- Thread starter
- #21
Mkuu, kilichosemwa kwamba unapewa siku tatu kumwonyesha polisi ni driving licence, hivyo vingine vilivyotajwa kwenye hiyo section unyoisema with exception of driving licence inabidi uwe navyo on the spot, no excuse unless uelewa wangu wa lugha za kisheria ni mdogo.
Tiba
Mkuu utakuwa haupo sahihi kwenye hili, sheria imeweka wazi kabisa. Labla uniambie kuwa kuna regulations zimewekwa kuhusiana na sheria hii ambazo zinataka hiyo kadi ya gari iwepo. Ila Polisi wa Bongo wanatumia hii kama njia ya kuombea Rushwa pia, wakikuomba vitu hivyo uwe navyo on spot kama huna waambie wewe hutoki nje ya Tanganyika. Waahidi kuwapelekea baadae wakajiridhishe.
'-(2)Notwithstanding the provisions of subsection (1) of this section, any person intending to drive a motor vehicle or trailer over the Tanganyika border shall carry his driving licence, the certificate of registration and the insurance certificate in respect of such motor vehicle of trailer and shall produce the same on demand to a POLICE OFFICER IN UNIFORM or customs officer before he is permitted to drive his motor vehicle, or trailer across the Tanganyika border.'
Notwithstanding - Bila kubadili subsection (1) Mtu yeyote anayetaka kuendesha gari kuvuka mipaka ya Tanganyika anatakiwa kubeba Leseni ya udereva, kadi ya usajili wa gari na cheti cha bima vinavyohusiana na gari hilo.