JK, Mzee ES alitutonya hapa jamvini kwamba nusu ya fedha zote zilitengewa Hazina. Kimya kimya.

Ignore the budget. Let us concentrate on the real problem at hand: who should we rally arround now that Slaa has let us down?

Mwalimu Moshi,

We need a revolution period! Not the Millitary Junta like West Africa or South America, but a revolution through people representatives as long they are on our side and they are ready to fight our battle and on our behaf and not on behalf of any establishment.

Yes this issue with budget is critical. Kikwete trounced the plea to improve welfare of Tanzania workers and even declared he cared not for their votes! Now if you are Mbunge and you have a President who has audacity to utter such garbage, then you have to choose a side, either you are for the people or establishement!

The budget support the existance of the establishment and thus the more frequent flyer miles accrued by our President to tour the world and an open check book to pay for pesky and fish project and expenditures!

If we deny him the money, he will cease to function and thus his down fall and so is his party.

If you read the budget and the so many delightful promises and the propagandas that have started being trumpeted by Kikete himself like delivering 2005 election promises and the revived chorus of media that is showering praise to the Government descicion to remove taxes and duty to combine harvesters (which peasant in Tanzania can afford a tiller, let alone tractor and combine harverstor?), then you will find so many gaps that quantify the assesment made by Zitto and even of all people Mramba!

To me, CCM must fall and at this minute I can careless at what cost! We are already paying steeply and dearly to make a decent living, to have jobs, to secure food, shelter and decent education and health services.

I will not mince my words or make compromise on this plea to ask the true patriots to walk out. Enough is enough, each year we hear compounding promises of better tomorrow at the same time we are raking significant compound interest on loans to make us see another day due to incompetence and mismanagement of our treasury don eby CCM and its leadership.

Sikio la kufa halisikii dawa, uponyaji hutokana na kulikata sikio bila kujali matokeo ya kutokuwa na sikio. CCM ni sikio la kufa kwetu Watanzania.

As far as opposition and Dr. Slaa are concerned, my stand is clear, they are not ready and willing to fight the battle and slug it mpaka kieleweke. They are happy to dish out the kitty paws but not real punches and may be they know the truth within their souls that the task at hand is tough and they are not ready to make sacrifices and thus kupalilia mlo wao na kuongeza siagi kwenye mkate!

Sadly, at our expense filled with false hopes!
 
Dr. Slaa can surely see that consigning CCM to the ranks of the opposition would be the surest way to strengthen the opposition! How could he have, as his ambition, to simply strengthen the ranks of an opposition to a government that everybody else wants changed?

Reverend Kishoka: you say that you want a revolution. Truth is, you can't have one. Not of the nebulous nature that you described. And we both don't want a military coup. We just want a clean, honest to God change of government. Not a messy change that starts from looters in the streets.

It is possible to have a democratic, peaceful, morale boosting and people empowering change like they did in Zambia, in Ghana and in Kenya.

Are you saying that MPs could deny JK money by not passing the budget? He does not need a budget to access the treasury. As long as you and I pay taxes, JK will have money.

And, it is CCM, rather than JK, that is our real problem. It is the protection of CCM that enables our rulers to plunder the Treasury with impunity. And if you think that people who are vying for a second term are plundering the Treasury now, wait until they get that second term. I tell you Brother, you ain't seen nothing yet!
 
I'm a patriot, lakini I believe we should first get rid of POLITICS and POLITICIANS..Hawa ndio wavunja nchi wetu, headon. Nahitaji support. Anyone?
 
Mwalimu,

Watanzania hawajawahi kuona Kiongozi akigomewa kwa hoja au msingi ambao unaeleweka, siku wakiona kitendo hicho kinatokea kitaacha everlasting impression kwenye mawazo yao na huko mbele ya safari nao watadiriki kufuata nyayo za hao waliogoma.

Kuondoka Bungeni si kutoa masharti tena, kila mwaka tunaambiwa hili litasawazishwa, lakini halisawazishwi. Utoh katoa ripoti yake inayoonyesha Serikali kuu inavyoshindwa kutekeleza mapendekezo ya mkaguzi mkuu, sasa kwa nini Wabunge waendelee kuridhika na majibu batili ya Serikali?

Kikwete hata akitumia mamlaka ya hali ya hatari na kujipitishia bajeti, bado kama Wabunge wataikataa bajetti na hata kuacha hizo posho Dodomana kurudi makwao itakuwa ni kitendo cha kishujaa sana na kitamwacha Kikwete akihangaika kukusanya Wazee wa Dar, wanafunzi wa UDOM kujisafisha, lakini ukweli unabakia kuwa uzembe wa uongozi wake unalihujumu Taifa letu kihalali na kwa kupitia sauti na wawakilishi wa umma.

Bob Marley alisema "total destruction is only solution" sisi solution yetu sasa ni kumwacha akae pekee yake pale Bungeni na wale Wabunge wake ambao ni waoga, wenye kulinda maslahi binafsi na ni bendera fuata upepo ambao watabakia kuwa mihuri isiyo na uwezo wa kuhoji.

Ikiwa Serikali kuu inajifanyia mambo bila kujali mihimili mingine, kwa nini hao wengine nao wasifanye lile lililosahihi kwa Watanzania na umma wa Watanzania?

Chukulia mfano, Serikali yetu inaingia mikataba na inawakingia kifua wawekezaji na kuliambia Bunge halina mamlaka kupitia hiyo mikataba, huu ni uhuni na ubabe na umeendelezwa si na Buzwagi pekee, mpaka sasa hivi tunaviingiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa makuli kwa kitendo cha JKT na Magereza kutumika (ardhi na nguvu kazi)kwa Wawekezaji wa kilimo (ambao wameondolewa ushuru na kodi ya pembejeo) kisa ni Kilimo Kwanza. Leo hii hakuna mbunge atakayeweza kuhoji undani wa mkataba huo, bila kuimbiwa manufaa na akisimika mguu chini, atafanyiwa mikingamo na mizengwe aondolewe.

THen why continue to compromise with such attitude from executive branch? Mbunge katumwa na Wananchi na anafanya kazi kwa manufaaya Wananchi na si Serikali Kuu.

Narudia tena kama Wabunge wenye kudai wao ni Wapiganaji na ni wanalinda maslahi ya Taifa wana akili timamu na ni mashujaa wasioogopa maslahi yao binafsi, basi wafungashe virago, wamwambie Spika kuwa hizo posho ambazo wangelipwa zirudi hazina au zipelekwe kwenye mfuko wa maendeleo wa Wilaya na wao hawakubaliani na Bajeti hii na mwelekeo wa uendeshaji wa Serikali ya Kikwete!
 
Thus it Rev.
A real Patriot is the one who can act not just to act but also to act with a sense of Urgency. If all MP's can step out of the parliament there must be something positive to happen, that is true for every thought.

Good example of what is happening now
Madini tuliyo nayo kama yatatumiwa ipasavyo yatakuwa tegemeo kubwa katika harakati za kukuza uchumi wa nchi yetu, chakushangaza Bunge ambalo ndio chombo cha kutunga sheria hakina sauti juu ya uamuzi wa kutia saini au kutokutia saini mikataba inayoingiwa na serekali. Hapa nina maana wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi katika chombo hiki cha sheria hawana uwezo wa kupinga chochote juu ya mikataba inayoingiwa na serikali. Juzi juzi tu tumesikia waziri amesaini msamaha wa kodi kwa kampuni ya AFRICAN BARRICK GOLD MINE-BUZWAGI the former BARRICK TANZANIA GOLD MINE-BUZWAGI. kule Uingereza bila ya kuwepo kwa maoni ya hao tunaowaita wawakilishi wetu.

Hii ina maana kwamba they are there to symbolize the unit rather than being a part of the decision making organ. Hivi kama serekali ingesema Tunawasamehe kodi kiasi kadhaa lakini kiasi hichohicho tunacho samehe ndio nguvu yetu katika kuwekeza hisa katika mradi husika. Je hamuoni kuwa ingeleta tija kwa taifa? Sisi ni akina nani....! tusamehe mamilioni ya shilingi burebure tu, mbona wao wanatupa misaada kwa masharti magumu licha ya ukweli kwamba wao wako juu kiuchumi? Sembuse sisi makabwela?

What the importance of those MP's to stay there if they cant change anything, I repeat anything in a sense of importance matters.
I agree, they have to step out if they are real Patriots of the nation and if they real want a real development in the national economy to happen.

Ikumbukwe kwamba Tanzania inasadikiwa kuwa moja ya nchi 5 Bora katika kuwa na kiasi kikubwa cha madini ya Uraium. This is still an issure to come.
Thanks for today.
 
One thing for sure....Hakuna true Patroits bungeni, sijui ni bunge lipi mnalozungumzia.

Wabunge wa CCM - Hawa wote walipitwa kwa tiketi ya Umaarufu wa JK na Boyz to Men.. wanalijua hilo na ndio hawa walikubali kupindisha sheria ili JK na Salim wasichuane raundi ya tatu.

Upinzani - Tuliwaomba wafanye mgomo uchaguzi wa mwaka 2005 hadi katiba itakapo fanyiwa marekebisho na tume ya Uchaguzi kuwa tume huru isiyokuwa chini ya wizara ya serikali..Waliendelea kugombea wakidai watapata nafasi nyingi Bungeni hivyo kuanzisha vagi baada ya Ushindi.. Haikuwa hivyo lakini maajabu ya Mussa leo tena wamekuja na ahadi kwamba wanategemea kushinda viti vingi Bungeni....All F... years Upinzani wamekuwa wakiahidi ushinda bungeni for the past 15 years, it never happened - not even close to 1/5 kwa chaguzi tatu zote zilizopita.

Rev.Kama kugoma wangeisha goma sioku nyingi toka scandals za IPTL, ATC, NBC, TRA, Mauaji ya Pemba na Bulyanhulu, BoT, Meremeta,EPA, Richmond yaani the list haitoshi ukurasa huu. Sasa kama wameshindwa kuzuia Ufisadi, Hawa viongozi wetu ni wanyonyaji wameweka mirija yao ktk mfuko wa Taifa wakifyonza kwa raha zao..

I doesn't matter what goes in as revenue or how we spend, kwani mfuko wa taifa umetoboka! Hata iwe bajeti nzuri kiasi gani bado itaishia matumizi mabaya lwa wachumia tumbo kama miaka iliyopita..

Pasipo sisi kuziba Ufa jamani tutajenga Ukuta na hakika sisi hatutakiwi kabisa kuitazama bajeti hii kuwa kishawishi..Kishawishi chetu ni huo MFUKO wa TAIFA ULIO TOBOKA - whatever plans they have, good or bad - tusitegemee progress yoyote kulingana na fedha zinazoliwa..

INASEMEKANA, Walipa kodi wanaibiwa fedha nyingi kwa mwaka kuliko hata bajeti yenyewe!..Mhhhnnnnn!
 
Back
Top Bottom