The rose.... Haya mapenzi yananichanganya tu sasa

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,889
11,285
Wakuu, yaani leo nimeamka na mood sijui tuiite melancholic au nini; i feel love, i want love, yet i hate it, i dislike na kadha wa kadha

Kuingia kwenye gari ndo balaa likaanza, kuweka tu CD at mziki unitwa the Rose.... balaa likaanza hapo... navusha tangu asubuhi hadi saa hii

I want love, I have love, I love... yet i dont think i want it,

is it confusion? stress? or what????

Just read the lyrics halafu uniambie unajisikiaje baada ya kusoma hizo verse... kupenda zaidi, kutopenda zaidi au mchanyato tu??

THE ROSE BY WESTLIFE

Some say love it is a river
that drowns the tender reed
Some say love it is a razor
that leaves your soul to bleed

Some say love it is a hunger

an endless aching need
I say love it is a flower
and you its only seed

It's the heart afraid of breaking

that never learns to dance
It's the dream afraid of waking that never takes the chance
It's the one who won't be taken
who cannot seem to give
and the soul afraid of dying that never learns to live

When the night has been too lonely

and the road has been too long
and you think that love is only
for the lucky and the strong

Just remember in the winter far beneath the bitter snows
lies the seed
that with the sun's love
in the spring
becomes the rose
 
i have never run away from a challenge hadi sasa.

sasa kama love is challenge acha ije tu, i am more than ready for it.
 
I am not in love, I have never been in Love, I have realized that.
....Still waiting for the lucky lady....
 
i have never run away from a challenge hadi sasa.

sasa kama love is challenge acha ije tu, i am more than ready for it.
my only problem is that i have got nothing but love
 
I am not in love, I have never been in Love, I have realized that.
....Still waiting for the lucky lady....
you are the luckiest dude alive

hii kitu bana ni soo.... yaani bora love ingekua kama mtungi wa gesi, ikiisha moto hauwaki, sasa love haieleweki mazee!!! sh!t
 
TM, yaani hata sielewi mazee... ushawahi kutamani kula kitu halafu hukijui??
 
De Nevo u r giving me vibes kuwa love ishawahi kukutenda! hehhe pole sana
 
Lipi lilokusibu kaka?

Tausi, mambo? nimevutiwa na jinsi ulivotumia neno hilo hapo juu, kulikuwa na ulazima eeh?:brushteeth:

ndo naaamka ivo usistuke..

Mkulu De Novo.....hali ya kawaida kabisa hiyo....do ze nidiful mwenyewe utaona gauge inapanda ya malavidavi......kawaida kiwembe hakichagui kinyolewa.....lol
 
G, imenitenda both ways... yaani the best ever na the worst in less than 48 hours!!! sasa hapa najaribu kuangalia beneath the bitter snow, if ntapata tena ile sunny love
 
It's the heart afraid of breaking [/B]
that never learns to dance
It's the dream afraid of waking that never takes the chance
It's the one who won't be taken
who cannot seem to give
and the soul afraid of dying that never learns to live

[

Hii verse ndiyo inanidatisha zaidi.... you dream, you wake to achieve your dream but you end up sleeping again hoping for a dream to continue

duh
 
Wakuu, yaani leo nimeamka na mood sijui tuiite melancholic au nini; i feel love, i want love, yet i hate it, i dislike na kadha wa kadha

Kuingia kwenye gari ndo balaa likaanza, kuweka tu CD at mziki unitwa the Rose.... balaa likaanza hapo... navusha tangu asubuhi hadi saa hii

I want love, I have love, I love... yet i dont think i want it,

is it confusion? stress? or what????

Just read the lyrics halafu uniambie unajisikiaje baada ya kusoma hizo verse... kupenda zaidi, kutopenda zaidi au mchanyato tu??

THE ROSE BY WESTLIFE

Some say love it is a river
that drowns the tender reed
Some say love it is a razor
that leaves your soul to bleed

Some say love it is a hunger

an endless aching need
I say love it is a flower
and you its only seed

It's the heart afraid of breaking

that never learns to dance
It's the dream afraid of waking that never takes the chance
It's the one who won't be taken
who cannot seem to give
and the soul afraid of dying that never learns to live

When the night has been too lonely

and the road has been too long
and you think that love is only
for the lucky and the strong

Just remember in the winter far beneath the bitter snows
lies the seed
that with the sun's love
in the spring
becomes the rose

Mkuu Denovo kwa maoni yangu ukibahatika kuyapata mapenzi ya kweli basi "penda zaidi" kwanini ujinyime raha ya kupenda nusu nusu wakati unapenda sana? Usiogope kuumizwa ukiamua kupenda maana naona wengi sasa hivi kwa kuogopa kuumizwa kimapenzi huamua kupenda nusu nusu au sijui tuite robo robo, ya nini mguu nje mguu ndani? Huu kwangu ni utapeli wa kimapenzi. Kila la heri katika kuyatafuta mapenzi ya kweli yatakayokupa raha ya hali ya juu.
 
if you don't feel anything when you have technically broken up with somebody.........that's when you come to realize that you have not been in love all these years!!

I deserve the best.......and the best is coming my way!

Asante De Novo kwa this usefull topic!!
 
Too strong for too long (and I can't be without you baby)
And I'll be waiting up until you get home (cuz I can't sleep without you baby)
Anybody who's ever loved, ya know just what I feel
Too hard to fake it, nothing can replace it
Call the radio if you just can't be without your baby- Mary J Blige
 
Mkuu Denovo kwa maoni yangu ukibahatika kuyapata mapenzi ya kweli basi "penda zaidi" kwanini ujinyime raha ya kupenda nusu nusu wakati unapenda sana? Usiogope kuumizwa ukiamua kupenda maana naona wengi sasa hivi kwa kuogopa kuumizwa kimapenzi huamua kupenda nusu nusu au sijui tuite robo robo, ya nini mguu nje mguu ndani? Huu kwangu ni utapeli wa kimapenzi. Kila la heri katika kuyatafuta mapenzi ya kweli yatakayokupa raha ya hali ya juu.

thanks Mkuu... wakati wa utamu, kweli penzi ni tamu balaa... ila ikija ile shuribi yake, mh!!

Kinachonishangaza sana ni pale ambapo we all suffer, yet we give our all... i think its a sign of a very weak and small hearts!!! I may have one
 
Too strong for too long (and I can’t be without you baby)
And I’ll be waiting up until you get home (cuz I can’t sleep without you baby)
Anybody who’s ever loved, ya know just what I feel
Too hard to fake it, nothing can replace it
Call the radio if you just can’t be without your baby- Mary J Blige
true mazee....

too hard to fake it!!!

One song verse says

I know love is blind, but the heart doesnt lie!!! see the contradiction??? i am wishing for the roses all the time, and as a seed, i pray for viability all along
 
if you don't feel anything when you have technically broken up with somebody.........that's when you come to realize that you have not been in love all these years!!

I deserve the best.......and the best is coming my way!

Asante De Novo kwa this usefull topic!!

Mkuu, i wish you all the best

and i pray that you will enjoy every beat of the best but i also know that probably your heart is afraid of dancing, and thats why you are not dancing mpaka leo
 
De Novo unaonekana kama unatatizo la ku-over-think mambo...............take it easy
 
De Novo unaonekana kama unatatizo la ku-over-think mambo...............take it easy

Mh.... yawezekana kweli aisee

sasa kwa leo mie ndo hivyo.... nisha-overthink
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom