The Tanzania Political Chaseboard: Tafsiri ya Mambo Mazito Kisiasa Tukielekea 2015

DID HON VINCENT NYERERE AND CHADEMA 'THREATEN-TO-CUT' RETIRED PRESIDENT MKAPA'S FORTUNE MOUSEL IN ARUMERU TO THE GOOD OF THE IMPOVERISHED NATIVES?

Why did Mzee Mkapa choose to go so low by throwing such a feable political jab below the belt CHADEMA and Vincent Nyerere in particular?

In fact, to everyone's understanding and especially the younger generation of this country, neither Mkapa nor the CCM stalwarts has an exclusive sacred rights over the Nyerere clan over Tanzanian groups and souls nor a cause to feud at the family's chosen political path to warrant any level of a deliberate belitling in public whatsoever!!

What is it that could be the CODED MESSAGE for a political oldguard to the renowned stature of retired President Benjamin Mkapa just turning berserk by throwing uncivilised barbs at CHADEMA's young Nyerere's tooth-pick sharp leadership as he undertakes on-the-field practicals as a most promising political trainee currently serving an internship as Arumeru Mashariki Campaign Manager?

It is never normal for a political tadpole or retireree just to be jumping around like that on a hot sunny at the foots of a CCM 'me-too' campaign opening styles north of Tanzania in recent days.

To this end, I humbly choose to leave this critical question to be answered more adequately by some of our serious political analysts around so as to bring to bare some rather salient stories behind the story above.

However, in the meantime, I do hereby dedicate a most-deserved pat-o-the-back to both rising star Hon Vincent Nyerere and his pricky strategic CHADEMA political mentors, both of whose work in Arumeru Mashariki has since caused an unimagined political stir more so from the very unusual political circles in the country.

All in all, the primary question still stands; why the animosity of that magnitude from a senior citizen of our country a budding political star and his CHADEMA party?????????? Why??? Mzee Mkapa, WHY?
 
Haya yote Mzee Mkapa kayataka mwenyewe kwa ukoo wa Nyerere kwani kwa kawaida mmbwa unapomfukuza siku zote atakimbia.

Lakini ukiendelea kumkabili zaidi na hata mbele yake kukatokea kuwa na ukuta bila ya sehemu nyingine zaidi pa kupita, basi hadi hapo ndipo mmbwa hugeuka mbogo na kumshambulia bila ajizi yule mbabe wake.

Tupeni majibu ya kifo cha Mwaalimu Nyerere. Wiki ile ya kuamua kwenda kujipima tu afya yake, Watanzania tulimuona akipalilia shamba lake la maharage Butiama.

Hata hivo msururu wa mambo mara baada ya mwaliko wa TUCTA na hotuba yake mwiba kwa watawala akiwa jijini Mbeya na ile ahadi kwamba akirudi kupima afya angeangusha BOMSHELL kwa sura ya UFISADI uliokithiri ndani ya CCM ...

... WaTanzania tunakutaka majibu Mzee Mkapa juu ya kifo cha Baba wa Taifa.
 
Mkuu GY,

Ingawaje naona jina lako kwamba umechangia katika THREAD hii lakini MODs wamezuia siwezi kuona Content ya kitu gani ulichochangia humu kama linahitaji jawabu au hapana.

Labda siku MODs watakapopendezewa na kuruhusu niweze kuona kurasa nyinginezo zaidi ya huu ukurasa wa kwanza tu katika THREAD hii basi nitakua na uwezo wa kusema lolote.

Mkuu Invisible please do something, sijui ni kwa nini siwezi kuona michango ilioko katika kurasa nyinginezo katika thread hii. Ni zaidi ya wiki tangu nianze kukumbwa na tatizo hilo.
 
HOW STRANGE FOR THE 'EMINENT' AFRICAN LEADER MKAPA STRIPPING-OFF THE NYERERE CLAN BEDROOM-ISSUES ON A PUBLIC POLITICAL PODIUM IN ARUMERU MASHARIKI, WHO TO BLAME???

Ni nani kati ya viongozi wetu hapo nje ambaye ano uhakika kwa 100 % kwamba yeye ni MTOTO WA BABA YAKE huyo nayemuona hapo barazani kwao??

Hili la Rais Mstaafu kuanza kuchungulia unyumba na zawadi zake kwa wana-ukoo wa Mwalimu Nyerere na hata kwenda mbele zaidi kwa kuwasemea hadharani kwenye majukwaa ya siasa kwamba NI YUPI HASA NI UZAO WA YAI la kwa Chifu Burito hakika huu ni mshango wa mwaka.

Sote htunaa kumbukumbu zozote kama Mzee Mkapa amewahi kutawazwa na kabila la Kizanki kuwa mmoja kati ya wzee na msemji rasmi wa ule ukoo.

Na kama ni lazima sna awe msemaji waa ule ukoo basi aanze kwanza na zoezi zito zaidi kitifa kutuwekea wazi kilichomuua Mwalimu Nyerere. Uchungu wa Baba wa Taifa tunaujua WaTanzania tunaozulumiwa na CCM kila kona ya taifa hili.

Hata siku moja tusisikie mwana Ukoo wa Mwalimu Nyerere yeyote yule KAPATWA NA HOMA WALA KWIKWI baada ya taarifa hizi sasa kuwekwa hadharani kutokana na kubwatuka ovyo kwa Mzee Mkapa huku akidhani ni sifa.

Nasema siku zote wahenga hututaadharisha kwamba mtu UNAPOISHI KATIKA NYUMBA YA KIOO HATA SIKU MOJA USIPENDE SANA MCHEZO WA KURUSHA MAWE ovyo!!!

sipati picha jinsi alivyovimba huko...anatamani ingekua ndo enzi zake yupo madarakani pangechimbika.

Akiwa mtoto wa nje siyo mtoto? Rejea sheria ya watoto ( Child Law Act 2009) - watoto wote wanatambulika kuwa na haki.
Kwamba alizaa nje au nani, siyo kosa la mtoto na hakumuondolei mtoto unasaba wake.
 
NAKULILIA UPYA MWALIMU NYERERE: UTUMIKIE NCHI KWA UADILIFU WA HALI YA JUU ZAIDI YA MIAKA 40 HALAFU UAMBULIE ASANTE YA KUUAUA NA MAFISADI!!!!!!

Mkapa kabla hajamtaka suluhu Kamanda Vincent Nyerere, akawatake kwanza suluhu umma wa Tanzania kwa kumchinja Mwalimu Nyerere ili mbegu ya UFISADI upate kuchipuka rasmi nchini.

Lakini hata hivo Baba wewe; inaniuma saaaana kugundua kwamba pamoja na zile juhudi zote za Mwalimu kukufanya uwe rais from no where mwisho wa siku unamrudi shauri ya hela!!!!!!!!!!!!!!!

Jama pesa ina matatizo gani hivi. Mzee Mkapa ulizaliwa ukaikuta hela duniani na utaondoka vile vile utaiacha hela hapa duniani. Nimesikitishwa mno tangu nisome habari hizi rasmi toka kwa mwanafamilia mambo ambayo kwa muda mrefu sana yalifunikwa kama tetesi tuu!!!!!!

Lakini, yote yana mwisho!!!!!! Nikikumbuka unavyotuliaga pake kanisani St Joseph kile kiti cha nyuma tu ya wanakokaa masista na kweli leo hii nisikie rasmi kwamba kumbe ni wewe ndiye uliyemtuma Mzee Kawawa kwenda kummaliza Mwalimu kitandani na baadaye kumuagiza Kingunge kwenda kudhibiti utoaji habari huko

Haki ya kweli nyie na ndio bado unazungumzia kwenda kumpigia kelele mjane wa kuchongewa eti kwa jina la upatanisho!!!!!!!!!!!!

Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu kama hivi CCM kilivyojikuta ukweli wote unatufikia mitaani bila kutarajia kitu. Heshima siku zote ni barabara mbili.

HOW STRANGE FOR THE 'EMINENT' AFRICAN LEADER MKAPA STRIPPING-OFF THE NYERERE CLAN BEDROOM-ISSUES ON A PUBLIC POLITICAL PODIUM IN ARUMERU MASHARIKI, WHO TO BLAME???

Ni nani kati ya viongozi wetu hapo nje ambaye ano uhakika kwa 100 % kwamba yeye ni MTOTO WA BABA YAKE huyo nayemuona hapo barazani kwao??

Hili la Rais Mstaafu kuanza kuchungulia unyumba na zawadi zake kwa wana-ukoo wa Mwalimu Nyerere na hata kwenda mbele zaidi kwa kuwasemea hadharani kwenye majukwaa ya siasa kwamba NI YUPI HASA NI UZAO WA YAI la kwa Chifu Burito hakika huu ni mshango wa mwaka.

Sote htunaa kumbukumbu zozote kama Mzee Mkapa amewahi kutawazwa na kabila la Kizanki kuwa mmoja kati ya wzee na msemji rasmi wa ule ukoo.

Na kama ni lazima sna awe msemaji waa ule ukoo basi aanze kwanza na zoezi zito zaidi kitifa kutuwekea wazi kilichomuua Mwalimu Nyerere. Uchungu wa Baba wa Taifa tunaujua WaTanzania tunaozulumiwa na CCM kila kona ya taifa hili.

Hata siku moja tusisikie mwana Ukoo wa Mwalimu Nyerere yeyote yule KAPATWA NA HOMA WALA KWIKWI baada ya taarifa hizi sasa kuwekwa hadharani kutokana na kubwatuka ovyo kwa Mzee Mkapa huku akidhani ni sifa.

Nasema siku zote wahenga hututaadharisha kwamba mtu UNAPOISHI KATIKA NYUMBA YA KIOO HATA SIKU MOJA USIPENDE SANA MCHEZO WA KURUSHA MAWE ovyo!!!
 
1.jpg
 
Ni masikitiko yalioje kuona kila THREAD inayozungumzia kifo cha Baba wa Taifa na watuhumiwa wa mauaji yake na mtu yuko bize hapa jukwaani kuyafungia kwenye friji zisijadiliwe hata tone!!!!!!!!!
 
Watanzania hatutoisha majozi kadiri tunavyoendelea kuwalea MAFISADI na mfumo wao nchini.

Huku huyu Lowassa akitamba kwamba yeye YUKO FITI tayari kwa mapambano (Mwakyembe tayari kwa maziko) fresh toka Ujerumani, Kamanda wa ukweli Dk Mwakyembe tayari MWILI WAKE UMEANZA KUKUSANYA BARAFU India huku wauaji wake wakizuia taarifa hizi eti zitaharibia CCM kupata ukubwa Arumeru Mashariki.

WaTanzania walalahoi, kwa kitendo cha sisi wenyewe kuhiari kukumbatia UFISADI nchini sasa hatuna tena pa kukimbilia kwa kuwa tumeweka rehari uhai wa mashujaa na watetezi wetu kusagwa kama unga tangu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ama kweli ubunge wa Arumeru unapokua muhimu kuliko taarifa juu ya Dokta Mwakyembe!!!!!!!
 
Mwanaheri Mwalimu Nyerere, nalia mimi.

Albamu ya kuandaliwa miezi kadhaa hata kabla Mwalimu hajalazimishwa Matibabu Ulaya tena nyimbo na picha za video kwa hisani ya Chombo hiki cha CCM kiitwacho TOT-Plus ni kielelezo cha kila kitu kwamba jeneza la Baba wa Taifa lilinunuliwa Ulaya wakati hata kabla ya huyu kiongozi wetu kuwasili Dar es Salaam kutoka Butiama.

Looo!!! Ama kweli dunia hadaa!!!!!!!!!!!


Nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. Mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia.

Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za Komba. Alikuwa ameshatoa album na kusambazwa kote nchini, redioni na hata kutoa mkanda wa video kwa ustadi wa hali ya juu na yenye kuhitaji muda wa miezi kadhaa kwa kawaida kukamilisha kazi kama hiyo.

Je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie.

Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).
 
Anayedai Afya ya Dk Mwakyembe kuimarika ... Mungu akusamehe bure!!! Sikitikoooo kushoto kulia!!!!!!!!!!!
 
MZIMU WA MWALIMU NYERERE SASA WAANZA KUKITAFUNA CCM ARUMERU MASHARIKI NA PENGINE HUENDA UKASAMBAA KWINGI KOTE NCHINI

Kitendo cha huyo diwani wa CCM kuamua kujiuzulu huko Arumeru Mashariki, siku nne tangu WATanzania tuwekewe wazi taarifa kuhusu mauaji ya Mwalimu Nyerere mikononi mwao MAFISADI mwaka wa 1999, wala si kitu cha kushangaza sana kwa huo ni mwanzo tu wa viongozi na wanachama wa kawaida kuanza kupukutika toka mle kute nchini.

Taarifa juu ya kifo cha Baba wa Taifa yatia ganzi WaTanzania zaidi ya miaka 12 tangu Mwalimu atutoke. Taifa limechanganyikiwa, na kwetu sisi walalahoi taarifa hii imetupiga gubi gubi hasa!!

Na kwa mtaji huu, yeyote aliyepata kumthamini na kumheshimu Baba wa Taifa lazima itamwiia vigomu mno kuendelea kujumuika na kundi linalodaiwa kutapakaliwa damu ya Mwalimu Nyerere mwili mzima.

Tutarajie mabadiliko makubwa sana watu kukikimbia CCM kwa mtaji wa hizi shutuma za kufungua mwaka.

Sababu ni zipi za kujiuzulu mzee.

Diwani wa CCM .Emanuel Langaeli wa kata ya Nkwarua, Wilaya ya Arumeru Mashariki ajiuzulu
 
WATANZANIA MSIINGIE KIRAHISI KWENYE HUU MTEGO WA BAADHI YA WANA-CCM HUMU KUTAKA KUSAHAULISHA TAIFA JUU YA TUHUMA NZITO ZA MKAPA NA JOHN KOMBA KUMUUA MWALIMU NYERERE 1999

Hatuna muda na hizi propaganda za kutaka KUWASAHAULISHA WaTanzania tuhuma juu ya Mauaji ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Kamwe janja hizi za nyani hazotokaa ziondoe ganzi uliotupata moyoni mara baada ya kusikia taarifa hizi kutoka kwa chanzo kinachoaminika katika familia ya Mwalimu Nyerere.

Hakika juhudi hizi ajabu tu kwa kitendo cha wajanja wachache kuchagua kuanzisha THREAD kibao za kuchokonoa CHADEMA ili akili zetu zihamie kwenye mijadala ya kipuuzi hizi wala hazitofua dafu. Mkapa na CCM yake tuelezeni ukweli juu ya sababu za kuchagua kumua kiongozi wetu huyu

Hata hivo nisiwavunje sana moyo kwa programu yenu jipya hili kwani hii ni propaganda nzuri sana kwa vijogoo vinavyochipuka kama nyinyi hapo.

Hakika yafaa mmpewe sana moyo ili baadaye mje muwe vyombo vya maana sasa kuja kutumika kuzungumza ukweli na ukweli mtupu.

nawasikitikia watanzania wenzangu mimi.
nani wa kutukomboa tena?.
slaa njoo ujibu hizi tuhuma. its too much aisee. duh!.
 


Kwa mtaji wa ujumbe katika picha hii hapa toka Arumeru Mashariki, CCM hali si shwari hata kidogo kule mashinani; nyuso zimejaa ujumbe wa sintofahamu tupu humu kama kielelezo cha ukweli wa mambo huko mara baada ya Mzee Mkapa kukitibulia chama chake vibaya mno siku ya ufunguzi wa kampeni ya chama chao.
 
SILAHA HII YA MKOSAJI KWA CCM KUTUMIA VURUGU, UKATILI TUWATISHA WAPIGA KURA NA HATA MAUAJI KWENYE CHAGUZI NI KWAMBA WANATEKELEZA SERA YA WAPI???

Kwa mtaji wa hii silaha ya mkosaji ya CCM kutumia vurugu na utekaji tena kule Arumeru Mashariki bila ya kusikia sauti za Msajili wa vyama wala mwenyekiti wa tume ya uchaguzi taifa.

Safari hii mambo ya Igunga yakiruhusiwa kujirudia tena Tanzania hii basi wanaharakati huenda wakalazimika kukutana na Lubuva, Tendwa pamoja na mzee Mukama mahakamani ili tabia hii mpya kwa wana-CCM ipate dawa yake ya kudumu huko.

Huko nyuma tulipata kusikia eti NEC CCM ilizungumzia jambo hili na kudai kwamba hawataki kuliona likijirudia ndani ya mipaka yetu kumbe yote ni bure kabisa wala hamna kitu pale!!!!

Wana-Arumeru sote tukatae chama cha fujo na UFISADI CCM kwa kauli moja kutokana na hivi vioja walivyoanza navyo bila kukemewa na chombo chochote nchini. Wanaharakati safari hii kukitokea ya Igunga hapa wananchi hatutokua na furaha.


CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arumeru.

Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi na akiambatana na Ndekubali, wamemteka mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Magadrisho kata ya Usa river. Utekaji huo ulifanyika wakiwa na gari aina ya pick up Ford namba DFP 5481. Baada ya kumteka wakampeleka kwenye kambi kumshushia kichapo, kwa sasa mwenyekiti huyo aliokolewa na Polisi,na amepewa PF3.

Polisi pia wamemshikila Mh Msigwa mbunge wa CHADEMA kwa tuhuma za kuhusika na vurugu za jana zilizotokea jana eneo la maji ya Chai, baada ya vijana wa green guard kuwavamia CHADEMA kwenye gest waliyofikia. Katika tukio hilo gari la CCM lilivunjwa vioo vya nyuma.
 
Yooote tisa ila hapo pa Zitto kabwe kuwa chief dicision maker wa SiSiEm imetangazwa lini mi sijui wajameni !!!!!!!
 
Kama huamini hadi sasa basi subiri uone kama CCM kitaweza kukwepa kutekeleza agizo lake la kutaka kufanyike majaribio ya siasa za 'Urais wa nchi Kwa Vijitoto' vinavyobeba SMG, Pistol, kompyuta lukuki na na mamilioni ya dola pindi wanapotembelea tu mikoani.

Yooote tisa ila hapo pa Zitto kabwe kuwa chief dicision maker wa SiSiEm imetangazwa lini mi sijui wajameni !!!!!!!
 
Baada ya siasa za UDINI kugoma, CCM sasa yaanza rasmi na siasa za KIKABILA kwa mara ya kwanza Tanzania; na hili sasa tukaliweke vizuri kwenye kumbukumbu kunakoelekea uchaguzi mkuu 2015.

Miaka mingi ya kazi alioifanya Mwalimu Nyerere kwa ufanisi mkubwa kuondoa migawanyiko ya kikabila leo hii kule Arumeru Mashariki tena kwa hisani ya CCM watu tumeanza kusikia vifungu vya maneno kama vile 'Sisi Wamasai', 'Wao wa Musoma', wengine 'Wabunda' - ama kweli chama kikifilisika kisiasa kumbe ne hatari mwisho hivi!!!

Jamani kuna HATARI kubwa sana inatusubiri kama taifa huko tuendako kwa mtindo huu wa CCM endapo hatua za haraka kudhibiti mambo haitochukuliwa kwa wakati.
 
Back
Top Bottom