The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

r3834038249.jpg

Nimeupenda sana ujumbe wa huyu "pampula wa kizungu"
 
Facebook watu wengi wanasema kuwa harusi ya leo ni ya ki Masonic, hawatoi sababu ila wanaongelea mavazi, mapambo na alama eti zilikuwa za Kimasonic.
Wewe unaonaje?

Nazjaz hizo habari ni za kweli, mbali na kwamba q eliza ni muumini nguli wa freemason,alama zilizotajwa, watu walioalikwa,hiyo yote
ni tisa.kumi ni tarehe ya hilo tukio i.e trh 29. when u take 2+9=11, ambayo kwao ni namba mhimu sana ikiwa ni pamoja na 13 na 33. cku hizi
mambo yako hadharani, ukiwagoogle utawasoma.....
 
Asante kwa ku2fungua macho
 
29 +4=33,hii ni tarehe na mwezi waliofungia ndoa.33 decree inasemekana kuwa ni ngazi ya juu kabisa.
 
Jana wakati wa kufunga ndoa, nilielezea jinsi UK wanavyotumia harusi kama hizi kujitangaza na hasa bidhaa zao.

Wametangasa mshona mavazi, viatu, kofia, hotel, London nk.....

Wakaja kuonyesha magari yao ya bei mbaya ambayo ni Ranger Rover, Bentley na Rolls-Royce. Ila katika hayo, nilishangaa kutokuliona ASTON MARTIN.

Loohhh, kumbe lilikuwa limewekwa kwa ajili ya shughuli maalumu. Muda ulipofika, waliitoa na yenyewe kama kawaida, ya zamaaani na Bibi na Bwana harusi wakajidai nayo mtaani.

Kwa hili lazima nikiri kuwa NIMEWAONEA SANA WIVU UK. Harusi hii imekuwa ni kuweka vitu sokoni na kwa hilo lazima nikiri kuwa wamefanikiwa......

article-1381967-0BD57B1D00000578-573_964x492.jpg
 
Askari Jela aka Rick Ross akaamua kabisa kuweka hadi wimbo.......

Last edited by a moderator:
  • Prince-William-and-Kate-M-007.jpg
    Prince William and his new wife Kate in Prince Charles' Aston Martin. Photograph: Jeff J Mitchell/Getty Images

    Prince William, in a surprise break from the schedule, borrowed his father's 41-year-old open-topped Aston Martin to pootle down the Mall to Clarence House with his new bride.
    The car was a 21st birthday present to Prince Charles from his mother in 1969 and, like many middle-aged men's sports cars, it spends most of its life these days in the garage, used only occasionally for jaunts around the country lanes of Gloucestershire and doing only a couple of hundred miles a year.
    It has, however, impeccably green credentials in contrast to most 1960 sports cars, having been converted to run on bioethanol fuel – and not just any old bioenthanol but converted from surplus British wine. So it runs on plonk – all part of Charles's green initiatives: his other cars, Jaguars, an Audi and a Range Rover have all been converted to run on used cooking fat.
  • From: http://www.guardian.co.uk/uk/2011/apr/30/prince-william-new-wife-aston-martin
 
mkuu ni lini utajiupdate? mbona huu ni ukweli usiohitaji kuhoji? dont u know that
freemanson kwa sasa wanatimiza plani zao za kuwa na dini moja na serikali moja?
(new world order?)

Du! This is absolute crap! kama una ushahidi basi weka hapa.
 
article-1381912-0BD5DE6700000578-980_306x867.jpg
article-1381912-0BD3B6BB00000578-175_306x867.jpg

Old flames: Actress Isabella Calthorpe, 30, in Matthew Williamson (left), was the subject of William's affections several years ago, while Jecca Craig (right), 28, had a teenage fling with the Prince.

...huyu Jessica 'Jecca' Craig inasemekana alishavishwa na pete nchini Kenya. If it was a 'mock' haya tena...
Anyway, Bookies huenda weshaweka bets againt odds kutokea 'the other woman'
kama ilivyokuwa Diana Vs Camilla.

Mapaparazi wakale wapi?
 
article-1381912-0BD5DE6700000578-980_306x867.jpg
article-1381912-0BD3B6BB00000578-175_306x867.jpg

Old flames: Actress Isabella Calthorpe, 30, in Matthew
Williamson (left), was the subject of William's affections
several years ago, while Jecca Craig (right), 28, had a
teenage fling with the Prince.

...huyu Jessica 'Jecca' Craig inasemekana alishavishwa na pete nchini Kenya. If it was a 'mock' haya
tena...

Anyway, Bookies huenda weshaweka bets againt odds kutokea 'the other woman'
kama ilivyokuwa Diana Vs Camilla.
Mapaparazi wakale wapi?

Hii niliwahi kuisoma somewhere kuwa walivishana pete wakati wakiwa teenagers sasa sijui ilikuwa wakati wanacheza kibaba na mama. Alafu hiyo lodge ni mali ya baba yake na huyu binti.
 
Binadamu miaka yako ya kuishi duniani ni miaka 70 na ukiwa na nguvu miaka 80 nayo hujaa taabu na shida. huu ni ufahari wa duniani tu. HAKUNA CHA MFALME WALA MALKIA. Wekeza hazina yako mbinguni.
 
Back
Top Bottom