Elections 2010 The Rise and Fall of CHADEMA

Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

CHADEMA ni chama cha wazalendo watanzania, ambacho kimesheheni vijana na wasomi kibao.

Hivyo kuanguka kwake itakuwa ndoto. Kutoka kuwa na Wabunge 5 + 6 Mpaka kufikia Wabunge 22 + 23 Siyo kazi rahisi.

Siku zote ujenzi wa nyumba huanzia kwenye foundation, kwa hiyo CHADEMA wameanzia from the roots na wataendelea kupanda mpaka wachukue madaraka ya nchi hii.

NCCR waliibuka kama uyoga na kila mtu alijua nini kingetokea, hivyo kuwafananisha na CHADEMA ni upuuzi mtupu.
 
Mkuu I can asure you hao mafisadi tayari wameshapima na kukata sanda ya kuivalisha cuf wakati wa maziko. it is just the matter of time. cuf itayumba mpaka watajutia uamuzi wao.

naamu; kweli kabisa,
ila kwa kupeo mdogo wa mtu kufikiri anaweza ona kwamba cuf hata kesho, amesahau kwamba sasa cuf
imebinafisishwa na kupewa muwekezaji ambaye ni ccm, na ndiyo maana kwa kutokujua ama kujua Maali Sief
kakubari kuwa msimamizi wa utekelezaji wa sera za ccm
 
think smart guys! chademarism makes you blind, all the times i do tell you.
Baseless projections!
Huja'cite mfano wowote ambao ungekuwa thibitisho la kuelekea kubaya kwa chama hiki so far!...Usiongee kutokana na ndoto na wishes zako, dunia ya sasa inataka uthibitisho wa kauli yoyote!
 
Chama cha Chadema sio makini ila kuna baadhi ndani ya hicho chama ni watu makini mmoja wao aliepata kuwa mwanachama ni kafulila wengine wakijakutambua kama Chadema kina agenda zake na wanaharakisha zitimie na mfano kilichotokea Dodoma utaona watamwaga manyanga na nina uhakika NCCR Mageuzi itarudi kwenye form na kuipiku Chadema 2015 hii itachangiwa na ubinafsi wa chama cha chadema.

Hebu tuambie hiyo ajenda ya Siri kama kweli unjitambua na unatambua unachokiandika na si kulalama tu,
 
Chama cha Chadema sio makini ila kuna baadhi ndani ya hicho chama ni watu makini mmoja wao aliepata kuwa mwanachama ni kafulila wengine wakijakutambua kama Chadema kina agenda zake na wanaharakisha zitimie na mfano kilichotokea Dodoma utaona watamwaga manyanga na nina uhakika NCCR Mageuzi itarudi kwenye form na kuipiku Chadema 2015 hii itachangiwa na ubinafsi wa chama cha chadema.

you are so blindness political analysis
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

Walipokuwa njiani kutoka Misri, walimnung'unikia Musa wakasema, kwa nini umetuleta tuje kufia jangwani kwa sababu ya njaa?
Afadhali tungebaki Misri/ utumwani kwa sababu kule kuna masufuria ya Nyama, Pilao na matikiti, kuliko kutuleta huku kutuua na njaa na kiu.

Joshua na Kalebu wakasema nchi ile ni nzuri imejaa maziwa na asali, tusiwaogope hao wanefili maana hao ni kama chakula kwetu. Na wale wazee wengine waliowavunja wenzao moyo ardhi ikawameza.

Musa shika fimbo yako vizuri, maharun/haruni shikeni mikono ya Musa juu hata akichoka mpaka vita iishe na Kanaani tuingie.

Safari imeshanza mapigo 45 kwa farao yameshatokea, tuko kwene bahari ya shamu tunajiandaa kuvuka. Uwe na moyo wa ujasiri na ushujaa maana ni wewe....... utakae waingiza Wasraeli katika Nchi ya Asali na maziwa.

Asomae na afahamu.
 
Chama cha CUF huu ndiyo mwisho wao wasitegemee kura bara uchaguzi ujao hata visiwani itakuwa ni patashika wamepigwa bao la kisigino,kwani hawatakuwa na jipya,lao ni moja na CCM si wamo serkalini na wamekubali kutekeleza sera za CCM ambazo zinaeleweka?CHADEMA ndiyo kitakuwa NGUNGURI badala yao.Huu ni mtazamo wangu sijui wako.
 
Chama cha Chadema sio makini ila kuna baadhi ndani ya hicho chama ni watu makini mmoja wao aliepata kuwa mwanachama ni kafulila wengine wakijakutambua kama Chadema kina agenda zake na wanaharakisha zitimie na mfano kilichotokea Dodoma utaona watamwaga manyanga na nina uhakika NCCR Mageuzi itarudi kwenye form na kuipiku Chadema 2015 hii itachangiwa na ubinafsi wa chama cha chadema.

Bila Zitto Kabwe (CHADEMA) huyo kafulila na wabunge wote wa NCCR wanaotoka mkoa wa Kigoma wasingekuwa mjengoni leo. And they have let him down. wamechagua kufeli moja kwa moja. si ushabiki but it is the fact. Bila kuwa pamoja/upande wa Zitto Kabwe wewe si mpinzani wa kweli kwa kigoma. and that is the fact in kigoma townships.

Zitto ni hero wa upinzani kigoma, baada ya kaburu kuharibika akili na kurudi ccm aliyoitukana sana enzi za mwalimu na kupelekea kuikimbia nchi kuhofia maisha yake, watu wa kigoma walikata tamaa kuhusu upinzani but the boy zitto managed to revive the spirit. Kitendo cha hao nccr kutokuwa upande wa zitto will cost them big time.
 
Chama cha CUF huu ndiyo mwisho wao wasitegemee kura bara uchaguzi ujao hata visiwani itakuwa ni patashika wamepigwa bao la kisigino,kwani hawatakuwa na jipya,lao ni moja na CCM si wamo serkalini na wamekubali kutekeleza sera za CCM ambazo zinaeleweka?CHADEMA ndiyo kitakuwa NGUNGURI badala yao.Huu ni mtazamo wangu sijui wako.

mkuu hivi unadhani hata seif mwenyewe ameridhika na mambo yaliyotokea katika uchaguzi? why is always seif kapata 49.x kila wakati. akiwa kama makamu wa rais kwa nini hakuapishwa na jaji? You wait and see. CUF is in the blink of collapse.
 
Aliapishwa na nani?
 
jamani kwanini page yangu haina option ya kupost threads??? au nimefungiwa kidiplomasiaaaaa?? naomba msaada wa ushauli

Ila kwa suala la chadema kusambaratika ni ngumu kama NABII KUZALIWA TANDALE.

Mtoa hoja anatakiwa kujua WATU WALIOUNNDA NCCR 1995, walikuwa ni wanachama watiifu waliojeruhiwa na CCM (kiusanii) ndo maana ilikuwa kwa ni rahisi KUbounce back na kutoa siri za NCCR kwa CCM,

Mfano halisi ni m/kiti wa NCCR wakati huo, Augostine Mrema ni CCM PURE LEATHER..We unategemea nini hapo??? labda uje na hoja kwamba Mrema io CCM tokea kipindi hicho.

NCCR ya policia mwaiseje, Mrema,lamwai na wengineo walikuwa ni CCM, lakini kumbuka kuwa CHADEMA ni chama kinachoundwa na VIJANA WALIOKULIA NDANI YA CHADEMA, ukirudi kwa muundo sio tu kwamba tumeanza kujiandaa, jua kwamba MPANGO WOWOTE WA CCM CHADEMA NDO WAKWANZA KUUJUA.

So wapange chochote nina uhakika tutajua kabla ya utekelezaji NA MAMLUKI WOTE TUTAWATIMUA KAMA CCmizi

Na uukweli ni kwamba CCM ndo itasambaratika.

IF WE GO DOWN MAN, WE GO DOWN WITH CCM, kwa sababu kwa sasa CCM ndo kuna mamluki waCHADEMA and NOT vise versa.

Tafakari
 
Chama cha Chadema sio makini ila kuna baadhi ndani ya hicho chama ni watu makini mmoja wao aliepata kuwa mwanachama ni kafulila wengine wakijakutambua kama Chadema kina agenda zake na wanaharakisha zitimie na mfano kilichotokea Dodoma utaona watamwaga manyanga na nina uhakika NCCR Mageuzi itarudi kwenye form na kuipiku Chadema 2015 hii itachangiwa na ubinafsi wa chama cha chadema.
even shikh yahya said the same
 
Kam mwugano wa CCM na CUF Zanzibar unatokana na ridhaa ya wanachama (SIYO BAADHI YA VIONGOZI) wa vyama viwili, mwuungano wa vyama hivi, UDATUMU. Mwuungano wetu wa Bara na Zanzibar umejikuta kwenye changamoto zisizo za lazima kwa sababu uliasisiwa na BAADHI ya viongozi, tena sii baadhi bali watu wawili.

Ninaamini pia katika kitu kimoja, kwamba giza likizidi KUMEKARIBIA kucha. Ndiyo maana hata ndege ikitaka kutua, huwa inazungukazunguka. Vyama vitaibuka, vitakufa. Vilivyokuwapo vitakuwa na kuporomoka. Mwisho wa siku tutajikuta na vyama ambavyo havipo kabisa hata leo hii, LAKINI vinavyotokana na wanachama tulio nao, kama si wao, basi MAWAZO YAO.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania.
 
unapokuwa mpnzani wa chama fulani na sera zao ina maana wewe hufurahishwi na
chama hicho kinavyoendesha nchi, kuungana na chama hicho tena kwenye utekelezaji wa sera zake
ambazo wewe umkuwa ukizipingz kwa muda mrefu ni hdhiri kwamba wewe ni mtu wa maslahi
yako binafsi na kwa taifa na wananchi hebu tuangalie muafaka wa cuf na ccm ni kwa ajili ya
faida za nchi? ama faida kwa ccm? maana ukweli ni kwa upande wa cuf faida yao
kwa mfano Maalim Seif kuitwa Makamu wa kwanza wa rais
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

amka wewe historia haiNA MASHIKO HAPA KWA NYERERE
 
Mtakufa na njaa zenu hizo! CHADEMA inaongozwa na viongozi makini wenye uelewa mpana! Hatulopoki, hatukurupuki, kikubwa zaidi HATUDANGANYIKI!!! Wafuateni wenye njaa zao hao!
 
Kam mwugano wa CCM na CUF Zanzibar unatokana na ridhaa ya wanachama (SIYO BAADHI YA VIONGOZI) wa vyama viwili, mwuungano wa vyama hivi, UDATUMU. Mwuungano wetu wa Bara na Zanzibar umejikuta kwenye changamoto zisizo za lazima kwa sababu uliasisiwa na BAADHI ya viongozi, tena sii baadhi bali watu wawili.

Ninaamini pia katika kitu kimoja, kwamba giza likizidi KUMEKARIBIA kucha. Ndiyo maana hata ndege ikitaka kutua, huwa inazungukazunguka. Vyama vitaibuka, vitakufa. Vilivyokuwapo vitakuwa na kuporomoka. Mwisho wa siku tutajikuta na vyama ambavyo havipo kabisa hata leo hii, LAKINI vinavyotokana na wanachama tulio nao, kama si wao, basi MAWAZO YAO.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania.

muungano wa ccm na cuf wa sasa si wa kichama bali kifamilia. amani alipochukua nchi aliwasusa sana watu walio upande wa salmin na hivyo mama yake mzazi (mjane wa adeid karume) alihofu sana mwanaye angetendewa vibaya baada ya kustaafu. She is the one who ignited it ili amani hata kama kambi ya salmin wangechukua umma u-feel symapthy kwa mwanaye na kama seif akichukua ailinde familia.

Na ndiyo maana mwafaka ulikuja kama surprise kwa hata viongozi waandamizi wa ccm. kumbuka mkutano wa butiama amani alisema ku-enforce mwafaka lazima kura ya maoni ipigwe, alipogundua hata ikipigwa wengi watakataa akabadili kibao akakimbilia kwa mama. So seif aliitwa tu na mama. mama mzee kama yule akikuita lazima utii na akikuomba kwa machozi unaweza kukataa?

ikitokea bahati mbaya mama akienda mbele za haki (mungu aepushe), utaona kindumbwendumbwe kitakachotokea.

Nasisitiza CUF IMEINGIA CHOO CHA KIKE BIG TIME!!!!!!!!! mafisadi watai-drive kadri wanavyotaka
 
muungano wa ccm na cuf wa sasa si wa kichama bali kifamilia. amani alipochukua nchi aliwasusa sana watu walio upande wa salmin na hivyo mama yake mzaza (mjane wa adeid karume) alihofu sana mwanaye angetendewa vibaya. She is the one who ignited it ili amani hata kama kambi ya salmin wangechukua umma ufeel symapthy kwa mwanaye na kama seif akichukua ailinde familia.

ikitokea bahati mbaya mama akienda mbele za haki (mungu aepushe), utaona kindumbwendumbwe chake.

Utingo,

Thank you.
 
Back
Top Bottom