The rose.... Haya mapenzi yananichanganya tu sasa

hahaha!
GOODEVENING EVERYBODY.....!de novo utakuwa umemissi red label wewe.....

ngoja nijisachi kiaina maanake SEA-COM imezimisha hadi eitiemu
 
hahaha!
GOODEVENING EVERYBODY.....!de novo utakuwa umemissi red label wewe.....

ngoja nijisachi kiaina maanake SEA-COM imezimisha hadi eitiemu
hiyo kwenye red ni nini? mi nafanya kazi kwa mhindi, nalipwa dirishani!!
 
Somebody is in love....................so deep in love...............
 
love is like a perfume just smell it
dont try to eat it.....utaumia......
 
YOu know the beauty of love??

its when you swing like a pendulum and that resonance is backed with such lyrics

Yaani ndani ya huo muziki nimejikuta napata the full picture of my love life from my first love wakati naongea njia nzima on my way to meet her halafu nikifika naishia kumeza mate makavu... hadi leo hii na all teh love life i have enjoyed

verse one to verse two ==== utamu craving
the remainder of the song is purely the truth

the best part of it is that, being a seed, i germinate, transform and finally lead to flowers.. roses
 
Asante kwa mada yako Mkuu De Novo,
Umenikumbusha jambo ambalo sikutaka kulikumbuka.

Kuna raha sana kuwa single especially kwa sisi wanaume hasa unapokuwa una projects za kimaisha lakini kuna wakati mapenzi yanataka kuchuka position yake na ndio hapo hujawa tayari kuwa na mpenzi inakuwa tabu sana maana inaleta usumbufu wa mwili na nafsi. Hapa ndio naungana na De Novo kusema "The rose.... Haya mapenzi yananichanganya tu sasa"
 
Mkuu Denovo kwa maoni yangu ukibahatika kuyapata mapenzi ya kweli basi "penda zaidi" kwanini ujinyime raha ya kupenda nusu nusu wakati unapenda sana? Usiogope kuumizwa ukiamua kupenda maana naona wengi sasa hivi kwa kuogopa kuumizwa kimapenzi huamua kupenda nusu nusu au sijui tuite robo robo, ya nini mguu nje mguu ndani? Huu kwangu ni utapeli wa kimapenzi. Kila la heri katika kuyatafuta mapenzi ya kweli yatakayokupa raha ya hali ya juu.

Nimekugongea hapo mwana for zis useful post. Mi nachukia sana mafisadi wa mapenzi kama wamelazimishwa bwana. we changua moja... u either in or out.....wachana na tabia za kifisadi mpaka kwenye mapenzi.
 
Kiongozi!

It snot a sign of a small heart at all; you suffering from Love its nature taking it due cause! Yaani ukiona huja suffer ama hu feel maumivu then something is terribly wrong with you!

By the way asante kwa lyrics chief; mie zimenidatisha mazima mkuu!

Don't be afraid to fall in LOVE!
 
There is one thing I dont wanna give away!! MY TIME!!
Having all of my time, makes me happy; more than happy actually!! Giving it away.......(When you are in love, you cannot have all of your time..remember that!!) its not going to be easy! By the way, if Iam happy now, why should i look for happiness outside myself!!??
 
Bigirita, by the sound of this seems you are not engaged/married/dating au nimekosea???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom