The Tiger Woods Saga and beyond

Asipokuwa makini utaanza kusikia Nike wanamdrop and then the list goes on,inategemea na atakavyo ihandle issue,akicheza itamyumbisha.Huyo kicheche mwenye sura tu,zaidi ya hapo baskeli tu.
 
Oooh shit! Angekuwa bongo huyu jamaa angepeta tu. Nyumba ndogo, no problem. Mwulizeni Kikwete!
 
Asipokuwa makini utaanza kusikia Nike wanamdrop and then the list goes on,inategemea na atakavyo ihandle issue,akicheza itamyumbisha.Huyo kicheche mwenye sura tu,zaidi ya hapo baskeli tu.
Hata kama watamdrop the guy is already a billionaire. He does not have to work a single day the rest of his life.
 
Hata kama watamdrop the guy is already a billionaire. He does not have to work a single day the rest of his life.
Inategemea na investment,ni mambo mengi hatuyajui kwasasa zaidi tu ya kwamba ni billionaire,lakini kama hakuna income bana uwezekano wa kuporomoka upo,hivi unafikiri mtu kama Michael Jackson angekuwa anaendelea kupata kipato kwa style ile ile ya ki thriller angekuwa na matatizo?Pia kuna mambo ya check and balance,sasa hivi ana income,asipokuwa nayo unategemea nini?Tatizo ni matumizi yanapoendelea na mapato yanapokuwa hayapo halafu kuwe na poor investment.Hayo yote hatujui kwasasa lakini trust me kama maendorser wote wakimdrop the guy will have something to fear mkuu,hataweza kuwa na raha tu na kusema yeye ni billionaire,no way,halafu ukute kuna na mambo ya divorce kama hii issue iki escelate.
Sisemi kwamba hataweza kuendelea vyema,bali kuna possibilty pia ya empire kucrumble asipokuwa makini,historia imeliweka hilo wazi.
 
Elin reportedly receiving millions to stay with Tiger
Sporting News staff reports

Wednesday, Dec. 2, 2009 - 2:48 p.m. ET

Tiger Woods' wife, Elin, is being paid a hefty seven-figure amount to stay with her husband, according the Chicago Sun-Times. The money is being transferred into an account she controls.

Additionally, Elin has demanded and will get a rewrite on the couple's prenuptial agreement. Originally, the agreement said the couple needed to remain married for 10 years in order for her to collect a divorce settlement of $20 million. Under the rewritten agreement, the time frame has been shortened and the dollar amount increased "substantially," the newspaper reports.

If you were a Billionaire, would you consider marriage. I think I just would pay one down chick to have all my shorties, tell her she'll be set for life, just so they all have the same ma and pa. But my di*k will play the field just like golf.
 
Billionaire or no billionaire

Hakuna kuoa usawa huu, kama kuoa mambo yenyewe ndiyo haya what's the point?
 
Hawa black celebrities wanayataka wenyewe...wooote lazima waoe wazungu baada ya kuukata...amabao hufuata pesa na kutaka njia rahisi kuchomoka......OJ,A.Cole et al....
 
Hawa black celebrities wanayataka wenyewe...wooote lazima waoe wazungu baada ya kuukata...amabao hufuata pesa na kutaka njia rahisi kuchomoka......OJ,A.Cole et al....

Hapa tusiingize mambo ya uzungu na uweusi.

Kuna mtu wakuitwa Mike Tyson alimuoa Robin Givens, alifanywa nini?

Kwani Robin Givens alikuwa mzungu?

Mtu anafanya philandering mwenyewe halafu mnataka kumsakama mkewe? Kama hawezi kukaa na mkewe kwa nini alioa?

Tatizo watu wanaona ujiko kuwa mume wa mtu, lakini hawataki kubeba sacrifice inayotakiwa ili kuwa mume wa mtu.

Ndiyo maana wengine tumekubali tu, hakuna kuoa.Hakuna marital vows za kuvunja.
 
Hawa black celebrities wanayataka wenyewe...wooote lazima waoe wazungu baada ya kuukata...amabao hufuata pesa na kutaka njia rahisi kuchomoka......OJ,A.Cole et al....

Acha ujinga wewe. Mbona Shaquille O'Neal kaoa mweusi na sasa mdada anataka talaka na kahama jimbo kwenda California ambako inasemekana sheria inampendelea kupata settlement kubwa. Mjitu mingine bana....yaani nyinyi kila kitu mnakiangalia kupitia prism ya race. Ni akili ndogo sana hiyo.

Dawa hapa ni kutokuoa, period. Uwe na hela usiwe na hela usioe na utaishi maisha yako kwa raha mustarehe!
 
Hivi mtu usipooa maisha yako kimapenzi yatakuaje kweli? Mie naona ndio utakuwa kila siku unabadili wanawake kama nguo.
Bora muoe tu maana ndoa haina kanuni, unavyoona ndoa ya flani imeharibika ni yao wala isikutishe.
Wewe mwanaume ukiamua unaweza kufanya ndoa yako iwe paradiso ndogo hapa duniani.
 
Ukioa kwa nia ya kufanya ndoa ndiyo iwe speed governor mwisho wake utakutana na haya ya Tiger.

Kama unaamua kuchill usiwe na papara mtu unatulia tu hata kama hujaoa.Kuna watu kibao wanaaminifu kwa wapenzi wao, na hawajaoana.

Tatizo la ndoa, kuna obligation inayolazimisha mapenzi. Kama hamjaoana mnajua kwamba mkiwa pamoja ni kwa sababu mnapendana. Mkioana hata hamna uhakika kwamba mko pamoja kwa sababu mnapendana au ni mambo ya ku keep up appearances.

Ndoa ina institutionalize kitu ambacho hakiwezi kuwa institutionalized.

I mean how can one say truthfully that "I take thee to be my wedded wife, forsaking all others, till death do us part" kwa mfano. Utajuaje kama hapa ndipo umefika? Utajuaje kama kesho keshokutwa penzi halitachuja? Ndoa ni uongo mwingi, keeping up appearances na traditions tu. Ni chache sana zinazopata the bliss that marriage is cracked up to be.
 
Hawa black celebrities wanayataka wenyewe...wooote lazima waoe wazungu baada ya kuukata...amabao hufuata pesa na kutaka njia rahisi kuchomoka......OJ,A.Cole et al....
Kwa hiyo Michael Jordan, Eddy Muphy nao walikuwa wameoa wazungu du basi kazi ipo!.
 
Hivi mtu usipooa maisha yako kimapenzi yatakuaje kweli? Mie naona ndio utakuwa kila siku unabadili wanawake kama nguo.
Bora muoe tu maana ndoa haina kanuni, unavyoona ndoa ya flani imeharibika ni yao wala isikutishe.
Wewe mwanaume ukiamua unaweza kufanya ndoa yako iwe paradiso ndogo hapa duniani.

Usipooa maisha yako ya kimapenzi yatakuwa mswano tu. Kuna faida gani kuoa halafu unaanza kutembea nje ya ndoa? Huoni kwamba kwa kufanya hivyo (kutembea nje ya ndoa) ni kutokuwa mkweli hata kwako mwenyewe? Maana umebadilishana nadhiri na mwenzako halafu unaanza kukiuka. What sense does that make?

Sasa Tiger Woods angekuwa hajaoa unadhani kungekuwa na issue hapa?
 
Tiger Offered $5 Million to Endorse Adultery

Posted Dec 3rd 2009 12:07AM by TMZ Staff
It's a match made in hell -- a popular adultery website is offering Tiger Woods a whole lotta moolah to be the new face of Internet-based cheating ... and the offers don't stop there.

TMZ has obtained a contract sent to Tiger by the people over at AshleyMadison.com -- a website for people who want to secretly cheat on their spouses -- offering him $5 million to provide services in connection with the "advertisement, endorsement, sale and promotion" of the website.

The site's honchos never call Tiger out for cheating ... they just think Tiger and his self-proclaimed "personal sins" are a perfect match for their cheeky agenda.

Now for Round Two: The porn company Vivid Entertainement is offering up their own $1 million purse ... to "any woman who has proof she was a paramour of Tiger Woods and will sign a contract with the studio."

Sounds like a raw deal.

Read more: http://www.tmz.com/#ixzz0YbHMWg7W

Read more: http://www.tmz.com/#ixzz0YbHMWg7W
 
Tiger's Mistress -- I Lied For Him

Posted Dec 3rd 2009 12:10AM by TMZ Staff
1202_tiger_rachel.jpg
Tiger Woods
' alleged mistress claims she was lying when she said she did not have an affair with Tiger Woods ... and sources tell TMZ the fight at Tiger's home the morning of the crash was triggered by a series of text messages between Tiger and the woman.

Rachel Uchitel has publicly denied she had sexual relations with Tiger Woods, but we've learned she has said she did indeed have an affair with the golfer. And, we're told it was her -- not Jaimee Grubbs -- who caused an argument between Tiger and his wife, Elin Nordegren, that immediately preceded Tiger's SUV crash.

Sources say less than an hour before Tiger's accident, Rachel and Tiger were texting each other. Elin confronted Tiger and asked whom he was texting. She grabbed the phone and we're told she called Rachel to confront her. According to sources, Tiger and Elin began arguing and the phone broke in the process.

We're also told there was damage as a result of the altercation in the vestibule area of Tiger's home -- damage that cannot be easily repaired, and that is why Tiger would not let police come in.

Uchitel's lawyer, Gloria Allred, will hold a news conference today at 11:30 PM PT with Uchitel present. We will be live streaming the event.

Read more: http://www.tmz.com/#ixzz0YbHbCS4D

Read more: http://www.tmz.com/#ixzz0YbHbCS4D
 
Jamani kwa wenye matatizo na ndoa zao nilishawaambia kwamba natoa ushauri bure kwa wana JF 20 (free of charge).

There are a lot you need to know about marriages!! Staying happily with your spouse haiji kama mvua, you need to do something!! I helped hundred of couples who were almost divorcing and those who divorced. Sasa hivi wanaishi kwa amani, upendo na maelewano ya khali ya juu kwenye ndoa zao!! For more info just PM
 
Kwani wasio weusi ndio wana tabia nzuri?

Lakini, kwani yeye ni mweusi halisi? Si anajiita Cablinesian...akiwa na maana yeye ni mchanganyiko wa Caucasian, black, na Asian. Sasa kibaya kipi hapo maana yeye anakumbatia asili zake zote. Wewe ulitaka ajiite au ajione ni mweusi tu peke yake wakati hayuko hivyo? Au weusi ni kitu gani hasa maana inawezekana weusi ukawa ni zaidi ya rangi ya ngozi kwa mujibu wa baadhi ya watu...wewe weusi unauchukuliaje?

Hata wasio weusi nao wamo. Tatizo ni kuwa watu weusi wakifanya basi wengine wanasema Mijitu myeusi ndivyo ilivyo.

Unajua one drop rule ya Marekani? Tone moja la damu yeusi inamfanya mtu awe mweusi. Unaijua kesi ya Susie Phipps? Isome hapa:

Michael Omi and Howard Winant on racial formation
In 1982-83, Susie Guillory Phipps unsuccessfully sued the Louisiana Bureau of Vital Records to change her racial classification from black to white. The descendant of an eighteenth-century white planter and a black slave, Phipps was designated as "black" in her birth certificate in accordance with a 1970 state law which declared anyone with at least one-thirty-second "Negro blood" to be black. The legal battle raised intriguing questions about the concept of race, its meaning in contemporary society, and its use (and abuse) in public policy. Assistant Attorney General Ron Davis defended the law by pointing out that some type of racial classification was necessary to comply with federal record-keeping requirements and to facilitate programs for the prevention of genetic diseases. Phipp's attorney, Brian Begue, argued that the assignment of racial categories on birth certificates was unconstitutional and that the one-thirty-second designation was inaccurate. He called on a retired Tulane University professor who cited research indicating that most whites have one-twentieth "Negro" ancestry. In the end, Phipps lost. The court upheld a state law which quantified racial identity, and in so doing affirmed the legality of assigning individuals to specific racial groupings.

Huyu hata akane vipi, mbele ya macho ya wengi ni mweusi. Hawezi kuitwa mzungu au mthai kutokana na kuwa na hizo damu bali atawekwa moja kwa moja kwa weusi kutokana na hako katheluthi alikorithi kutoka kwa baba yake.

Maoni yangu kuhusu weusi hayana maana, yenye maana ni ya wale walioniweka kwenye kundi hili. Wengine waigundua kuwa ni weusi walipoingia ulaya. Kabla ya hapo walikuwa binadamu. Kamsome Frantz Fanon kwa maelezo zaidi.

Amandla.......
 
Back
Top Bottom