The right to be rich

How big is the file size kiasi kushindikana kuwa uploaded humu JF?Au unauza?Kama ndiyo,sema hivyo.
 
How big is the file size kiasi kushindikana kuwa uploaded humu JF?Au unauza?Kama ndiyo,sema hivyo.

Mkuu, its not the matter of size or selling it, but ni kwa wale wanaotaka au kuamini kwamba ni haki yako kutajirika, haiuzwi, we nijuze tu ka wahitaji, thats all, je ni kazi kubwa hiyo?
 
bwana mkubwa mimi nipo serious kupata hicho kitabu. naomba nitumie hapa godfriedsalanga@yahoo.com. Nipo nje na kwa sasa nimeumia mguu siwezi kutoka nikupigie simu ,internet calls,na mobile 4n ni ghali kweli haitakuwa busara kufanya hivyo ni mwisho wa mwaka wa fedha sasa. 4n yangu ni 5353133637 nitashukuru sana.
 
Salanga, nimekupata ndugu yangu, pole sana na maumivu ya mguu, nitakutumia nakala iko ktk pdf, bila shaka utaweza kuprint au kusoma kwa pc au ipad,
All the best.
 
Bro congratulation for your heart to share resources,,, books are greatest resource that can open up ones mind for success.
Please, send to me a copy to: mwanawao@gmail.com

Thanks for that Mwanawao, I will send the digital copy to you soon, stay blessed.
 
naomba unitumie kwa mail yangu interdominvestment@gmail.com mkuu thanks in advance

kuna watu hapa duniani kufanikiwa kwao ni ndoto.haijalishi watasoma articles ngapi za "to be rich".kufanikiwa ni maridhio ya mwenyezi Mungu.wanakanyaga wengine eti ili wafike juu.wanaua,wanafukia pasipo yeyote kuona,wanafuta mikono na kujipangusa wakidhani eti Mungu hajaona.kumbe yuko mbinguni anaangalia kila kitu.hufichi chochote kwake.ni ndoto za mchana kufanikiwa kwa kudondosha chini wengine.utajifariji,utajitia moyo lakini utaona hata kile ulichonacho kinapotea.damu na machozi ya wale uliowaangussha eti ili upande imesimama wima inakuzuia usipite kuelekea huko unakotaka.ni afadhali kukosa jina kuliko kulipata kwa thamani ya damu na maisha ya wengine.tukiwa tunakanyaga wote ardhi hii hii ya muumba,na mioyo yetu uliyoiangusha chini,macho yetu yako wazi mchana na usiku kuangalia uendako.kwa gari ambalo mafuta yake ni damu zetu.ipo siku Mungu atalipa na ulimwengu kushuhudia.kikwetu huwa tunaita siku ya kuanguka mbuyu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thanks a lot for walking in your words. I got the copy of the book....

Stay blessed abundantly...

sasa mwanawao waonaje ukakirusha hapa jf tukakipata wote ili kumpunguzia mzigo nxt millionaire wa kumtumia kila anaemwomba personally?au jamaa kaweka na haki miliki kwahiyo ni yeye tu wa kutuma?
 
sasa mwanawao waonaje ukakirusha hapa jf tukakipata wote ili kumpunguzia mzigo nxt millionaire wa kumtumia kila anaemwomba personally?au jamaa kaweka na haki miliki kwahiyo ni yeye tu wa kutuma?

Mkuu wala usipate tabu, ikiwa wahitaji nijuze tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom