The Slave Hunter imefika tamati

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Kwa wale wapenzi wa Drama za Kikorea ile series iliyokuwa inarushwa hewani na ITV The Slave Hunter imefikia tamati leo.
Kama ilivyokuwa iliyopita hii nayo imeniacha hewani kwa mwisho wake kutokuwa na mvuto kwa mtazamo wangu
Ukiachilia mbali dae-gil kufa lakini almost matukio yote katika series ile yameachwa bila hitimisho.
Pia naona kama ilikua ndio inataka kufika patamu lakini imekuwa fupi mno.
Kwa wale wapenzi wa hii drama mnaonaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom