The secretary........

labda kama ataiuza KAGERA YOTE

na mimi nipo NAMANGA boda navuka naelekea KENYA

umetokea wapi na wewe?
Mkeo nasikia kakuacha kisa hausgel.

144487186_c37a9ed584_m.jpg

Bishanga hiki kinaitwa ki nini?
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa nani? maana wale wapiga debe wengi ninawafahamu pale... kuna maglasi, huyu ni wa arusha musoma, kuna ethiopia huyu ni wa arusha geita bk, kuna madevu huyu kwa gari za dar, kuna mwingine bonge simkumbuki jina... na wengine weeeengi nimemtaja huyo wa Lizzy?
Anaitwa chaliii a.k.a katumbili..a.k.a tuhela tudogo tudogo.
 
Personality kwa Bishanga ?
Dah kazi unayo mama

Mkuu kwa The Secretary a.k.a maDoudou nimejitolea kila kitu,nashukuru kesho tu fly out kwenda Acapulco tukachague summer house ya kununua.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa The Secretary a.k.a maDoudou nimejitolea kila kitu,nashukuru kesho tu fly out kwenda Acapulco tukachague summer house ya kununua.
Hahahahaaa kipya kinyemi mwangu...km nakuona mzee wa masifa Bishanga Mzee wa Swaga
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom