The Russian Mathematician refuses again to receive the prize

Babuyao

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
1,741
272
Russian reclusive math genius Grigory Perelman did not appear in Paris on Tuesday to collect his $1 million prize for solving a problem that has puzzled scientists for over a century.

In March 2010, the Clay Mathematics Institute (CMI) of Cambridge, Massachusetts, announced that Perelman, 43, would be awarded the prize for proving the Poincare conjecture, one of seven problems on the institute's Millennium Prize list.

CMI President James Carlson said on Tuesday he could not explain why the mathematician ignored the event in his honor and that he was waiting for Perelman to decide if he wants the money or not.

According to Carlson, the money will be sent to a charity foundation if Perelman does not claim it within one year.
The conjecture, which was first proposed by Henri Poincare in 1904, says that the three-sphere is the only type of bounded three-dimensional space possible that contains no holes.

Perelman presented proofs on the conjecture in 2002 and 2003. Several high-profile teams of mathematicians have since verified the correctness of his proof.
In 2006, Perelman refused to attend a congress in Madrid where he was to receive a Fields Medal, often called the Nobel Prize of mathematics.

Perelman, who lives in a small apartment in St. Petersburg with his elderly mother, is unemployed and neighbors say he lives in poverty. He has rejected job offers at several top U.S. universities.

PARIS, June 8 (RIA Novosti)
 
haya ndo matatizo ya ma-genius wasipopata malezi mazuri toka wakiwa wadogo. Ona sasa amekataa kazi, anaishi katika umasikini, amepoteza opportunity kibao za kufanya ma-research zaidi. poor Grigory Perelman!
 
Hapana u genius wake unatokana na hizo circumstances zake wengine mnazoona ni kikwazo. In my view he is a true GENIUS. Hahitaji outside stimuli!!
 
Rejeeni Finding Forrester...Na Beautiful Mind...Ujiniasi ni Utajiri tosha!
 
Jiniasi anafanya utafiti kwa passion bila kuangalia atapata nini. Kwake cha maana ni maarifa/uvumbuzi mpya. Furaha yake na faraja yake anaipata anapokuwa amefanikiwa ku-solve problem.

Pili, genius hana muda wa starehe wala wa kupumzika kwa sababu ya concentration ya akili yake katika jambo. Hapendi kukatisha (kuwa distracted) mlolongo wa mawazo yake. Ndo maana anweza kuahirisha hata kula, kulala, kuoga, kupiga michapo na jirani. Hata akiwa anakula atakuwa anawaza utafiti tu, akienda ****** ataenda na mavitabu yake - anajisaidia huku anasoma, nk. Nadhani ni kwa sababu ya kukwepa distraction jamaa Perelman amekataa kwenda huko kupokea hiyo nishani. kwake naona ni kama kupoteza muda vile. Na kwanza haoni faida ya pesa kwani anaishi maisha ya upweke tena bila kuoa - yaonekana hana mpango wa kukaa na mwanamke (atampotezea muda na kumtibua mawazo)
 
hamjui kiburi cha warusi nyie, pengine nchi yake imempa pesa ikasema wala usiende kwa hao ma westerner...wafanyie kiburi ili waone russie tupo...nani akatae mihela hiyo? hata kama ni genius kwani hali, hahitaji pesa...miaka 43 ni mingi sana uyo ni mtu anayejua anachofanya na si mjinga...tena Putin atakuwa ameenda yeye mwenyewe kwa mikono yake...nani atapenda kumwuza uyo mtu kwa nchi ingine?..natamani angetokea mmoja hapo bongo atupatie formula yetu binafsi ya kutengeneza umeme wa nuke hahaha.
 
Huyu myahudi alikasirishwa nadhani na wakubwa zake huko kwene chuo alichokuwa anafundisha, baada ya hapo akabwaga manyanga na kudai hisabati ni 'ngumu'.
 
Yep kawashtukia wanataka kumnyonya na kuifanyia jamii yake ile kitu mbaya inaitwa Breini Dreini (Fyonza Ubongo) inayoimaliza nchi yetu na vijiji vyake 10,000+ ambavyo vimekimbiwa na wasomi waliosomeshwa kwenye shule za msingi za vijiji hivyo kwa jasho la wanakijiji ambao wanaambulia kuhadithiwa tu kuwa watoto wao wamefanikiwa mijini na ughaibuni!
 
Angekuwa anatunzwa na Kremlin asingekuwa anaishi katika hiyo poverty life iliyosemwa hapo. He once said, he doesn't want that money coz he has all what he wants. He's contented with how his life goes. Usiye wa calibre yake huwezi mwelewa kirahisi
 
haya ndo matatizo ya ma-genius wasipopata malezi mazuri toka wakiwa wadogo. Ona sasa amekataa kazi, anaishi katika umasikini, amepoteza opportunity kibao za kufanya ma-research zaidi. Poor grigory perelman!
nemesis
utajiri uko kwenye mind hauko kwenye mifuko, km umetulia kichwani kwako wewe ni tajiri kupita wote. Accumulate as much as you can halafu kwenye akili kukawa hakuko-settled, then you are leaving in pre-hell, just a few metres away for you to enter the real heall!
 
Aendelee kujifungia ili akitoka chumbani aje na formulation nyingine tofauti. Thinkers wa aina yake wako wachache sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom