The sporah show

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Kwa wale waliowahi kutazama hiki kipindi

nimekuwa najiuliza maswali mengi

1.hiki kipindi kinaandaliwa nchi gani?
2.kwenye television ipi??
3.mbona quality ni mbovu?
4.huyu sporah ni jina lake halisi?
5.ana ujuzi wowote na television?
6.halafu kama ni talk show mbona sikuona
watu wengine wakishiriki?
7.kipindi hiki target yake ni kina nani?
8.na maswali mengine kibao.....
 
Kwa wale waliowahi kutazama hiki kipindi

nimekuwa najiuliza maswali mengi

1.hiki kipindi kinaandaliwa nchi gani?
2.kwenye television ipi??
3.mbona quality ni mbovu?
4.huyu sporah ni jina lake halisi?
5.ana ujuzi wowote na television?
6.halafu kama ni talk show mbona sikuona
watu wengine wakishiriki?
7.kipindi hiki target yake ni kina nani?
8.na maswali mengine kibao.....

1.UK
2.BEN TV
3.TV ya wanigeria hovyo kama movie zao tu
4.SPORAH NJAU[M-BONGO]
5.UJUZI WAKE SI HUO UNAUONA KWENYE KIPINDI
6.HUWA ANAHOJI AKINA T.I.D...ALI KIBA n.k wakitembelea UK
7.I DONT KNOW.....but i guess vijana
8.
 
1.UK
2.BEN TV
3.TV ya wanigeria hovyo kama movie zao tu
4.SPORAH NJAU[M-BONGO]
5.UJUZI WAKE SI HUO UNAUONA KWENYE KIPINDI
6.HUWA ANAHOJI AKINA T.I.D...ALI KIBA n.k wakitembelea UK
7.I DONT KNOW.....but i guess vijana
8.

Bwahahahahahaaaaaa babu umeua duuuuh!!

Anywho, I can't knock her grind......
 
siku zote mawazo yako na ya mwenzio hayawezi kulingana kwa 100%, na kitu cha kukopi kitabaki kuwa cha kukopi tu huwezi kuwa na ufanisi kama alivyofanya mwenzako, so that is where the show can reach, it won't go beyond as they seem to be short sited, its boring
 
Mie hata kukitizama sikitizamini ..nilikiotea siku moja tu nikahamisha na chanel:tape:
 
Sporah anawatu wake ambao wanamshughulikia katika program yake, Ben tv inarusha tu vipindi vyake tu.


eti ben tv ovyo si bora kama hauna interest inakuhusu nini hauelewi lugha ama, etc

mbona watanzania hamna tv channel kwenye sky???? hata cable tv?

eti movie zao ovyo si bora kuliko za kibongo mara 10000000000000000...
kuliko za kibongo wanazoongea kwa sauti sawa

yaani wana act kwa kutumia mvuto mmoja sijui nisemeje hawawi real kutumia waongeavyo kila siku hata ingekuwa bora

kurudi kwa shoooo ya huyu dada kweli anahitaji shule ya mambo ya kupresent, vipindi etc
anakuwa kama yeye sio mwenye kipindi kama kaburuzwa vileeeeeeeee kuongea mbele ya camera

lazima ni ayubu alimpeleka aingie humo, wote sawa tu ayubu

nnasema ayubu vipindi vyake vya swahili diaries kutwa yupo tz anashindwa rekodi mambo aanakuja kutuonysha vya Queen na historis ya uk. vipi yeye kiswahili aongei katu

hajaona vya wakngo kwa ben tv lugha yao ni yao.

Haya subscribe kwa nollywood movies on sky huone movies au nenda kaone za bure online

acheni wivu na wanaija

tuchukulie mifano tuige tuwe better than them
 
Back
Top Bottom