The Tiger Woods Saga and beyond

basi ukiona hivyo anakaribia kufa maana wanasema kuwa airbags zilishindwa kufanya kazi na ..halafu kwa nini wameweka news blackout from the Hospital?

what are they hiding?

Mkuu acha uchuro. Ofisi yake na hospitali zimesema ana minor injuries. report zimesema kasha kuwa released from hospital. Mtu aki karibia kufa hawa deny kwa kusema mtu ana minor injuries. Duh!
 
Du kazi kwelikweli,

Kwa mujibu wa tovuti ya twitter ambayo ni maarufu kwa kutoa breaking news, Tiger Woods yupo salama na ametoka hospitali lakini akiwa na majeraha kidogo usoni na mdomoni au kwa kiingereza tunasema "facial lacerations".

Leo asubuhi akiwa anatoka kwenye njia inayoingia nyumbani kwake na gari yake aina ya Cadillac Escalade SUV aligonga bila kuona bomba la maji ya kuzima moto au kwa kiingereza "fire hydrant" na baadae akapoteza lengo na kwenda kugonga mti.

Alipelekwa hospitali ya Ocoee na baadae akaruhusiwa kutoka akiwa OK. Polisi wa Florida Highway Patrol wanasubiri ku-file mashtaka ya uzembe lakini haijagunduliwa kama ugongaji huo unahusiana na kugida pombe kidogo.

Wiki ijayo Tiger Wood anatarajiwa kushiriki katika mashindano ya Chevron World Challenge yatakayofanyika kwenye uwanja uitwao Sherwood Country Club.
 
Nyie mko serious au ndio porojo za ijumaa?

Ungekuwa unajua kuhusu baadhi ya Wazungu wanavyowachukia weusi wala usingeshangaa na nilichooandika. Vitisho dhidi ya maisha ya Obama vimeongezeka kwa idadi kubwa sana ukilinganisha na Rais yoyote yule na naamini kwamba vitisho hivi asilimia kubwa vitakuwa ni kutoka kwa Wazungu. Hii inatokana na chuki binafsi za baadhi ya Wazungu kwa weusi. Tiger Woods pamoja na mafanikio yake makubwa bado kuna viwanja ambavyo alikuwa haruhusiwi kucheza kutokana na ngozi yake nyeusi mpaka miaka ya hivi karibuni

Yule Jack Nicklaus alitawala mchezo wa Golf kwa miaka mingi iliyopita na Wazungu hawakuona ubaya wowote ule wa mchezaji mmoja kushinda karibu kila mashindano ya Golf duniani. Baada ya kuingia Tiger Woods kuanza kushinda mashindano mengi wakaanza kudai kwamba mchezo umekuwa boring kwa sababu mshindi mara nyingi ni yule yule. Ukweli ni kwamba Tiger akiwa anaongoza hata number za wanaohudhuria na kuangalia kwenye TV huwa ni za juu mno lakini kwa vile si mzungu basi wengi hawapendi atawale katika mchezo ambao kwa miaka mingi ulitawaliwa na Wazungu tu hivyo kuja na usanii wao wa TW akishinda kila mara basi mchezo unakuwa boring.
 
(CNN) -- Florida highway patrol troopers plan to talk to pro golfer Tiger Woods on Saturday to get more information about his car crash near his home, a spokeswoman said.
Woods was treated and released from a hospital after suffering minor injuries in a car accident early Friday in his central Florida neighborhood.
State troopers had tried to speak to Woods on Friday as part of a routine car accident investigation, but his wife said he was sleeping, said Kim Miller, a spokeswoman for the Florida highway patrol.
Troopers decided they would return Saturday afternoon, Miller said
A joint statement from Woods' publicist and Health Central Hospital said the golfer was in "good condition" after the accident outside his home.
The single-vehicle accident occurred about 2:25 a.m. in Windermere, a suburb of Orlando, according to police.
Woods pulled out of his driveway in a 2009 Cadillac SUV and struck a fire hydrant, then a tree, according to an incident report from the Florida highway patrol in Orange County.
Police Chief Daniel Saylor said two Windermere police officers were the first to arrive on the scene.
"There was Tiger Woods laying on the ground in front of the vehicle with his wife over him rendering first aid," he told reporters.
"He was in and out of consciousness with lacerations to his upper and lower lip," Saylor said. "He was mumbling but didn't say anything coherent."
Woods' wife, Elin Nordegren, told the police she was inside the house when she heard the accident. She said she went outside and used a golf club to break out the rear window of the vehicle, then pulled him from the SUV.
"According to the officers, yes, she was very upset," he said in response to a question.
But, he added, "Things like this happen all the time ... I understand he's stable and he's fine."
About 10 minutes later, Orange County fire and rescue arrived and took him to Health Central Hospital, where he was treated and released, he said.
The crash remains under investigation and charges were pending, the police report said. It also noted the accident was not alcohol-related.
The SUV, which was drivable, was towed and state troopers didn't take pictures of the scene, she said.
Saylor said the vehicle's front end was damaged.
The 33-year-old golf phenomenon has won the Masters tournament and the PGA tournament each four times, and three U.S. Open Championships.
He was set to host and play the Chevron World Challenge on Monday at Sherwood Country Club in Thousand Oaks, California. Woods has won the tournament -- which helps raise money for Tiger Woods Foundation programs -- four times.
Woods has won six times on the PGA tour this year after returning from knee surgery.
In a post on his blog last month, Woods said he was "absolutely thrilled" about his PGA tour, adding, "This has been one of my most consistent years on the PGA tour."
Woods and his wife have two children, ages 2 and a baby born in February.
 
watu walikuwa presha inapenda presha inashuka kweli black people we love each other lakini hawa wenzetu nadhani walikuwa wanaomba tu aondoke ili wamuweke pema peponi
 
Kuwapa update ni kwamba kulikuwa na argument na majeraha aliyopata yalitoka kwa mkewe, that explains why his wife was holding a gold club. It's interesting kwamba the two most popular black men in the world were under threat almost at the same time, kutoka kwa wanawake wanaofanana sana.

.........................................

Tiger Woods: Injuries Caused by Wife, Not SUV
Posted Nov 28th 2009 12:08AM by TMZ Staff

Tiger Woods did not suffer facial lacerations from a car accident. They were inflicted by his wife, Elin Nordegren -- according to a conversation Woods had Friday after the accident.

Tiger has yet to be formally interviewed by the Florida Highway Patrol -- that should happen this afternoon. But we're told Tiger had a conversation Friday -- with a non-law enforcement type -- detailing what went down before his Escalade hit a fire hydrant.

We're told he said his wife had confronted him about reports that he was seeing another woman. The argument got heated and, according to our source, she scratched his face up. We're told it was then Woods beat a hasty retreat for his SUV -- but according to our source, Woods says his wife followed behind with a golf club. As Tiger drove away, she struck the vehicle several times with the club.

We're told Woods became "distracted," thought the vehicle was stopped, and looked to see what had happened. At that point the SUV hit the fire hydrant and then hit a tree.

We're also told Woods had said during the conversation Friday he had been taking prescription pain medication for an injury, which could explain why he seemed somewhat out of it at the scene.

http://www.tmz.com/2009/11/28/tiger-woods-elin-nordegren-fight-accident-suv-lacerations/
 
watu walikuwa presha inapenda presha inashuka kweli black people we love each other lakini hawa wenzetu nadhani walikuwa wanaomba tu aondoke ili wamuweke pema peponi

Logic zingine bana..."wenzetu" kina nani hao? Na kwanza, kwani Tiger Woods anajihesabu kama nani? Mzungu? Mweusi? Au Cablinasian?

Achaneni na hii victim mentality ya kuona na kuangalia kila kitu kupitia prism ya ubaguzi wa rangi. Ni wenye akili ndogo na walio insecure tu ambao hufanya hivyo. Ebo!
 
Hakuna kuoa usawa huu.

Jamaa alikuwa fresh tu kabla ya kuoa, alipooa tu sasa tunaanza kuona drama.

Hakuna kuoa usawa huu.
 
Hakuna kuoa usawa huu.

Jamaa alikuwa fresh tu kabla ya kuoa, alipooa tu sasa tunaanza kuona drama.

Hakuna kuoa usawa huu.

They (blogosphere) are saying that Tiger was fleeing from his wife who was upset about reports of him allegedly cheating on her.
 
Ungekuwa unajua kuhusu baadhi ya Wazungu wanavyowachukia weusi wala usingeshangaa na nilichooandika. Vitisho dhidi ya maisha ya Obama vimeongezeka kwa idadi kubwa sana ukilinganisha na Rais yoyote yule na naamini kwamba vitisho hivi asilimia kubwa vitakuwa ni kutoka kwa Wazungu. Hii inatokana na chuki binafsi za baadhi ya Wazungu kwa weusi. Tiger Woods pamoja na mafanikio yake makubwa bado kuna viwanja ambavyo alikuwa haruhusiwi kucheza kutokana na ngozi yake nyeusi mpaka miaka ya hivi karibuni

Yule Jack Nicklaus alitawala mchezo wa Golf kwa miaka mingi iliyopita na Wazungu hawakuona ubaya wowote ule wa mchezaji mmoja kushinda karibu kila mashindano ya Golf duniani. Baada ya kuingia Tiger Woods kuanza kushinda mashindano mengi wakaanza kudai kwamba mchezo umekuwa boring kwa sababu mshindi mara nyingi ni yule yule. Ukweli ni kwamba Tiger akiwa anaongoza hata number za wanaohudhuria na kuangalia kwenye TV huwa ni za juu mno lakini kwa vile si mzungu basi wengi hawapendi atawale katika mchezo ambao kwa miaka mingi ulitawaliwa na Wazungu tu hivyo kuja na usanii wao wa TW akishinda kila mara basi mchezo unakuwa boring.

Kwa hiyo hao wazungu ndio walimwambia agonge Fire Hydrant na mti?
 
Kwa hiyo hao wazungu ndio walimwambia agonge Fire Hydrant na mti?

Gee! Jana wakati hii habari ilipokuwa ni Breaking News ulikuwa unalijua hili la kugonga Fire Hydrant!? :confused:
 
Kwa hiyo hao wazungu ndio walimwambia agonge Fire Hydrant na mti?

Oh yeah...ni yule mkewe mzungu ndo aliyemsababisha agonge hiyo hydrant. Mkewe angekuwa mweusi wala hayo yote yasingetokea!! Wazungu watu wabaya sana
 
Back
Top Bottom