The Tiger Woods Saga and beyond

Hivi hawa wanawake wote aliwapitia wakati yuko kwenye ndoa ama wengine ilikuwa kabla ya ndoa lakini kwa kutaka umaarufu wanahamua kumwaga mchele?
 
Mie kuna msichana za kizungu alinifata wakati tuko lunch katika mazungumzo yetu ikaja suala la Tiger akawa anasema well it is a shame what Tiger did!! Nikamwambia perhaps yeah but I think what Tiger did is similar david beckham did and Bill Clinton as well.

Wakati tunaendelea na mazungumzo yetu akawa anasema kuwa this is normal in Africa isn't it?? Akimaanisha polygamy nikamwambia that is different from what tiger did. In Africa if someone wants another wife he goes and get married but in Europe you cheat because you fear for alimony if your wifes knows. Topic ikafa hapo hapo.

Sikilizeni kama alivyosema Blu Ray. Tiger kalikoroga mwenyewe hana wa kumlaumu isipokuwa yeye mwenyewe. Wazungu wanamtazamo wa kuwa waafrika au watu weusi ni kwamba a. Irresponsible, b.Untrustworthy c.Dumb d.We are only good in sports. Sasa ukiwa unique unaanza kutafutia sababu ya kujustify their conspiracy theory.

Na kila anayeishi Ulaya au Marekani analiona hilo since anazaliwa. Tiger amelikoroga kwasababu magazeti yameshapata mtu wa kumchimba baada ya Michael Jackson. Walimuandama Jordan wakamkosa, ukishakuwa public figure particularly in sports and katika sekta nyengine unakuta wanakutafutia reasons to put blame into. In music it is different as their belief ni kwamba hip hop is gangster songs so it is part of being irresponsibility as they are involved in drugs.

So Tiger amelikoroga tu angelikuwa ameona mbali kama Jordan angelioa mwanamke mweusi asingelipata matatizo haya but kwakuwa mimentality ya watu wengine kuwa kuoa mzungu ni maendeleo ndio hivyo tena hana jinsi.
 
Mdondoaji; David Beckham au Bill Clinton hawakuwa na mabibi 14,kama Tiger.
Kusingizia wazungu kwa kila kitu,it is stupidity!Michael Jordan alipay high divorce
settlement kwa mweusi mwenzake.

Ukweli weusi America wamesuffer slavery mpaka sasa hawana dignity!Lakini kuna mambo mengine ni wao wenyewe;majority uzembe,kutokwenda shule ,only kusucced ni kurap na kuwa mcheza !Na wazungu wametuchukua hivyo.Hata Ulaya ipo hivyo hasa Uingereza,weusi wanaojulikana ni footballers,hasa waliozaliwa Uingereza!

Divorce rate ni kubwa kwa weusi kuliko wazungu ,Ulaya na Marekani!huwezi kuwalaumu wazungu kwa hili,almost 50% ya wanawake weusi UK ni single mothers,
na vibaka zaidi ni weusi though population yao ni ndogo sana.
Siju walimuandama vipi Jordan?fafanua.

Wahindi wanafanya vizuri UK,sababu ya family na kujua kuwa elimu ni msingi wa maisha yao.Ndio maana wako wengi mabenki,kwenye law,medicine ndio ya kwao.
Bila kusahau biashara ndogo ndogo.

Tiger ni so stupid.Hela alizotumia kwa hao vimada 14,angeweza kujenga kitu cha muhimu afrika au pengine,ingawa anafoundation yake.Kwa hiyo kumsingia Mzungu kwa kila kila kitu ni irresponsible.Ukiona ufisadi Tanzania,Mzungu mmoja hakuamini Mbunge anatembelea gari la millioni 50,wakati jimboni kwake watoto hawana madawati,hawana choo,maji etc.

Tuamke waafrika,Mzungu atatukejeli mpaka mwisho wa dunia
 
History angalieni history.

Tiger Woods amezaliwa kwa mama wa pili kutokana na kuvunjika kwa ndoa ya baba yake.

Elin naye wazazi wake waliachana kitambo na hana proper education kama nimekosea hapo wenye data wamwage kwani ilikuwaje afanye kazi ya u-nanny kama shule imepanda?

Hawa wazungu wafurahie tu kwa sababu aim kubwa hivi sasa ni kwa Tiger kutokufikia record ya 18 majors hilo ndio swala kubwa kwa wengi ambao wanafuatilia golf kwa karibu.

Elin achukue fweza abwage manyanga, Tiger aendelee kufanya kile alichozoea kucheza Golf na kuwa bachelor na kuwa na vimada hata millioni moja mchezo kwisha. Anaendeleza jadi.
 
Mdondoaji; David Beckham au Bill Clinton hawakuwa na mabibi 14,kama Tiger.
Kusingizia wazungu kwa kila kitu,it is stupidity!Michael Jordan alipay high divorce
settlement kwa mweusi mwenzake.

Ukweli weusi America wamesuffer slavery mpaka sasa hawana dignity!Lakini kuna mambo mengine ni wao wenyewe;majority uzembe,kutokwenda shule ,only kusucced ni kurap na kuwa mcheza !Na wazungu wametuchukua hivyo.Hata Ulaya ipo hivyo hasa Uingereza,weusi wanaojulikana ni footballers,hasa waliozaliwa Uingereza!

Divorce rate ni kubwa kwa weusi kuliko wazungu ,Ulaya na Marekani!huwezi kuwalaumu wazungu kwa hili,almost 50% ya wanawake weusi UK ni single mothers,
na vibaka zaidi ni weusi though population yao ni ndogo sana.
Siju walimuandama vipi Jordan?fafanua.

Wahindi wanafanya vizuri UK,sababu ya family na kujua kuwa elimu ni msingi wa maisha yao.Ndio maana wako wengi mabenki,kwenye law,medicine ndio ya kwao.
Bila kusahau biashara ndogo ndogo.

Tiger ni so stupid.Hela alizotumia kwa hao vimada 14,angeweza kujenga kitu cha muhimu afrika au pengine,ingawa anafoundation yake.Kwa hiyo kumsingia Mzungu kwa kila kila kitu ni irresponsible.Ukiona ufisadi Tanzania,Mzungu mmoja hakuamini Mbunge anatembelea gari la millioni 50,wakati jimboni kwake watoto hawana madawati,hawana choo,maji etc.

Tuamke waafrika,Mzungu atatukejeli mpaka mwisho wa dunia

Lakini Tiger sio Mwafrika!
 
Jordan wakati wa saga yake na Juanita magazeti yakawa yanafuatilia kwa ukaribu but hawapati undani wa what is going on. Wakaja kudivorce wakisema due to irreconsiliable differences. Kiufupi mwanamke mweusi huwa hakurupuki kwasababu she is strong woman.

Hatujui Elein amestahamili mangapi kwani wanawake 14 mh!!! ni wengi kwakweli ni ukahaba kamili na mie siko pamoja Tiger kwa hilo maana ni usaliti wa hali ya juu kama ni kweli kwasababu the story iko upande mmoja tu haisemi kwengine. Tiger amekubali kuwa amesaliti but hajasema to what extent wanawezekana wengine wapo wengine hawamo au aliwatazama tu basi mwanamke akajishuku. Kiufupi jamaa amelikoroga anatakiwa akubali tu yote but asipoteze mwelekeo kwani he is within reach kufikia record ya jack nicklaus na hiyo inawezekana
 
Mdondoaji,Afrika ukiwa na pesa mke wako atakuwa na wewe tu hata kama unalala
na wanawake kibao.Unaona hata Mameneja ,Wabunge ,Wakurugenzi.Ndio maana hata ukimwi unaenea sana.

Afrika mwanamke bado hajawa na economiv power!Kama ndio huo u strong wa mwanamke unaouzungumzia sidhani.Western Europe mwanamke hana shida hiyo ya kukubali mme wake kulala ovyo nje.Akigundua ana walk out na watoto,kama hana kazi serikali itampa mafao(benefits).Ndio maana Ulaya wanawake wa kiafrika wana divorce halaka kwa sababu hawakubali mwanaume afanye kama Afrika,kuwa na multiple partners.Serikali inawalinda vilevile.Hata waislamu wenzetu hawakubaliwa polygamy.
 
Kutoka kuwa nanny kwa mcheza gofu hadi kuwa milionea hongera dame wa kiswede,kuna haja gani wakati una doo ya nguvu mwache Tiger Woods sasa atakuwa Tiger mpapai teh teh damu nyeusi kwa no ninino balaa kabsa!
 
He has to pay heavily for his sins. Elin nakufundisha hivi:

1. Usiondoke ila akulipe fidia kwa damage aliyokufanyia (heavily). Kwa nini uondoke uache mihela na watoto wakue na mzazi mmoja. For the sake of your young children, stay mom but compansated heavily.

2. Ukikubali kukaa basi saini mkataba wa marekebisho ya tabia. Mpe mwaka mmoja wa majaribio (probation period). Akiweza kuishi kwa heshima bila umalaya then fanya namba 3.

3. Saini mkataba wa ndoa na weka clause kuwa kama atakosa nidhamu kwa familia hasa cheating within a contract period then compansation iwe kibao.

4. Ku-renew mkataba itategemeana na hao successfully the earlier contract was implemented.

Unaweza kuondoka na maisha yakawa ni magumu. After all je, amesha panga ni namna gani atawekeza fedha za talaka au ni kuzimalizia katika matumizi tu??

Mimi ningebaki pale strategically, pesa ni sabuni ya roho na jibu la kila kitu. Ningemkomesha.
 
AT&T ends sponsorship of Tiger Woods

By PETER SVENSSON, AP Technology Writer 11 minutes ago

NEW YORK (AP)—AT&T Inc. said Thursday it would no longer sponsor Tiger Woods, joining Accenture and Gillette in dropping support for the golfer after he admitted to infidelity following numerous allegations.

The phone company hasn’t used Woods’ image extensively in advertising, but its logo appeared on his golf bag, and he was the host of the AT&T National PGA event. The phone company said it would continue to sponsor the event, which will be held in Bethesda, Maryland, in July.

AT&T did not comment on its reasons for dropping Woods, or how much the contract was worth. Woods has taken an indefinite leave from playing.

Consulting firm Accenture dropped the athlete two weeks ago, saying he was “no
longer the right representative” of the company’s values. Gillette, a unit of the Procter & Gamble Co., said that it won’t air ads that feature Woods promoting its razors or include him in public appearances.

Swiss watch maker Tag Heuer, a unit of luxury goods empire LVMH Moet Hennessy Louis Vuitton, said Friday that it will “downscale” its use of golfer Tiger Woods’ image in its advertising campaigns for the foreseeable future.

Tee it up with Yahoo! Sports Fantasy Golf '10
 
Lakini Tiger sio Mwafrika!

Mimi nina matatizo kidogo na definition ya nani Mwafrika? Kuwa na rangi kama nyeusi ndio uafrika ; kuwa na asili ya kutoka Afrika ndio uafrika au ukiwa na utamaduni wa kiafrika wewe ndio mwafrika? Kama ni rangi hiyo nyeusi basi hata hao Maori wa Australia mtawaita waafrika!! Kwangu mimi kuwa Muafrika sio rangi ya ngozi ya mtu bali ni tabia na utamaduni wa kuishi kufuatana na mila na desturi za kiafrika ambazo Tiger hazijui!
 
Waarabu wa Misri sio weusi ni waafrika. Tiger sio Mwafrika mzazi wake moja ana asili ya Afrika na mwingine asili ya Asia n.k.

Tukitaka kusema kila mwenye mzazi asili ya Afrika ni mwafrika basi dunia yote ni waafrika kwani chimbuko la binadamu ukifuata wanasayansi ni kutoka Afrika. Kazi kweli kweli.
 
Jamaa alisahau simu nyumbani na wife akacheki msg za mzee aliyakuta humo yalimtia kichaa na mzee aliporudi nyumbani kila akiulizwa na wife majibu yake yalikuwa 'kalikwenda kalirudi' mama akaona ubwege akamchapa vizuri usoni na fimbo ya golf jamaa katoka mkuku kaingia ndani ya gari na matokeo ndiyo hiyo ajali
 
Back
Top Bottom