The things women do.............(usihofu ni kiswahili)

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Moja hukamia kumtawala mumewe.....................hata Hawa usifikiri alipompelekea Adam lile tunda hakujua yalikuwa ni makosa ila alimtega mumewe kuona kama anampenda Mwenyezi Mungu au yeye mwanamke na hivyo njia ya kumpima Adam mumewe kama ataweza kumtawala..................

pili...wanaumme wengi wapo kwenye dhiki kwa sababu ya kukubali kutawaliwa na matakwa ya wake zao.......................sembuse mke kwani hata mpenzi wa baki kama umetembea naye huyo naye sasa mmekuwa mwili mmoja.............Soma 1 Corinthians 6:16

Tatu.............wanaumme huhangaika kujenga nyumba kubwa, kuwa na magari ya kifahari, vyeo lukuki n.k ikiwemo kujiendeleza.................lakini lengo lao siyo kwa ajili ya mahitaji yao binafsi wanapokusanya utitiri wa mambo hayo.....................bali kumthibitishia mwanamke ya kuwa wana kauwezo wa kuwa mpagasi wa mwanamke..........................na kumtumikia mwanamke kwa utashi na ujasiri wao wote........vilivyo.......

Nne.................mwanaumme humpenda mkewe kulikoni wazazi wake............na hata ikibidi huwakana wazazi tajwa ili kutii matashi ya mkewe...................mawifi hulalama kuwa kaka yao katawaliwa lakini yote hayo huwa yameelekezwa kwa kiziwi na/au bubu............

tano .......................mwanamke hutamba ya kuwa huyu jamaa yake aachiwe yeye maana yeye ndiye humjulia alivyo...................kwa hiyo ajua afanye nini ili apate mradi wake........kutoka kwa dume lake............................

sita.........................pamoja na wazazi wa mwanaumme kumgharimia mtoto wao wa kiumme....................na pamoja kudhania kuwa atawasaidia watakapokuwa wazee....................lakini mweye sauti ya watasaidiwaje ni mwanamke.............mtoto wao wa kiume huwa ni kiwete/ na zezeta vile hapo kwenye maamuzi hana sauti...........na wazazi hushangaa kumbe aliyezaa ni yule aliyezaa mwanamke huyu mwanaumme waliyekuwa wanamthamini sana kuwa atakuwa kimbilio lao uzeeni kumbe siyo fimbo ya mnyonge kabisa wa kabisa.......

saba.....................ndugu wa mwanamke ndiyo hufaidi jasho la mumewe.............na huku ndugu wa mwanaumme hutupiwa virago kuwa waende kutafuta vya kwao....................wao huonekana ni viwavi jeshi lakni ndugu wa mwanamke huonekana wao ndiyo wastahiki wa kulilamba jasho la mumewe.........................

these are the things women love to do.......................ninajua watabisha sana humu jamvini lakini penye ukweli uongo hujitenga..........
 
Ninachoona hapa ni blaa blaa nyingi tu..

kila kibaya ni kwa ajili ya mwanamke na
kila kizuri ni kwaa ajili ya mwanaume na
mwanume akifanya kibaya ni kwa sababu
ya mwanamke.. nadhani ndo ulichosema ..

Kwani hao wanume hawana akili mpaka waendeshwe
kama ulivyosema...
 
Umehangaika weeee kama mtetea, taga basi hilo yai walau tukaangia chips.
 
Mie simwelewi, kama anaona makalio hayana faida akalie kichwa tumuone atakavyostarehe.

Ninachoona hapa ni blaa blaa nyingi tu..

kila kibaya ni kwa ajili ya mwanamke na
kila kizuri ni kwaa ajili ya mwanaume na
mwanume akifanya kibaya ni kwa sababu
ya mwanamke.. nadhani ndo ulichosema ..

Kwani hao wanume hawana akili mpaka waendeshwe
kama ulivyosema...
 
Ninachoona hapa ni blaa blaa nyingi tu..

kila kibaya ni kwa ajili ya mwanamke na
kila kizuri ni kwaa ajili ya mwanaume na
mwanume akifanya kibaya ni kwa sababu
ya mwanamke.. nadhani ndo ulichosema ..

Kwani hao wanume hawana akili mpaka waendeshwe
kama ulivyosema...

Maumivu ya kichwa uanza taaaaratibu; read between the lines, kuna ukweli dada!
 
Maumivu ya kichwa uanza taaaaratibu; read between the lines, kuna ukweli dada!
wanajua watufanyiayo siyo mema....................lakini kukiri ni kwa shari...
 
Ninachoona hapa ni blaa blaa nyingi tu..

kila kibaya ni kwa ajili ya mwanamke na
kila kizuri ni kwaa ajili ya mwanaume na
mwanume akifanya kibaya ni kwa sababu
ya mwanamke.. nadhani ndo ulichosema ..

Kwani hao wanume hawana akili mpaka waendeshwe
kama ulivyosema...

soma kichwa cha khabari........................ukielewe...........leo ngoma yachezwa kwenu kesho kwa wenzio................malinganisho ndiyo mbinu chafu ya mwanamke kujitetea....................ya kuwa hata wanaumme wako vile.......................ili tusahau maovu yao..........mbinu hizi wakati wake umepita..................nieleze wapi nimewaonea????????
 
Nne.................mwanaumme humpenda mkewe kulikoni wazazi wake............na hata ikibidi huwakana wazazi tajwa ili kutii matashi ya mkewe...................mawifi hulalama kuwa kaka yao katawaliwa lakini yote hayo huwa yameelekezwa kwa kiziwi na/au bubu............

sita.........................pamoja na wazazi wa mwanaumme kumgharimia mtoto wao wa kiumme....................na pamoja kudhania kuwa atawasaidia watakapokuwa wazee....................lakini mweye sauti ya watasaidiwaje ni mwanamke.............mtoto wao wa kiume huwa ni kiwete/ na zezeta vile hapo kwenye maamuzi hana sauti...........na wazazi hushangaa kumbe aliyezaa ni yule aliyezaa mwanamke huyu mwanaumme waliyekuwa wanamthamini sana kuwa atakuwa kimbilio lao uzeeni kumbe siyo fimbo ya mnyonge kabisa wa kabisa.......

saba.....................ndugu wa mwanamke ndiyo hufaidi jasho la mumewe.............na huku ndugu wa mwanaumme hutupiwa virago kuwa waende kutafuta vya kwao....................wao huonekana ni viwavi jeshi lakni ndugu wa mwanamke huonekana wao ndiyo wastahiki wa kulilamba jasho la mumewe.........................

Kudadadeki........... hizi tatu zimewakamata wengi aisee! Bahati nzuri mie nimesalimika, namshukuru Mungu................!
 
Ukweli mtupu hapo ila lazima antagonism on how to react on the fact ndo maisha yalivyo but truth is truth bhana
 
Ila iyo no. 1 naona ina ukweli zaidi ukioa ukifanya a miserable mistake ya kuchekeachekea mwanamke unakaliwa KICHWANI na kujinasua ni mziki mzito! Na kuhusu wanaume kuwapenda wake zao kuliko wazazi wao ili nalo Ni Tatizo kubwa on most of men(ila sio wote) kazi tunayo mwanawane....ndo maana watu Husema kosea yote ila sio Kuoa!
 
Heading inasema "things women do" lakini ndani kumejaa vitu avifanyavyo mwanamme!

Sasa mwanamme kumkana mama yake hicho amekifanya mke pia?
 
soma kichwa cha khabari........................ukielewe...........leo ngoma yachezwa kwenu kesho kwa wenzio................malinganisho ndiyo mbinu chafu ya mwanamke kujitetea....................ya kuwa hata wanaumme wako vile.......................ili tusahau maovu yao..........mbinu hizi wakati wake umepita..................nieleze wapi nimewaonea????????

Kichwa cha habari hakieleweki pia...
 
Back
Top Bottom