The tembo bull fight at Mikumi

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
Mikumi fight  045.jpg
Mikumi fight 043.jpg

I witnessed two young tembo bulls "talking" to each other(bottom pic.)
Then a disagreement arose and a fight broke out, the third young bull was witnessed rushing to give a helping hand!(upper pic.)
That is Mikumi!!!
 
Mkuu hope ulilipia pale langoni ili kupiga picha na kuona wanyama kama ulipiga tu ukiwa kwenye gari basi umeliibia taifa kwa kutoripa ushuru sitahiki na ungekamatwa wangekupiga faini
 
Mkuu hope ulilipia pale langoni ili kupiga picha na kuona wanyama kama ulipiga tu ukiwa kwenye gari basi umeliibia taifa kwa kutoripa ushuru sitahiki na ungekamatwa wangekupiga faini

Kumbe mikumi pako hivo?
Mimi huwa nafunga macho nisione kitu!!!
 
Mkuu hope ulilipia pale langoni ili kupiga picha na kuona wanyama kama ulipiga tu ukiwa kwenye gari basi umeliibia taifa kwa kutoripa ushuru sitahiki na ungekamatwa wangekupiga faini

Wanaanzaga hivihivi kukwepa kodi then bdae ndo wale wakujilimbikizia hawa!
 
Wanaanzaga hivihivi kukwepa kodi then bdae ndo wale wakujilimbikizia hawa!

Acheni zenu nyie, camera yangu, nisione tembo nipige?

Komaeni na hao wanaouza mbao na nyara za serikalio. hii picha inawatoa roho. Hao amabo hamjui wala kuona wala kuoneshwa wanachofaya mkiwaona si ndo mtazimia?

Alaa!
 
Ushuru wenyewe unalipa kisha watu wachache chini ya ccm wanazitafuna bora kutolipa tu bana!
 
Wanaanzaga hivihivi kukwepa kodi then bdae ndo wale wakujilimbikizia hawa!

Watanzania wengine wana umbumbumbu wa ajabu sana.
Mliozoea kuzubaa nchini mstegemee neema kuwateremkia kama mvua.
Nina wasi wasi aliyeandika posti hii kama anaweza kutofautisha fisi na tembo. Elimi ya bure kama picha iliyopo zinahitaji greti thinkingi vile vile
 
...Hili pambano lilikuwa ni la kukata na shoka.

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom