Umenikumbusha maswali ya History enzi zile. Hivi bado maswali kama hayo yanatoka au yanatungwa yale ya "kusahihishwa kwa tarakilishi?"
ccm haita fall hata siku moja.
Itatokea kwengineko lakini si Tanzania. Mkishapewa kofia, vitenge na kanga na pilau na viroba vya buree basi, magamba yatapigiwa kura na yatapeta. Mark my words, 2015 ni deja vu. Magamba hayatotoka hadi kwa coup d tatMiaka michache ijayo tutashuhudia CCM ikiungana na vyama vikongwe duniani kuingia katika vitabu vya HISTORIA, vya kiada na ziada, vya kufundishia shule za msingi na sekondari na vyuo.
Tutashuhudia, kwa mfano, maswali ya kiistoria kama:-
1.Jadili sababu za kukua na kuanguka kwa CCM
2. CCM ni adui wa maendeleo Tanzania. Elezea kwa ufupi.
3....
CCM haita fall hata siku moja.
kifo cha ccm kilichotabiriwa na nyerere kinakaribiamiaka michache ijayo tutashuhudia ccm ikiungana na vyama vikongwe duniani kuingia katika vitabu vya historia, vya kiada na ziada, vya kufundishia shule za msingi na sekondari na vyuo.
Tutashuhudia, kwa mfano, maswali ya kiistoria kama:-
1.jadili sababu za kukua na kuanguka kwa ccm
2. Ccm ni adui wa maendeleo tanzania. Elezea kwa ufupi.
3....